nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,513
- 19,997
IFM hakuna bachelor za sociology,int'l relation wala journalism...kwa hiyo usiwaletee mambo ya debate,.we mpe financial statement aifanyie interpretation au aiandae..sikubaliani nawe! kwanza ni wezi,pili utamkuta ana-upper second lakini hawana uwezo wa ku-think strategically, ni watu wanaopenda kujikweza sana. hawajui kazi kabisa, they don't want to work under presure .....pia wanapenda sana wapewe chance za kusafiri sana kuliko wengine.