Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,902
- 71,444
Sijawahi ona watu wanajadili kibaka au jambazi kuchomwa moto na kuonyesha taharuki zao kwa nini? Kwa sababu wayatendayo no dhuluma kubwa.
Sasa jee hawa Wakurugenzi wana tofauti gani na vibaka na majambazi?
Serikali imetumia Bilioni zaidi ya 300 ya fedha zetu wao wanaharibu uchaguzi ni sawa na kuzichoma fedha.
Wagombea wetu wametumia rasilimali nyingi za mamilioni kupiga kampeni na wameishia kuibiwa kura zao tofauti ni nini na kibaka aliyekupiga roba ya mbao kukupora mafao yako?
Ili tuwaonee huruma haya yanayoanza sasa kujitokeza kwao, basi tuzungumzie na kibaka wanaochomwa moto