Hakuna mwanamke anaye penda na kuvumilia mwanaume masikini, mwanaume masikini ni mzigo mzito kwa mwanamke

Kwa logic na vitu unavyofanya. Umetengeneza malaya mwenyewe kwa akili zako finyu. Filisika uone. Au akutane na mdau aliekuzidi pesa amtunze zaidi yako. Utaelewa mbele huko.
Vitu gani ninavyofanya, kusema kwamba unatakiwa kumtunza mkeo au?
 
Hayana muongozo ila mimi natafta hela ili nipate pisi kali nienjoy maisha nae, lakini pisi kali yenyewe iwe ni ile pisi ambayo inajua kutumia hela sio mshamba mshamba, nataka mwanamke wangu awe anajua hasa kutumia hela ili anipe msukumo zaidi wa kuzitafuta, vyenginevyo hata uwe pisi kali kiasi gani kama hujui kutumia pesa wewe pita hivi hunifai
 
Ulichoandika hapa ni mawazo yako, hakuna ithibati yeyote, umefanya conclusion kutokea kwa watu waliokutana kwa bahati mbaya na sio kwa habari ya upendo...

Msingi wa ndoa yeyote hupaswa kujengwa juu ya upendo, na hizi ndizo sifa za upendo...

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote...
Pesa ina nafasi kubwa katika mapenzi ,kwaio mwanaume atalisha familia na huo upendo wake? Acha kukwepesha ukweli
 
Cha ajabu kwa baba zao wanaishi maisha ya pangu pakavu tia mchuzi lakini wanaota wanaume wenye kula vitoweo kila siku

Kwa baba żeby mlikuwa hamli maharagwe na milenda?

Kwanini mnataka kuwapa wanaume zenu magonjwa ya presha na visukari?
Watu watakuambia mbinafsi ila mfano hata wewe uwe na mtoto wako wa kike siku akumbie anaolewa na mtu ambae hana kipato kinachoelewa utafurahi!? NDIO MANA MTOTO WA KIKE AKIPATA MCHUMBA NYUMBANI KWAO SWALI LA KWANZA LITAKUA,ANAFANYA SHUHULI GANI? ,JIONGEZE
 
Tu

Tunashirikiana. Ina maana nikipata ulemavu nikashindwa kuingiza kipato aniache? Anikimbie? Ndio maana nakuona huna akili. Hufikirii.
Kama mnashirikiana majukumu usianze kumwambia 'wewe ni mwanaume akuheshimu',sababu najua hatakupa heshima hata kidogo mwisho utaishia kulia lia tu huko kwa washenga sijui kumbe tatizo umelianzisha mwenyewe.
 
Hii ni stori ya kweli ilitokea Jana,ilikuwa hivi,Mimi nilimpa kibarua kijana mmoja kibarua Cha kulima sehemu ya hekari za mashamba ninayolima,yule kijana alipoaliza ,nilimpa pesa zake vizuri tu. Sasa nikiwa niiani kurudi nyumbani,nilimkuta yule barabarani akikimbia huku amehamaki,nikamuuliza vipi? Akasema mke wake amemkimbia,nikamuuliza,kama walikuwa na ugomvi,alikataa,akasema mke wake alikuwa amemwambia kuwa amechoka maisha magumu,yaani kula Kwa shida,kulala Kwa shida,hivyo amechoka kuvumilia maisha magumu. Basi nikambeba yule kijana Ili amfatilie mke wake,baadae ya kuendesha kama mita 500 hivi,tukakumkuta amekaa pembezoni mwa barabara anasubiri gari apande. Nikasimama,yule kijana akashuka,nikamuuliza yule mwanamke sababu ya kutoroka,maana yule kijana aliniomba nimsaidie kumshawishi mke wake arudi nyumbani. Yule mwanamke alinijibu kuwa hawezi kwendekea kuishi maisha magumu hivyo anaondoka kurudi kwao(Kilosa). Niliondoka nikawaacha. Kweli mwanamke humvumilia mwanaume mwenye nacho. Mwanamke hata ukiwa na wanawake wengine ila kama una pesa,hawezi kuwa mkorofi kwako. Pesa huimaisha mapenzi na ndoa Kwa kiasi kikubwa.
"........Ziki na Faraja,Afya na Ugonjwa..........." Viapo vya ndoa vyote haijalishi ya dini gani,au serikali vina hayo maneno na ndio ndoa yenyewe. Hizo changamoto zilizopo kwenye viapo ndivyo huimarisha mapenzi na si hela, kwani mkitoboa hapo basi penzi lenu litakiwa imara.

