Mimi ni mgeni, naomba ushirikiano wenu

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,404
15,988
Habari za humu ndani, mimi ni mgeni hivyo naomba ushirikiano wenu.

Nimekuwa nikifatilia JF kipindi kirefu bila kujiunga, ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyewe kujiunga ili;

1. Nikosoe pale panapobidi.
2. Nisifie pale panapobidi.
3. Niunge mkono hoja mbalimbali.
4. Kukubaliana kutokukubaliana.
5. Kuheshimu wanachama wote.

Mimi ni mpenzi wa siasa aafi na ni mwanaharakati halisi na pia ni mume wa mke mmoja.
Kwa majina yangu naitwa
Dr Namugari P.M.

Naomba mnipokee.
 
Hbr za humu ndani
Mm Ni mgeni hvyo naomba ushirikiano wenu
Nimekuwa nikifatilia jf kipindi kirefu bila kujiunga ila leo nimeamua kwa akili zangu mwenyeww kujinga ili
1 nikozoe pale panapo bidi
2 nisifie pale panapo bidi
3 niunge mkono hoja mbali mbali
4 kukubaliana kutokukubaliana
5 kuheshimu member wote

Mm ni mpenzi wa siasa Safi na Ni mwana harakati halisi na pia Ni mume wa mke mmoja
Kwa majina yangu naitwa
Dr Namugari p.m

Naomba mnipoke
Karibu JF
 
Karibu sana mkuu, kwa kuwa umeomba kukosolewa basi kazana kujifunza ujue kuandika…. hiyo ‘Dr’ kwa mwandiko huo HAPANA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom