Kumbe akili huna. Ndio maana umeoa Malaya na unamlipa kubaki kwenye ndoa. Stupid.Kwani ukipata ulemavu huwezi kuingiza hela au wewe unaingiza hela kwa kutumia miguu?
Kumbe akili huna. Ndio maana umeoa Malaya na unamlipa kubaki kwenye ndoa. Stupid.Kwani ukipata ulemavu huwezi kuingiza hela au wewe unaingiza hela kwa kutumia miguu?
Kwa hiyo mke wangu unamjua, na una uhakika gani kwamba ni malaya?Kumbe akili huna. Ndio maana umeoa Malaya na unamlipa kubaki kwenye ndoa. Stupid.
Kwa logic na vitu unavyofanya. Umetengeneza malaya mwenyewe kwa akili zako finyu. Filisika uone. Au akutane na mdau aliekuzidi pesa amtunze zaidi yako. Utaelewa mbele huko.Kwa hiyo mke wangu unamjua, na una uhakika gani kwamba ni malaya?
Vitu gani ninavyofanya, kusema kwamba unatakiwa kumtunza mkeo au?Kwa logic na vitu unavyofanya. Umetengeneza malaya mwenyewe kwa akili zako finyu. Filisika uone. Au akutane na mdau aliekuzidi pesa amtunze zaidi yako. Utaelewa mbele huko.
Nna mashaka vijana wa kataa NDOA ni UTAPELI mtakuwa mmepigwa na kitu kizito kwenye mahusiano siyo bure na bado hamjachema yaan mpaka mcheme.KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi ,kwaio mwanaume atalisha familia na huo upendo wake? Acha kukwepesha ukweliUlichoandika hapa ni mawazo yako, hakuna ithibati yeyote, umefanya conclusion kutokea kwa watu waliokutana kwa bahati mbaya na sio kwa habari ya upendo...
Msingi wa ndoa yeyote hupaswa kujengwa juu ya upendo, na hizi ndizo sifa za upendo...
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote...
ALAFU WANAKUAGA NA GUBU NA HASIRA HAO,NA INFERIORITY COMPLEX USIOMBE IKUUKUTE HATA KAMA MWANAMKE UNA HELA UTAONA MAISHA MABAYA.MWANAUME MASKINI HAVUMILIWI KAMWE
SIKU AKIPATA UTALIA NA KUSAGA MENO
Watu watakuambia mbinafsi ila mfano hata wewe uwe na mtoto wako wa kike siku akumbie anaolewa na mtu ambae hana kipato kinachoelewa utafurahi!? NDIO MANA MTOTO WA KIKE AKIPATA MCHUMBA NYUMBANI KWAO SWALI LA KWANZA LITAKUA,ANAFANYA SHUHULI GANI? ,JIONGEZECha ajabu kwa baba zao wanaishi maisha ya pangu pakavu tia mchuzi lakini wanaota wanaume wenye kula vitoweo kila siku
Kwa baba żeby mlikuwa hamli maharagwe na milenda?
Kwanini mnataka kuwapa wanaume zenu magonjwa ya presha na visukari?
Huyo mama wa nyumbani ataweza kuwaandaa watoto watatu wawahi kwenda shule asubuhi ?Siku hizi kuwa na yaya imekuwa fashion?
Hata mama wa nyumbani nao Eti wanamayaya?!
Kama mnashirikiana majukumu usianze kumwambia 'wewe ni mwanaume akuheshimu',sababu najua hatakupa heshima hata kidogo mwisho utaishia kulia lia tu huko kwa washenga sijui kumbe tatizo umelianzisha mwenyewe.Tu
Tunashirikiana. Ina maana nikipata ulemavu nikashindwa kuingiza kipato aniache? Anikimbie? Ndio maana nakuona huna akili. Hufikirii.
