Mbona bado sasa mnapeleka watu ambao sio chaguo la eneo mnategemea watu waungane nae,hapa wala sio upinzani ni CCM wenyewe kwa wenyewe mwaka huu mtasingizia upinzani,ila mtaelewa watu wanapochagua wanaemtaka halafu mkawapelekea wasie mtaka,mnatafuta balaa na kumtafutia huyo mnaempeleka matatizo nahisi ni bora sasa mkawapelekea ulinzi wa polisi masaa 24,mbnge anenda kazini polisi wengine wanamsindikiza wengine wanalinda nyumba isije ikaingia moto.