mlimbwende
Member
- Jul 15, 2011
- 74
- 26
Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
Hamna lolote hapo,we sema ni 1st yr unataka kujua ubora wa hapo Ifm kiujanja.
Nimekua nikiajiri graduates kutoka vyuo mbalimbali kwa muda sasa. Navutiwa na utendaji kazi wa graduates wa IFM. Je kwanini hicho chuo akipandishwi kuwa university?
Ifm graduatese are really good, mi sijasoma pale ila nafanya nao kazi, wanajua wanafanya nini, ltusipinge kila kitu, lets give them credit, they deserve it!