Kinyume cha hapo kama mwenza wako hatokubali kuvishi hivyo viapo basi jua hapo hamna ndoa na hamna mapenzi, bali unauziwa ngono na huyo unaye mwita mkeo wako, ambaye kesho ukiteteleka kiuchumi atakuwa MALI YA UMA.

Ndio maana jamii zote zile kabla ya kuoa,mke lazima afanyiwe vetting sababu ni partner wa maisha yako yote. Ila mahusiano na malaya ndio uhitaji pesa, sababu ni kugongana hamna kingine.
 
ela ndiyo nini? au unamaanisha hela?

Mimi sijasema kwamba nina hela.

Nimesema hivi, kumiliki mwanamke bila kuwa na hela ni upumbavu, kwa sababu hutaweza kumtunza huyo mwanamke utamtesa bure tu.

Akikuambia anataka kufanya shoping kwa ajili ya sikukuu unaanza kulialia.
Hivi kumiliki mwanamke unatakiwa uwe na hela kiasi gani........?

Hivi unajua yale maneno ya kwenye viapo vya ndoa,yana maanisha nini?

Tatizo vijana wengi wa siku hizi mnaingia kwenye ndoa bila kuvielewa viapo vya ndoa na ndio maana hampo tayari kuvishika na kuviishi mioyoni na vichwani mwenu.

Ukiona mwanamke anaendekeza hela kaa ukijua umeoa MALAYA.

Mistake kubwa ya wanawake wa siku hizi wanaingia kwenye ndoa wakiwa na matarajio makubwa ya kiuchumi, hawajui nini maana ya maisha na ndio maana kwa sababu ya kuendekeza hela dada zetu wanafanywa vibaya mpaka kufikia hatua ya kuliwa nyuma,kupigwa threesome, kuingiliwa na wanyama,wengine wanagongwa huku wanarekodiwa.

Yaani tamaa ya fedha imefikia kipindi inamzalilisha mwanamke na mwanamke anaona sawa.
 
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia kama ni msemo unaotolewa na wanawake malaya malaya.

Ifahamike wazi kuwa hakuna mwanamke yeyote chini ya mbingu anayeweza kumvumilia mwanaume masikini na hatokuja kuwepo, ukiona wewe ni masikini na unamiliki mwanamke jua wewe ni mjinga na muda ni jawabu zuri sana ipo siku mtaachana tuu au utachapiwa vilivyo

ikumbukwe kabla ya adamu kuumbwa katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alimuumbia kwanza utajiri, alimjengea hadi bustani , wanyama wakila aina kwa jinsia zake, mimea ya mabondeni na makondeni, falme za kila jinsi na kwa namna zake, mito, maziwa ,bahari navyo viliumbwa, ndege na wadudu watambaao nao waliumbwa kwa kila namna zake, na mianga na giza kwa majira na namna zake, aliviumba na akampa adamu mamlaka , nguvu , utajiri na kazi za kila aina ikiwemo na kuitunza bustani pamoja na kuwapa majina viumbe hai wote wakila aina na kuwatawala ( mamlaka ya kutawala na kumiliki)

Baadae aliona siyo vyema akamuumbia msaidizi ambaye ni mwanamke, mwanamke alikuja na akamkuta adamu akiwa na utajiri wa kila aina na hakumkuta adamu akiwa masikini kama wanaume wa sasa tunavyo danganyana eti usitafute mwanamke ukiwa tajiri tafuta ukiwa masikini. Ewe mwanaume masikini usitarajie kabisa wewe masikini mwanamke akaja kwako na kukuvumilia.

Mwanamke hakupewa jukumu la kumvumilia mwanaume masikini bali alipewa jukumu la kumsaidia mwanaume tajiri tokea enzi na enzi kwa kumtii na mwanaume tajiri alipewa amri ya kumpenda na kutumia akili kuishi na huyo mwanamke kama chombo kisicho na nguvu.

