Mwigulu Nchemba ndio "Mr. Clean" wa kizazi chetu

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
Uongozi hupimwa kwa mambo mengi sana lakini kipimo cha juu zaidi kwa mujibu wa Carol S. Pearson, Mwandishi nguli wa masuala ya uongozi ni kipimo kitokanacho na uhalali wa kimaadili. Kwake yeye maadili ni nguzo mama katika kupima uwezo wa kiuogozi wa mtu yeyote katika utumishi wa umma.

Bunge lipo katika vikao vinavyojadili taarifa tatu muhimu za kiukaguzi. Kwanza taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG, Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC sambamaba na Kamatu tatu za Bunge za Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC, PAC na PIC.

Kitu kimoja kimevuta na kinavutia macho ya wachambuzi wengi wa masuala ya uchumi na siasa na hiki ni moja wapo. HAKUNA MAHALA MWIGULU KATIKA TAARIFA ZOTE TATU ANATAJWA KUHUSIKA NA UPOTEVU WA HATA SENTI MOJA YA UMMA

Taarifa za CAG ni moja ya taarifa muhimu sana katika kutengeneza uhalali wa kimaadili katika utumishi wa umma wa ngazi ya juu kama uwaziri, na kwa vyovyote vile taarifa hii inapokupa uhalali au usafi humaanisha kwamba imekupa utakaso na usafi maana ndio kipimo cha juu kabisa cha ukaguzi na uwajibikaji katika fedha za umma.

Hizi taarifa zote tatu za CAG kupita bila kumtaja popote si tu zinampa Mwigulu Nchemba positive impressions katika siasa zake lakini zaidi zinampa ubatizo halali wa kuitwa jina jipya la “Mr Clean”

Mwigulu anasifika kwa Uzalendo wake, kuwahurumia wanyonge na kusukuma maendeleo na kwa miaka yote hiyo ndio imekua sifa inayomtofautisha na wanasiasa wengi sana nchini.

Kwa watu wenye kufuatilia masuala ya siasa, ni mara chache sana ripoti hizi zimekua zikipita bila kuwataja baadhi ya mawaziri kuhusika na upotevu au ubadhilifu wa fedha za umma, kikombe ambacho Mwigulu naona amekiepuka na kujipa uhalali wa kuitwa MR CLEAN.

SWALI kuu kwa sasa ni je, Mwigulu Nchemba ndio Mr Clean wa kizazi chetu kufuatia kupata uhalali wa usafi na taarifa zote za kikaguzi?View attachment 2806853
IMG-20231107-WA0090.jpg
 
Not so fast.
Usituchanganye akili kwa kutupa rejea tusizozijua sisi.

Tueleze tu, yeye kama kiongozi wa eneo hilo anafanya nini kuhakikisha madudu hayafanywi na wengine walio chini yake, hata kama yeye hafanyi hayo maovu. Ukitueleza hilo, hapo tutaanza kumtazama kwa sura unayotaka kutuaminisha wewe hapa kuwa anayo.

Matatizo yenu siku hizi, watu mmepoteza 'objectivity' kwa kila kitu.
Nsha yako hapa inakuwa kama unampigia kampeni huyu unayemsifia. Tunaambiwa siku hizi kujitambulisha kuwa "chawa" au "kunguni" ni jambo la kujisifia sana katika jamii.

This is terrible!
 
Uongozi hupimwa kwa mambo mengi sana lakini kipimo cha juu zaidi kwa mujibu wa Carol S. Pearson, Mwandishi nguli wa masuala ya uongozi ni kipimo kitokanacho na uhalali wa kimaadili. Kwake yeye maadili ni nguzo mama katika kupima uwezo wa kiuogozi wa mtu yeyote katika utumishi wa umma.

Bunge lipo katika vikao vinavyojadili taarifa tatu muhimu za kiukaguzi. Kwanza taarifa ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG, Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC sambamaba na Kamatu tatu za Bunge za Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC, PAC na PIC.

Kitu kimoja kimevuta na kinavutia macho ya wachambuzi wengi wa masuala ya uchumi na siasa na hiki ni moja wapo. HAKUNA MAHALA MWIGULU KATIKA TAARIFA ZOTE TATU ANATAJWA KUHUSIKA NA UPOTEVU WA HATA SENTI MOJA YA UMMA

Taarifa za CAG ni moja ya taarifa muhimu sana katika kutengeneza uhalali wa kimaadili katika utumishi wa umma wa ngazi ya juu kama uwaziri, na kwa vyovyote vile taarifa hii inapokupa uhalali au usafi humaanisha kwamba imekupa utakaso na usafi maana ndio kipimo cha juu kabisa cha ukaguzi na uwajibikaji katika fedha za umma.

Hizi taarifa zote tatu za CAG kupita bila kumtaja popote si tu zinampa Mwigulu Nchemba positive impressions katika siasa zake lakini zaidi zinampa ubatizo halali wa kuitwa jina jipya la “Mr Clean”

Mwigulu anasifika kwa Uzalendo wake, kuwahurumia wanyonge na kusukuma maendeleo na kwa miaka yote hiyo ndio imekua sifa inayomtofautisha na wanasiasa wengi sana nchini.

Kwa watu wenye kufuatilia masuala ya siasa, ni mara chache sana ripoti hizi zimekua zikipita bila kuwataja baadhi ya mawaziri kuhusika na upotevu au ubadhilifu wa fedha za umma, kikombe ambacho Mwigulu naona amekiepuka na kujipa uhalali wa kuitwa MR CLEAN.

SWALI kuu kwa sasa ni je, Mwigulu Nchemba ndio Mr Clean wa kizazi chetu kufuatia kupata uhalali wa usafi na taarifa zote za kikaguzi?View attachment 2806853
View attachment 2806854
Katika CCM ni huyu pekee ndiye ambaye anayeweza kurudisha nidhamu serikalini na uthubutu wa kufanya maamuzi magumu. Baniani mbaya lakini kiatu chake dawa.

Huyu Mwigulu anaweza kuwa na roho ngumu zaidi hata ya ile aliyokuwanayo JPM. Nahisi kabisa pengine huyu ndiye yule ambaye ajaye.
 
Usikute hiyo hela uliyohingwa ili kuja kumsafisha huyo mwizi wenu, imetokana na zile tozo anazotukata kila siku, na huku zikiwa hazijulikani zinakoenda!!!

I wish ningekuwa Hamza. Watu kama nyinyi ningefumua tu ubongo.
Inawezekana tupo njiani kuelekea kwenye hatua hiyo. Haya yanayo endelea siku hizi siyo mambo ya kawaida hata kidogo.
Tutafika mahali watu watakosa uvumilivu na kuanza "...kufumuana ubongo."
 
Back
Top Bottom