Green gaurd kufanya fujo kwenye foleni za wapiga kura wakiwa wamevaa jezi za chadema

Makanda

Member
Oct 29, 2010
77
2
Nimesikia kuwa CCM wameambizana kuwahi kupiga kura asubuhi sana baada ya hapo green gaurd wata azisha fujo wakiwa na kombati za CHADEMA NI KWELI?
 
Kwani inaruhusiwa kuvaa mavazi ya chama siku ya Uchaguzi?
 
Ukweli usiopingika, ni takribani masaa masaa kumi yamebaki kufikia ile siku ambayo watanzania wenye kiu ya mabadiliko ya kweli kwenda kufanya hitimisho kwa kumchagua kiongozi wanaemtaka, vyombo vya habari vimekua vikitoa tathmini mbalimbali, Jamii forums inaonyesha kuwa Dr. Slaa anaongoza kwa 68.97% dhidi ya mpinzania wake JK mwenye 22.03%, Gazeti la Mwananchi (Gazeti la habari za kiswahili la kila siku Tanzania, linaongoza) nalo limetoa ripoti yake kuwa Dr. Slaa anaongoza kwa 77.2% dhidi ya mpinzania wake wa karibu ndugu JK mwenye asilimia 17%.
Ni wazi kabisa kuwa watanzania wana kiu ya mabadiliko.
Mungu ibariki Tanzania!!
 
Nadhani askari watatenda haki kwa kuwashughulikia hao watakaofanya fujo.
 
Nimesikia kuwa CCM wameambizana kuwahi kupiga kura asubuhi sana baada ya hapo green gaurd wata azisha fujo wakiwa na kombati za CHADEMA NI KWELI?

ni kweli, kwani kombati za CHADEMA ndio zile za migambo?
 
Back
Top Bottom