"........Ziki na Faraja,Afya na Ugonjwa..........." Viapo vya ndoa vyote haijalishi ya dini gani,au serikali vina hayo maneno na ndio ndoa yenyewe. Hizo changamoto zilizopo kwenye viapo ndivyo huimarisha mapenzi na si hela, kwani mkitoboa hapo basi penzi lenu litakiwa imara.Hii ni stori ya kweli ilitokea Jana,ilikuwa hivi,Mimi nilimpa kibarua kijana mmoja kibarua Cha kulima sehemu ya hekari za mashamba ninayolima,yule kijana alipoaliza ,nilimpa pesa zake vizuri tu. Sasa nikiwa niiani kurudi nyumbani,nilimkuta yule barabarani akikimbia huku amehamaki,nikamuuliza vipi? Akasema mke wake amemkimbia,nikamuuliza,kama walikuwa na ugomvi,alikataa,akasema mke wake alikuwa amemwambia kuwa amechoka maisha magumu,yaani kula Kwa shida,kulala Kwa shida,hivyo amechoka kuvumilia maisha magumu. Basi nikambeba yule kijana Ili amfatilie mke wake,baadae ya kuendesha kama mita 500 hivi,tukakumkuta amekaa pembezoni mwa barabara anasubiri gari apande. Nikasimama,yule kijana akashuka,nikamuuliza yule mwanamke sababu ya kutoroka,maana yule kijana aliniomba nimsaidie kumshawishi mke wake arudi nyumbani. Yule mwanamke alinijibu kuwa hawezi kwendekea kuishi maisha magumu hivyo anaondoka kurudi kwao(Kilosa). Niliondoka nikawaacha. Kweli mwanamke humvumilia mwanaume mwenye nacho. Mwanamke hata ukiwa na wanawake wengine ila kama una pesa,hawezi kuwa mkorofi kwako. Pesa huimaisha mapenzi na ndoa Kwa kiasi kikubwa.
Hivi kumiliki mwanamke unatakiwa uwe na hela kiasi gani........?ela ndiyo nini? au unamaanisha hela?
Mimi sijasema kwamba nina hela.
Nimesema hivi, kumiliki mwanamke bila kuwa na hela ni upumbavu, kwa sababu hutaweza kumtunza huyo mwanamke utamtesa bure tu.
Akikuambia anataka kufanya shoping kwa ajili ya sikukuu unaanza kulialia.
Kubabeki ukweli mchungu mno huu....Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia kama ni msemo unaotolewa na wanawake malaya malaya.
Ifahamike wazi kuwa hakuna mwanamke yeyote chini ya mbingu anayeweza kumvumilia mwanaume masikini na hatokuja kuwepo, ukiona wewe ni masikini na unamiliki mwanamke jua wewe ni mjinga na muda ni jawabu zuri sana ipo siku mtaachana tuu au utachapiwa vilivyo
ikumbukwe kabla ya adamu kuumbwa katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alimuumbia kwanza utajiri, alimjengea hadi bustani , wanyama wakila aina kwa jinsia zake, mimea ya mabondeni na makondeni, falme za kila jinsi na kwa namna zake, mito, maziwa ,bahari navyo viliumbwa, ndege na wadudu watambaao nao waliumbwa kwa kila namna zake, na mianga na giza kwa majira na namna zake, aliviumba na akampa adamu mamlaka , nguvu , utajiri na kazi za kila aina ikiwemo na kuitunza bustani pamoja na kuwapa majina viumbe hai wote wakila aina na kuwatawala ( mamlaka ya kutawala na kumiliki)
Baadae aliona siyo vyema akamuumbia msaidizi ambaye ni mwanamke, mwanamke alikuja na akamkuta adamu akiwa na utajiri wa kila aina na hakumkuta adamu akiwa masikini kama wanaume wa sasa tunavyo danganyana eti usitafute mwanamke ukiwa tajiri tafuta ukiwa masikini. Ewe mwanaume masikini usitarajie kabisa wewe masikini mwanamke akaja kwako na kukuvumilia.
Mwanamke hakupewa jukumu la kumvumilia mwanaume masikini bali alipewa jukumu la kumsaidia mwanaume tajiri tokea enzi na enzi kwa kumtii na mwanaume tajiri alipewa amri ya kumpenda na kutumia akili kuishi na huyo mwanamke kama chombo kisicho na nguvu.
