Haka katabia kananikeraga sana.

Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.

Mi mambo ya wanawake kukumbatiana na ma dume waliyosoma nao au wanaofahamiana kwa kazi au kivingine ndo inanikeraga kabisa!! Haya ma uzungu mengine noma sana! Mi wangu nlipiga mkwara wa kufa mtu mpaka akaacha! Ningeua mtu!!
 
Mi najitambua lakini siwezi kabisa kujizuia kupanda jukwaani na kukata hadi chini. Tena msanii akinipeti peti ndo mzuka unanipaisha.

dah!!huyo mpz wako ana kazi kweli.
 
Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.

Dawa yake wewe ni kuuchuna, kesho yake nenda nae Jolis(sikumbuki spellings lakini wanao paelewa watanipata) au unaenda nae Traventine na wewe unakata mauno na wadada wa taarabu unamuacha kwa kiti bila kumwambia. Au unapita KINO then unashuka kwa gari(kama mnausafiri) unamwambia kuna mtu nampa ujumbe wake unaongea na wale machangu kiaina alafu unarudi mnasepa. Akimind, hapo inakua ngoma droo.....unareconcile kwamba asichokipenda na wewe usichokipenda. Wadada wa siku hizi bila mifano hawakuelewi. Wagumu kuelewa alafu wepesi kusahau!
 
Na ukishaona mwanamke wako anaweza akapanda "jukwaani" na kumkatia mauno ndembe ndembe msanii...ujue ustaraabu ziro! Design ya kuacha mboga jikoni na kukimbiza mdundiko kutoka mwananyamala hadi kigogo miguu peku...!! Usiende nae maeneo hayo..
 
MMh....hiyo haisaidii unaweza ukajikuta unajidhalilisha hivi hivi kwasababu ya upumbavu wa mwingine...unamkanya kama habadiliki baaaaasi utachukua maamuzi mengine.
 
Na ukishaona mwanamke wako anaweza akapanda "jukwaani" na kumkatia mauno ndembe ndembe msanii...ujue ustaraabu ziro! Design ya kuacha mboga jikoni na kukimbiza mdundiko kutoka mwananyamala hadi kigogo miguu peku...!! Usiende nae maeneo hayo..
Hahahahaahah. .. watu mna maneno jamani.
Eti dizaini ya kukimbia hadi Kigogo miguu peku.
 
Lol! Ujana kazi! Sasa hata akimkatikia msanii, mwisho wa siku ww si ndo unaondoka nae?
 
Hii kitu inakera sana, nilikuwa na ka mchuchu enzi hizo ngwasuma wanatamba pale makumbusho k'nyama, samaki ana vipane vingapiiiii? Vitatuu! Ebu vitajeee!Kichwa! mugongo na mukiaaa! Eee mukiaeee tingisha mukiaa eeeh! Ile nakwenda toilet kurudi nikakuta mtoto yuko mbele jukwaani on the stage kabisaaa wameunga mstari mwendo ni kubashiana tu, nilisepa zangu bila kuaga mtu na nikakata kamba jumla.. Nikaanza maisha upya,na mabo ya disco nikaachana nayo
 
Na ukishaona mwanamke wako anaweza akapanda "jukwaani" na kumkatia mauno ndembe ndembe msanii...ujue ustaraabu ziro! Design ya kuacha mboga jikoni na kukimbiza mdundiko kutoka mwananyamala hadi kigogo miguu peku...!! Usiende nae maeneo hayo..

dah umenikumbusha mambo ya mdundiko na vanga kule uswahilini, ni ngoma na madebe ya bati yanapigwa hapo, madebe yale ya bati ya zamani ya korie makubwa ya lita 20 , unaanzia manzese midizini hadi mabibo tip top unaenda hadi makutano,mburahati unakuja kutokezea kigogo luhanga, hapo ni anatoka mwali wa kizaramo, mtoto kapakwa mkorogo kawa mweupeeee mambo ya sabuni ya Jaribu na cream ya Movet, hapo wakina Fatuma ndala ndefu, Asha shanga tatu hawakosi hapo, mwendo ni pekupeku. Ni mauno tu hapo.
 
