Donatila
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,557
- 21,513
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Kautafiti kangu kasiko rasmi nilikofanya mi mwenyewe ni kuwa masikini anapenda sana ngono kuliko tajiri.
Masikini anapenda sana ngono kwakuwa muda mwingi amekuwa hana la kufanya yaani anakuwa yupoyupo tu.
Mara nyingi masikini anakuwa amepumzika hivyo mwili wake unakuwa na hamu ya ngono mara kwa mara.
Masikini wakati mwingi anakuwa hana mawazo mengi sana, mara nyingi hasumbui ubongo wake.
Huyu masikini anapenda ngono pia sababu huitumia kama faraja yaani anakuwa anajiburudisha maana hana pesa.
Hivyo huona kama sasa sina pesa, bora nijiburudishe na ngono, na huifanya sana sio kitoto yaani mnaelewa.
Kiumbe hiki masikini kinapenda sana mechi kali yaani ndio maana wake za matajiri wanakuwa wanakisaka sana.
Ukiangalia vijana wa kiume masikini ndio huwa na majimama na wanayapa mavituzi mpaka mashangazi yanachanganyikiwa.
Masikini ndio wanaongoza kwa kuzaa, yaani kiumbe hiki kikipiga tu goli lazima kifunge pamoja nakuwa halina pesa.
Mwanaume akiwa masikini ndo balaa na nusu yaani anawaza ngono Ile mbaya, akijifungia niapunyeto deile.
Ukikutana na mwanamke masikini basi ngono ndio mtaji wake, atadanga mpaka ngozi ya mwili inapauka.
Mwanamke huyohuyo masikini atazaa tutoto vingi sababu ya kupenda ngono.
Sasa usiombe mwanaume masikini akutane na kibinti cha shule yaani chapu mimba inanasia mazima.
Kwa upande wa wale matajirii wao mara nyingi wapo bize kusaka pesa, yaani wao ni bize haswa hawawazi ngono.
Matajiri bana wao wengi wao ngono wanaifanya kama ziada tu, yaani kujistarehesha sio ngono njaa.
Mawazo ya matajiri huwaza namna ya kufanikisha mipango yao ya kifedha, ndio maana wao kimoja tu wanalala.
Wengi wao walio matajiri akili zao huwa zinachoka, hivyo uchovu na ngono no vitu viwili tofauti kabisa.
Tajiri anaoa mke mzuri ila kumtimitizia haja zake za kingono hawezi, mke anatafuta masikini ampoze.
Ajabu ni kuwa tajiri hujiepulia pisi Kali lakini hawawezi kuzifikisha mlimani kwakuwa vichwa vinawaza pesa inapatikanaje.
Tajiri ngono imemshinda, yeye na pesa zake tu ngono ni ya msikini