Ikumbukwe utajiri siyo tuu uwe na hela au mali nyingi hata hizo chache ulizo nazo ni utajiri tosha kikubwa mwanaume uwe na utajiri utakao chochea mapenzi baina yako na mwanamke wako uliyepewa , mwanaume masikini asiye na chochote hapaswi kuwa na mwanamke lazima ajijenge kwanza ndipo atafute mwanamke.
mwanaume masikini hawezi kuwa na mwanamke kwa sababu-;
*Mwanaume masikini ni mzigo kwa mkewe na wanawe hawezi kutoa huduma ndani ya nyumba kabisa kabisa
*Mwanaume masikini kwa ujinga wake na kutokujitambua yeye ni kuhangaika kumwaminisha mwanamke maisha ni kuanzia chini kama kisingizio cha asiachwe
*Mwanaume masikini kutwa anawaza kusema yeye ni wakukosa tuu , kunung'unika na kubaki kuwasema wanaume matajiri vibaya badala atoke na kutafuta utajiri na heshima kwa bidii.
*Mwanaume masikini kutwa yeye ni kuona mwanamke ana mwonea , hampendi anamsaliti na anampanda kichwani yeye kazi yake ni kushindana na mwanamke kila kukicha
*Mwanaume masikini hana sauti ya mamlaka, kapoteza uwezo na nguvu za mamlaka akiamini kuwa masikini hana haki ya kuzungumza na kuongoza
*Mwanaume masikini hawezi kumtunza mwanamke, hawezi kuhudumia familia wala kutengeneza malazi na chakula kizuri kwa familia yake na mke wake, yeye ni kuwaza kimasikini masikini tuu
*Mwanaume masikini ni mwoga, mwenye hofu kuu ya kutongoza wanawake wazuri akiamini siyofungu lake daima ni mnyonge na dhaifu
*Mwanaume masikini bomani kwake hakuishi maradhi, njaa, kiu na hakuma amani kabisa.
* Mwanaume masikini ni mvivu na hawezi kuwa na kizazi tajiri maana mtoto wa masikini ni masikini na umasikini ni laana
* Mwanaume masikini hawezi kuwa mlinzi wa mke wake wala familia yake, hana uwezo wa kuwalinda kwa lolote kwani ni mnyonge, duni , dhaifu sana , na mwenye kulaumu kila kukicha badala ya kupambama vilivyo aondokane na umasikini
hivyo wanaume tambueni kuwa hakuna mwanamke atakaye vumilia mwanaume masikini huyo hayupo na hato kaa awepo , fanyani kazi acheni kujitia moyo mwanaume ni kupambana na kuwajibika vilivyo ili upende na upate mke mwema mtakaye endana nae tena wa kufanana na wewe.
kama unabishana na mimi filisika uijue tabia ya mke au mwanamke wako
Huyo mama wa nyumbani ataweza kuwaandaa watoto watatu wawahi kwenda shule asubuhi ?
We fanya unavyoona ni vizuri kwako ,ila jua huyo sio punda aamke mapema sana na kazi zote za nyumbani afanye yeye usiku anakua hoi na bado unataka utimiziwe ipasavyo usiku !!Wapo wanaoweza.
Wala sio ishu hata kidogo, ukiamka mapema inawezekana.
Mkuu ww baba yako tajiri eehhh ila sikupingi kwenye kauli yako ni kweli umaskini ni kitu mbaya sana na ni laana ila najaribu kujiuliza huyo baba ako anazo za kutosha?Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia kama ni msemo unaotolewa na wanawake malaya malaya.
Ifahamike wazi kuwa hakuna mwanamke yeyote chini ya mbingu anayeweza kumvumilia mwanaume masikini na hatokuja kuwepo, ukiona wewe ni masikini na unamiliki mwanamke jua wewe ni mjinga na muda ni jawabu zuri sana ipo siku mtaachana tuu au utachapiwa vilivyo
ikumbukwe kabla ya adamu kuumbwa katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alimuumbia kwanza utajiri, alimjengea hadi bustani , wanyama wakila aina kwa jinsia zake, mimea ya mabondeni na makondeni, falme za kila jinsi na kwa namna zake, mito, maziwa ,bahari navyo viliumbwa, ndege na wadudu watambaao nao waliumbwa kwa kila namna zake, na mianga na giza kwa majira na namna zake, aliviumba na akampa adamu mamlaka , nguvu , utajiri na kazi za kila aina ikiwemo na kuitunza bustani pamoja na kuwapa majina viumbe hai wote wakila aina na kuwatawala ( mamlaka ya kutawala na kumiliki)
Baadae aliona siyo vyema akamuumbia msaidizi ambaye ni mwanamke, mwanamke alikuja na akamkuta adamu akiwa na utajiri wa kila aina na hakumkuta adamu akiwa masikini kama wanaume wa sasa tunavyo danganyana eti usitafute mwanamke ukiwa tajiri tafuta ukiwa masikini. Ewe mwanaume masikini usitarajie kabisa wewe masikini mwanamke akaja kwako na kukuvumilia.
