Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 868
Mi najitambua lakini siwezi kabisa kujizuia kupanda jukwaani na kukata hadi chini. Tena msanii akinipeti peti ndo mzuka unanipaisha.
Unahitaji maombi wewe!
Mi najitambua lakini siwezi kabisa kujizuia kupanda jukwaani na kukata hadi chini. Tena msanii akinipeti peti ndo mzuka unanipaisha.
Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.
Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.
Dawa yake wewe ni kuuchuna, kesho yake nenda nae Jolis(sikumbuki spellings lakini wanao paelewa watanipata) au unaenda nae Traventine na wewe unakata mauno na wadada wa taarabu unamuacha kwa kiti bila kumwambia. Au unapita KINO then unashuka kwa gari(kama mnausafiri) unamwambia kuna mtu nampa ujumbe wake unaongea na wale machangu kiaina alafu unarudi mnasepa. Akimind, hapo inakua ngoma droo.....unareconcile kwamba asichokipenda na wewe usichokipenda. Wadada wa siku hizi bila mifano hawakuelewi. Wagumu kuelewa alafu wepesi kusahau!
Hahahahaahah. .. watu mna maneno jamani.Na ukishaona mwanamke wako anaweza akapanda "jukwaani" na kumkatia mauno ndembe ndembe msanii...ujue ustaraabu ziro! Design ya kuacha mboga jikoni na kukimbiza mdundiko kutoka mwananyamala hadi kigogo miguu peku...!! Usiende nae maeneo hayo..
Na ukishaona mwanamke wako anaweza akapanda "jukwaani" na kumkatia mauno ndembe ndembe msanii...ujue ustaraabu ziro! Design ya kuacha mboga jikoni na kukimbiza mdundiko kutoka mwananyamala hadi kigogo miguu peku...!! Usiende nae maeneo hayo..
dah umenikumbusha mambo ya mdundiko na vanga kule uswahilini, ni ngoma na madebe ya bati yanapigwa hapo, madebe yale ya bati ya zamani ya korie makubwa ya lita 20 , unaanzia manzese midizini hadi mabibo tip top unaenda hadi makutano,mburahati unakuja kutokezea kigogo luhanga, hapo ni anatoka mwali wa kizaramo, mtoto kapakwa mkorogo kawa mweupeeee mambo ya sabuni ya Jaribu na cream ya Movet, hapo wakina Fatuma ndala ndefu, Asha shanga tatu hawakosi hapo, mwendo ni pekupeku. Ni mauno tu hapo.
Balaa nakwambia,achana na yale mambo....yaani hapo kama una mke mcharuko lazima ulale njaa maana anatupa kila kitu yuleeeeeee,watoto full kupotea maana wanafuata tu bila hata kujua goma linaishia wapi jinsi linavyonoga..goma likiishapiga fimbo NDI! ujue limeisha ndo hapo kila mtu anaanza kukumbuka aliyoyaacha nyuma hapo full vumbi jasho kibaaao....khanga imetupwa kabaki na undersketi..balaaa!
Na huwa wanawatunza hela zenye number za simu. Kama mwanamke wako mcharuko mwambie akupe wewe hiyo hela ukamtunze.
Dawa yake wewe ni kuuchuna, kesho yake nenda nae Jolis(sikumbuki spellings lakini wanao paelewa watanipata) au unaenda nae Traventine na wewe unakata mauno na wadada wa taarabu unamuacha kwa kiti bila kumwambia. Au unapita KINO then unashuka kwa gari(kama mnausafiri) unamwambia kuna mtu nampa ujumbe wake unaongea na wale machangu kiaina alafu unarudi mnasepa. Akimind, hapo inakua ngoma droo.....unareconcile kwamba asichokipenda na wewe usichokipenda. Wadada wa siku hizi bila mifano hawakuelewi. Wagumu kuelewa alafu wepesi kusahau!
Unahitaji maombi wewe!
Mi mambo ya wanawake kukumbatiana na ma dume waliyosoma nao au wanaofahamiana kwa kazi au kivingine ndo inanikeraga kabisa!! Haya ma uzungu mengine noma sana! Mi wangu nlipiga mkwara wa kufa mtu mpaka akaacha! Ningeua mtu!!
dah!!huyo mpz wako ana kazi kweli.
Lol! Ujana kazi! Sasa hata akimkatikia msanii, mwisho wa siku ww si ndo unaondoka nae?
Duuuuuhhh,
Hii inahusu jinsi (sex) sote???
Haya maisha haya.....Ni kumwomba Mungu akufukishe salama huko Kindoni au mahali pengine....