Government Standing Orders

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Nimepata hii taarifa leo kuwa kuna muongozo wa utumishi wa umma, je kuna mtu yeyot hapa JF anaufahamu? nimeambiwa taarifa zote za maslahi na mafao ya mwajiriwa wa umma yako humo, tusaidieni kutuwekea hapa wenye muongozo huo.
 
mabosi huku serikalini wanauficha sana hawataki junior officers wauone,ili waendelee kuwannyonya stahiki zao
 
Nimepata hii taarifa leo kuwa kuna muongozo wa utumishi wa umma, je kuna mtu yeyot hapa JF anaufahamu? nimeambiwa taarifa zote za maslahi na mafao ya mwajiriwa wa umma yako humo, tusaidieni kutuwekea hapa wenye muongozo huo.

kuna hii ya 2009 3rd edition
 
Attachments

  • Public Service Standing Orders.pdf
    1.8 MB · Views: 733
Standing order which wont stand,
dont bother!
Plenty of nice statements none of which is implemented unless if it in their favor
 
Mlaizer na edson,

Asanteni kwa hizo docs.
Edson, nimepitia hiyo doc ya ngazi mpya za mishahara, sioni ile ngazi ya PGSS .... unaweza kunifafanulia??
 
Hivi kuna utofauti wowote ule wa Government Standing Orders & Public Service Standing Orders??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom