guest nyengine bwana......

Utafunga goli la kwanza tu lile la ubishi lakini baada ya hapo weeeeeeee
 
Mitaa ya njombe hii kama huna cheti cha ndoa hapo unalala nje mkuu
 
Mmh...huyo mwenye guest nae!! kuokoka ni lazima imeandikwa wapi...mbona yeye hajaokoka? angekuwa kaokoka asingejenga jumba la kufanyia ngono..# Nonsense.
Nani aliyekudanganya kila Gesti ni nyumba ya kufanyia ngono?

Kisu kinatengenezwa kwa matumizi halali ya nyumbani na sehemu nyinginezo, lakini mbona kuna watu wanatumia kuua watu? Kwahiyo kisu ni haramu kisitumiwe na walokole?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom