buyegirhyme
Member
- Oct 6, 2010
- 9
- 1
‎"Jamaa mmoja alikuwa ndani ya daladala, Tumbo likaanza kumsumbua coz of gesi. Jamaa akaona bora ajambe kwa kufuata bit la mziki. Kweli Jamaa akajamba kwa kufuata biti la mziki na tumbo likatulia. Alipokuwa akishuka akashangaa kuona watau waliomo kwe ile daladala wakimshangaa kichizi!!!!. Ndipo jamaa akakumbuka kuwa amevaa headphones: Mziki alikuwa akisikiliza mwenyewe tu".... usicheke sana.......G9T.