Balaa nakwambia,achana na yale mambo....yaani hapo kama una mke mcharuko lazima ulale njaa maana anatupa kila kitu yuleeeeeee,watoto full kupotea maana wanafuata tu bila hata kujua goma linaishia wapi jinsi linavyonoga..goma likiishapiga fimbo NDI! ujue limeisha ndo hapo kila mtu anaanza kukumbuka aliyoyaacha nyuma hapo full vumbi jasho kibaaao....khanga imetupwa kabaki na undersketi..balaaa!
 
goma linapotua nanga au kukesha panakuwa na kitanda kile cha chuma almaarufu cha banko, ndicho wanachokalia wapigaji, na gongo pembeni na wapigaji wameshaaandaliwa wanawake. Halafu kkulikuwa na hii kitu Mnanda, unawakumbuka Atomic? Goma la masela ni mateja na ganja mkononi,visu, chupa, gongo na siku hiyo kuanzia saa nne mtaani hakupitiki ni kabali kwenda mbele we acha tu mabo ya mnanda.
 
Na huwa wanawatunza hela zenye number za simu. Kama mwanamke wako mcharuko mwambie akupe wewe hiyo hela ukamtunze.

Duuuuuhhh,

Hii inahusu jinsi (sex) sote???

Haya maisha haya.....Ni kumwomba Mungu akufukishe salama huko Kindoni au mahali pengine....
 
Ampeleke kanga moko ndo dawa. Lol.

Dawa yake wewe ni kuuchuna, kesho yake nenda nae Jolis(sikumbuki spellings lakini wanao paelewa watanipata) au unaenda nae Traventine na wewe unakata mauno na wadada wa taarabu unamuacha kwa kiti bila kumwambia. Au unapita KINO then unashuka kwa gari(kama mnausafiri) unamwambia kuna mtu nampa ujumbe wake unaongea na wale machangu kiaina alafu unarudi mnasepa. Akimind, hapo inakua ngoma droo.....unareconcile kwamba asichokipenda na wewe usichokipenda. Wadada wa siku hizi bila mifano hawakuelewi. Wagumu kuelewa alafu wepesi kusahau!
 
Hata mie hiyo ya kukumbatiana na kila mtu ni big no. Wengine wana ukame afu kupenda tu kukumbatia wasichana; mwisho wake ni ubakaji. Nadhani wanasoma sura na sura; hawakumbatii hovyo hovyo. Usije mtu ukasukumizwa mbele ya kadamnasi.
Hayo tuwaachie walatino ndo kacha yao.

Kuna ninaowaona wanapeana tongue kiss za kishkaji; Mweh; afu madai yao they are just friends, eti wadhungu.
:hat:

Mi mambo ya wanawake kukumbatiana na ma dume waliyosoma nao au wanaofahamiana kwa kazi au kivingine ndo inanikeraga kabisa!! Haya ma uzungu mengine noma sana! Mi wangu nlipiga mkwara wa kufa mtu mpaka akaacha! Ningeua mtu!!
 
Wanakichezea cha Arusha kikiwa kimekaa mahali pake afu na johnmtembezi katulia kwenye kiti

eti fidodido anikataze to shake what ma mama gave me?
I will skin somebody alive.

Lol! Ujana kazi! Sasa hata akimkatikia msanii, mwisho wa siku ww si ndo unaondoka nae?
 
pole mkuu, baki hapo hapo utaona mengi! Vumilia hivo hivo afu utakuwa unatolea hasira zako kwenye thread humu JF..
 
Duuuuuhhh,

Hii inahusu jinsi (sex) sote???

Haya maisha haya.....Ni kumwomba Mungu akufukishe salama huko Kindoni au mahali pengine....

mara nyingi wanawake ndio wanafanya hivyo kuwapata wasanii wa kiume. Babu ushazeeka, usifatilie sana haya mambo ya vidot com.
 
Back
Top Bottom