Mwanamke hakupewa jukumu la kumvumilia mwanaume masikini bali alipewa jukumu la kumsaidia mwanaume tajiri tokea enzi na enzi kwa kumtii na mwanaume tajiri alipewa amri ya kumpenda na kutumia akili kuishi na huyo mwanamke kama chombo kisicho na nguvu.
Ikumbukwe utajiri siyo tuu uwe na hela au mali nyingi hata hizo chache ulizo nazo ni utajiri tosha kikubwa mwanaume uwe na utajiri utakao chochea mapenzi baina yako na mwanamke wako uliyepewa , mwanaume masikini asiye na chochote hapaswi kuwa na mwanamke lazima ajijenge kwanza ndipo atafute mwanamke.
mwanaume masikini hawezi kuwa na mwanamke kwa sababu-;
*Mwanaume masikini ni mzigo kwa mkewe na wanawe hawezi kutoa huduma ndani ya nyumba kabisa kabisa
*Mwanaume masikini kwa ujinga wake na kutokujitambua yeye ni kuhangaika kumwaminisha mwanamke maisha ni kuanzia chini kama kisingizio cha asiachwe
*Mwanaume masikini kutwa anawaza kusema yeye ni wakukosa tuu , kunung'unika na kubaki kuwasema wanaume matajiri vibaya badala atoke na kutafuta utajiri na heshima kwa bidii.
*Mwanaume masikini kutwa yeye ni kuona mwanamke ana mwonea , hampendi anamsaliti na anampanda kichwani yeye kazi yake ni kushindana na mwanamke kila kukicha
*Mwanaume masikini hana sauti ya mamlaka, kapoteza uwezo na nguvu za mamlaka akiamini kuwa masikini hana haki ya kuzungumza na kuongoza
*Mwanaume masikini hawezi kumtunza mwanamke, hawezi kuhudumia familia wala kutengeneza malazi na chakula kizuri kwa familia yake na mke wake, yeye ni kuwaza kimasikini masikini tuu
*Mwanaume masikini ni mwoga, mwenye hofu kuu ya kutongoza wanawake wazuri akiamini siyofungu lake daima ni mnyonge na dhaifu
*Mwanaume masikini bomani kwake hakuishi maradhi, njaa, kiu na hakuma amani kabisa.
* Mwanaume masikini ni mvivu na hawezi kuwa na kizazi tajiri maana mtoto wa masikini ni masikini na umasikini ni laana
* Mwanaume masikini hawezi kuwa mlinzi wa mke wake wala familia yake, hana uwezo wa kuwalinda kwa lolote kwani ni mnyonge, duni , dhaifu sana , na mwenye kulaumu kila kukicha badala ya kupambama vilivyo aondokane na umasikini
hivyo wanaume tambueni kuwa hakuna mwanamke atakaye vumilia mwanaume masikini huyo hayupo na hato kaa awepo , fanyani kazi acheni kujitia moyo mwanaume ni kupambana na kuwajibika vilivyo ili upende na upate mke mwema mtakaye endana nae tena wa kufanana na wewe.
kama unabishana na mimi filisika uijue tabia ya mke au mwanamke wako
Kwahiyo heshima anapewa mwanaume au pesa aliyonayo? Materialistic world.Kama mnashirikiana majukumu usianze kumwambia 'wewe ni mwanaume akuheshimu',sababu najua hatakupa heshima hata kidogo mwisho utaishia kulia lia tu huko kwa washenga sijui kumbe tatizo umelianzisha mwenyewe.
Well said kama mwanamke anashindwa kumvumilia mwanaume maskini ina maana kuwa naye pia ni maskini hivyo mahitaji yake yanashindwa kufanyiwa kaziPale masikini anapotunyanyasa masikini wenzake.