Ikumbukwe utajiri siyo tuu uwe na hela au mali nyingi hata hizo chache ulizo nazo ni utajiri tosha kikubwa mwanaume uwe na utajiri utakao chochea mapenzi baina yako na mwanamke wako uliyepewa , mwanaume masikini asiye na chochote hapaswi kuwa na mwanamke lazima ajijenge kwanza ndipo atafute mwanamke.

mwanaume masikini hawezi kuwa na mwanamke kwa sababu-;

*Mwanaume masikini ni mzigo kwa mkewe na wanawe hawezi kutoa huduma ndani ya nyumba kabisa kabisa

*Mwanaume masikini kwa ujinga wake na kutokujitambua yeye ni kuhangaika kumwaminisha mwanamke maisha ni kuanzia chini kama kisingizio cha asiachwe

*Mwanaume masikini kutwa anawaza kusema yeye ni wakukosa tuu , kunung'unika na kubaki kuwasema wanaume matajiri vibaya badala atoke na kutafuta utajiri na heshima kwa bidii.

*Mwanaume masikini kutwa yeye ni kuona mwanamke ana mwonea , hampendi anamsaliti na anampanda kichwani yeye kazi yake ni kushindana na mwanamke kila kukicha

*Mwanaume masikini hana sauti ya mamlaka, kapoteza uwezo na nguvu za mamlaka akiamini kuwa masikini hana haki ya kuzungumza na kuongoza

*Mwanaume masikini hawezi kumtunza mwanamke, hawezi kuhudumia familia wala kutengeneza malazi na chakula kizuri kwa familia yake na mke wake, yeye ni kuwaza kimasikini masikini tuu

*Mwanaume masikini ni mwoga, mwenye hofu kuu ya kutongoza wanawake wazuri akiamini siyofungu lake daima ni mnyonge na dhaifu

*Mwanaume masikini bomani kwake hakuishi maradhi, njaa, kiu na hakuma amani kabisa.

* Mwanaume masikini ni mvivu na hawezi kuwa na kizazi tajiri maana mtoto wa masikini ni masikini na umasikini ni laana

* Mwanaume masikini hawezi kuwa mlinzi wa mke wake wala familia yake, hana uwezo wa kuwalinda kwa lolote kwani ni mnyonge, duni , dhaifu sana , na mwenye kulaumu kila kukicha badala ya kupambama vilivyo aondokane na umasikini

hivyo wanaume tambueni kuwa hakuna mwanamke atakaye vumilia mwanaume masikini huyo hayupo na hato kaa awepo , fanyani kazi acheni kujitia moyo mwanaume ni kupambana na kuwajibika vilivyo ili upende na upate mke mwema mtakaye endana nae tena wa kufanana na wewe.

kama unabishana na mimi filisika uijue tabia ya mke au mwanamke wako
Kubabeki ukweli mchungu mno huu....

Sema nn sisi maskini ndo tupige nyeto au??
 
Wapo wanaoweza.

Wala sio ishu hata kidogo, ukiamka mapema inawezekana.
We fanya unavyoona ni vizuri kwako ,ila jua huyo sio punda aamke mapema sana na kazi zote za nyumbani afanye yeye usiku anakua hoi na bado unataka utimiziwe ipasavyo usiku !!

Ndio mana hua nawaasa wanawake wenzangu wasiingine kwenye ndoa bila kua na kipato chako utanyanyasika.
 
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia kama ni msemo unaotolewa na wanawake malaya malaya.

Ifahamike wazi kuwa hakuna mwanamke yeyote chini ya mbingu anayeweza kumvumilia mwanaume masikini na hatokuja kuwepo, ukiona wewe ni masikini na unamiliki mwanamke jua wewe ni mjinga na muda ni jawabu zuri sana ipo siku mtaachana tuu au utachapiwa vilivyo

ikumbukwe kabla ya adamu kuumbwa katika misingi ya dunia Mwenyezi Mungu alimuumbia kwanza utajiri, alimjengea hadi bustani , wanyama wakila aina kwa jinsia zake, mimea ya mabondeni na makondeni, falme za kila jinsi na kwa namna zake, mito, maziwa ,bahari navyo viliumbwa, ndege na wadudu watambaao nao waliumbwa kwa kila namna zake, na mianga na giza kwa majira na namna zake, aliviumba na akampa adamu mamlaka , nguvu , utajiri na kazi za kila aina ikiwemo na kuitunza bustani pamoja na kuwapa majina viumbe hai wote wakila aina na kuwatawala ( mamlaka ya kutawala na kumiliki)

