Kijana unamaanisha na sisi tuyazoee au? Hivi waliochanwa uso, waliopata BP na waliokufa nao walikanyagana??:twitch:
Mkazi huyu wa Gongolamboto akimuonesha askari wa
jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kuta iliyopenyuliwa
na Bomu kutoka Ghala la Ukonga.
1 Maoni Links to this post
Kwa masikitiko makubwa wakazi hawa wa Gongolamboto
wakitazama uharibifu mkubwa uliofanywa na bomu lililogonga
jengo hili na kusababisha hasara ambayo mpaka sasa haijajulikana.
0 Maoni Links to this post
Habari Katika Picha-Mabomu Gongolamboto
Wakazi wa Gongolamboto wakitazama kwa hofukipande cha Bomu kilicholipuka.
Msanii wa Kikwere!
Mkuu unachekesha sana!!Tuilaumu serekali ya mfalme juha.
Nafikiri ni mswahili tu,anatafuta balaa tu!!huyo jamaa anayechungulia bomu hapo ni mtaalamu wao au ni mwananchi tu wa kawaida?