Bonyeza hapa kwa majadiliano ya kina kuhusu madai ya kazi ya upwork

LUKAMA

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,081
1,271
Kwema hapo wakuu
mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork.

Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya).

Kazi yenywe ilikuwa ku retype kitabu cha page 100, kazi nimefanya inatakiwa nimkabizi jamaa kesho, wasi wasi wangu nukuhusu malipo ambayo tumekubaliana.

Mwanzoni mwa kazi jamaa alisema atafanya bank transfer nikimaliza kazi, pia katika hili hofu yangu ni bank je wanakubari, afu pia nikimpa detail zangu za bank hawezi kukomba hada kidogo nilicho nacho.

Naomba ushari katika hili,
 
Umeanzaje kufanya mawasiliano na client nje ya mfumo. Acha usanii aisee
 
Nakushauri tu tumia legit channel ya upwork, angalia budget spent na huyo mtu kwenye upwork account yake kama ni 0$ chances utalala yoo ni 100%. Unaekatwa ni wewe kwa nini yeye akutoe nje ya mfumo?
 
Kwema hapo wakuu
mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork.

Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya).

Kazi yenywe ilikuwa ku retype kitabu cha page 100, kazi nimefanya inatakiwa nimkabizi jamaa kesho, wasi wasi wangu nukuhusu malipo ambayo tumekubaliana.

Mwanzoni mwa kazi jamaa alisema atafanya bank transfer nikimaliza kazi, pia katika hili hofu yangu ni bank je wanakubari, afu pia nikimpa detail zangu za bank hawezi kukomba hada kidogo nilicho nacho.

Naomba ushari katika hili,
Ku reptype kitabu kwa mikono with all these technologies? Ulipwe?
 
Back
Top Bottom