Baadae aliona siyo vyema akamuumbia msaidizi ambaye ni mwanamke, mwanamke alikuja na akamkuta adamu akiwa na utajiri wa kila aina na hakumkuta adamu akiwa masikini kama wanaume wa sasa tunavyo danganyana eti usitafute mwanamke ukiwa tajiri tafuta ukiwa masikini. Ewe mwanaume masikini usitarajie kabisa wewe masikini mwanamke akaja kwako na kukuvumilia.

Mwanamke hakupewa jukumu la kumvumilia mwanaume masikini bali alipewa jukumu la kumsaidia mwanaume tajiri tokea enzi na enzi kwa kumtii na mwanaume tajiri alipewa amri ya kumpenda na kutumia akili kuishi na huyo mwanamke kama chombo kisicho na nguvu.

Ikumbukwe utajiri siyo tuu uwe na hela au mali nyingi hata hizo chache ulizo nazo ni utajiri tosha kikubwa mwanaume uwe na utajiri utakao chochea mapenzi baina yako na mwanamke wako uliyepewa , mwanaume masikini asiye na chochote hapaswi kuwa na mwanamke lazima ajijenge kwanza ndipo atafute mwanamke.

mwanaume masikini hawezi kuwa na mwanamke kwa sababu-;

*Mwanaume masikini ni mzigo kwa mkewe na wanawe hawezi kutoa huduma ndani ya nyumba kabisa kabisa

*Mwanaume masikini kwa ujinga wake na kutokujitambua yeye ni kuhangaika kumwaminisha mwanamke maisha ni kuanzia chini kama kisingizio cha asiachwe

*Mwanaume masikini kutwa anawaza kusema yeye ni wakukosa tuu , kunung'unika na kubaki kuwasema wanaume matajiri vibaya badala atoke na kutafuta utajiri na heshima kwa bidii.

*Mwanaume masikini kutwa yeye ni kuona mwanamke ana mwonea , hampendi anamsaliti na anampanda kichwani yeye kazi yake ni kushindana na mwanamke kila kukicha

*Mwanaume masikini hana sauti ya mamlaka, kapoteza uwezo na nguvu za mamlaka akiamini kuwa masikini hana haki ya kuzungumza na kuongoza

*Mwanaume masikini hawezi kumtunza mwanamke, hawezi kuhudumia familia wala kutengeneza malazi na chakula kizuri kwa familia yake na mke wake, yeye ni kuwaza kimasikini masikini tuu

*Mwanaume masikini ni mwoga, mwenye hofu kuu ya kutongoza wanawake wazuri akiamini siyofungu lake daima ni mnyonge na dhaifu

*Mwanaume masikini bomani kwake hakuishi maradhi, njaa, kiu na hakuma amani kabisa.

* Mwanaume masikini ni mvivu na hawezi kuwa na kizazi tajiri maana mtoto wa masikini ni masikini na umasikini ni laana

* Mwanaume masikini hawezi kuwa mlinzi wa mke wake wala familia yake, hana uwezo wa kuwalinda kwa lolote kwani ni mnyonge, duni , dhaifu sana , na mwenye kulaumu kila kukicha badala ya kupambama vilivyo aondokane na umasikini

hivyo wanaume tambueni kuwa hakuna mwanamke atakaye vumilia mwanaume masikini huyo hayupo na hato kaa awepo , fanyani kazi acheni kujitia moyo mwanaume ni kupambana na kuwajibika vilivyo ili upende na upate mke mwema mtakaye endana nae tena wa kufanana na wewe.

kama unabishana na mimi filisika uijue tabia ya mke au mwanamke wako
Mkuu ww baba yako tajiri eehhh ila sikupingi kwenye kauli yako ni kweli umaskini ni kitu mbaya sana na ni laana ila najaribu kujiuliza huyo baba ako anazo za kutosha?
 
Back
Top Bottom