Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,734
- 29,123
Mwandosya hana nyumba kweli?Hata babake Nape Mzee Mosses Nauye hakuwa na nyumba.Hapa duniani tunapita,ya Nini ujenge barabarani?
Mwandosya hana nyumba kweli?Hata babake Nape Mzee Mosses Nauye hakuwa na nyumba.Hapa duniani tunapita,ya Nini ujenge barabarani?
Hahaha nimecheka kwa sauti kubwaZaidi ya Tff kumfungia huyu jamaa nahisi pia walimlaani.
Kuwa na akili za hivyo ni maamuzi tu 😂Yani unamuhonga mwanamke gari wewe mwenyewe unaishi kwenye appartment....site yako bado haijaisha.hizi ni akili za wapi?
Hizo hela anazotapanya alikuwa na uwezo wa kujenga nyumba kubwa kuliko mwijaku.... kwel elimu ni muhimu
Yaani ujenge sehemu unapita! Nijenge barabarani? Kweli!Hahaaaaa mnajifariji. Inatakiwa ajenge aache kuuza sura. Kwako ni kwako na kunakusitiri siku 1.
Uliwahi sikia Mwandosya kamlipia mama Nape dowry?Mwandosya hana nyumba kweli?
Mwondasya nyumba anayoMwandosya hana nyumba kweli?
AnazoMwandosya hana nyumba kweli?
Ndo baba yake nape. BiologicalMwondasya nyumba anayo
Ndo baba yake nape biologicalAnazo
Aisee sijawai jua hiloNdo baba yake nape. Biological