Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hahahahaaa kushtua wakati mwingine muhimu, sa km umeiba utashtulia nyumbani ukamatwe?sasa je?wewe unadhania tunaenda kucheza rede kule?
Hahahahaaa kushtua wakati mwingine muhimu, sa km umeiba utashtulia nyumbani ukamatwe?sasa je?wewe unadhania tunaenda kucheza rede kule?
Nani aliyekudanganya kila Gesti ni nyumba ya kufanyia ngono?Mmh...huyo mwenye guest nae!! kuokoka ni lazima imeandikwa wapi...mbona yeye hajaokoka? angekuwa kaokoka asingejenga jumba la kufanyia ngono..# Nonsense.
Weweeee tusitake kudanganyana hapa...ni 2 kati ya 10 ndo wanaingia guest house kwasababu ya uchovu wa safari au vinginevyo....waliobakia 8 ni ngono tu!!!