Vyama vya watoa huduma binafsi Vs Serikali

Richard mtao

JF-Expert Member
May 13, 2018
209
236
Habari wana JF!

Leo nimebahatika kuona taarifa kwa Umma iliyotolewa na mwenyekiti wa vyama vya watoa huduma za afya binafsi vikionesha msimamo wao dhidi ya kutokukubaliana na kitita kipya cha mafao ya matibabu kinachotolewa na serikali kupitia NHIF.

Sasa kinachonishangaza hapa ni kwanini vyama hivi vimeamua kuchukua uamzi huu licha ya kuwa kuna utaratibu mzuri ambao ungefatwa ili kupunguza malumbano/ Mvutano?

Lakini pia kwann watoa huduma binafsi wanatanguliza sana maslahi yao binafsi bila kujali uhai na afya za watanzania wenzetu?

Kwanini wasingefuata utaratibu mzuri kuonesha kutokuridhika na kitita hicho ili maboresho yaweze kufanywa kulingana na uhitaji wao?

Je wanadhani, msimamo huo wateja wao ambao ndio sisi tunawatizama vipi? Tunawachukuliaje?

Au wana JF nyie mna yapi ya kuzungumza katika hili?????
 
Watakuja muda si muda
 
Hili jambo halijakaa sawa kabisa, naona pande zote zina matatizo, watoa huduma binafsi hawakuweka mbele kabisa maslahi ya wateja wao,,,,na serikali Kwa upande wa pili imeshindwa kuangalia maslahi ya wananchi wake.

Kwanini hawakukaa katika meza ya majadiliano na kuangali maslahi ya kila upande bila kuwaathiri wananchi hawa wanyonge?

Hilo swala linatia aibu sana wacheze na mambo yote lkn sio afya za watu
 
Back
Top Bottom