Habari wana JF mimi mgeni humu

Ishaselo

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
324
315
Nashukuru kujiunga na jf watu makini wanaojua nini wanaandika.Tofauti na nyingine hapa nimekuta habari za uhakika na zilizochambuliwa na watu wenye akili.Nimekuwa nikitembelea humu mara kwa mara sana na kuna hoja ambazo nilitaka kuchangia lkn sikuwa nimejoin lkn kwa sasa nashukuru na mimi sasa naweza kutoa maoni yangu.Shukran kwa wamiliki wa jf na wanachama wote,asanteni sana.
 
karibu binti,wewe si ulikula kuku yangu halafu ukanikacha ulifikiri hatutakutana
 
Karibu kijana! lakini yakupasa uwe mvumilivu vya kutosha lasivyo tutakupoteza kama tulivyompoteza yule kiongozi alie pendwa na watu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom