Nimepata hii taarifa leo kuwa kuna muongozo wa utumishi wa umma, je kuna mtu yeyot hapa JF anaufahamu? nimeambiwa taarifa zote za maslahi na mafao ya mwajiriwa wa umma yako humo, tusaidieni kutuwekea hapa wenye muongozo huo.
kuna hii ya 2009 3rd edition