tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Kunanukia U-promo.... Hata hivo inategemea na kozi... IFM inatoa graduates wazuri saana katika baaadhi ya kozi....
unalinganisha na wapi? Inawezekana wakawa wazuri kwa vigezo vyako
Kunanukia U-promo.... Hata hivo inategemea na kozi... IFM inatoa graduates wazuri saana katika baaadhi ya kozi....
Mbona kama unaji-contradict mwenyewe? Kama vyuo vikuu havitoi wanafunzi wazuri kufikia wale wa IFM, kwa nini tena unataka IFM iwe chuo kikuu? Kikiwa chuo kikuu si itatoa wanafunzi wasioridhisha kama vyuo vikuu vilivyopo?Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
sikubaliani nawe! kwanza ni wezi,pili utamkuta ana-upper second lakini hawana uwezo wa ku-think strategically, ni watu wanaopenda kujikweza sana. hawajui kazi kabisa, they don't want to work under presure .....pia wanapenda sana wapewe chance za kusafiri sana kuliko wengine.
Wala sio kitu cha kuongea polepole IFM inatisha angalia tu kwenye soko la ajira utajua...Kuwa University haijalishi ila utendaji ndio kitu cha msingi...
mwaka jana tulijiraumu kumwajiri graduate wa university moja hapa bongo tena kubwa sana...alikuja kwa mbembwe anaweza na anajua Acccounting aisee huyu jamaa alikuwa hewa sana. Imagine ana GPA 4.6 lakini tulimpa afanye reconciliation tu hajui...tukamhamisha kuwa cashier baada ya probation yake kuisha......i regret my decision maana hata kureconcile petty cash yake ilikuwa shida. ilibidi tumwachishe na tukachukua jamaa wa IFM aisee yuko vizuri sana katika financial managemet/accounting
Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
sa c useme tu huyo jamaa ni wa mzumbe tujue kimoja mkuu?
senetor uko msumbufu sana ndugu, natamani nionane na wewe.
kama unataka kuniona kachukue kwanza kibali kwa jk mkuu.
Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
acha mbwembwe kijana
Huo ndio ukweli IFM imekuwa ikitoa graduates wazuri wanaobisha hawajui kitu kuhusu soko la ajira. Ila haiwezi kuwa university mpaka iwe na campus,na kwa habari niliyonayo ni kwamba wanataka kujenga chuo huko msata.
Hivi sikuhizi mitihani hapo IFM inauzwaje?
Hivi sikuhizi mitihani hapo IFM inauzwaje?