Gongo la Mboto hakuna umeme siku mbili, CCM mbele kwa mbele

deblabant

JF-Expert Member
Oct 7, 2022
899
1,331
Huku gongo la mboto siku mbili mfulilizo hakuna umeme mpaka Sasa. Halafu nchimbi anawaalika eti wapinzani waemde kuzungumza kwa hoja.

Dunia ya Leo mnakatiwa umeme siku mbili na Bado ukiwabia watu waandamane waungane na chadema wanakwambia ccm bele kwa mbele. Aise sisi waafrica tumelaaniwa na aloyeanza kutuloga ni jpm.
 
Bashite anawezaje kuitetea serikali ya CCM iliyokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 60 na kushindwa kusimamia uwepo wa huduma za uhakika kwa wananchi?
Wananchi wamewezaje kuivumilia ccm kwa miaka 60 bila kupatiwa huduma?
 
Ndugu wqnanchi muwe na subira, sisi shirika la umeme tuna repair mitambo kwa sasa...
 
Back
Top Bottom