Gongo la mboto in pictures....

4.JPG

BI REGIA MTEMA AKIONGELEA MILIPUKO YA MABOMU.....
 
Hapa ni milipuko tu ya mabomu yasikuwa na mweelekeo maalum. Sasa watanzania ndiyo wanatakiwa kujua kwa vita ni balaa tupu.

vita ni balaa lakini ndio njia pekee ya kuleta heshima na kuondoa uzembe kama huu.kama mmeyalipua ili kutisha wananchi basi mjue hatishiki mtu!
 
Haya mambo yanaathiri sana wanawake na watoto!! Manake ukiangalia hao watoto hutamani kuendelea kuangalia.............Daaaaaa wanaume siju walikuwa kazini bado!!!
 
haya ni ya kawaida kabisa huko Baghdad na Kabul. wananchi rudini nyumbani msipoteze wakati kuzungumzia tukio hili anzeni kurekebisha nyumba zenu. Wengi wa watu hawakuumia kwa milipuko bali ajali za njiani, kuanguka kwenye giza na kukanyagana. Jambo la maana litokeapo tukio kama hili ni kutochomoka kwa pupa
 
Kijana unamaanisha na sisi tuyazoee au? Hivi waliochanwa uso, waliopata BP na waliokufa nao walikanyagana??:twitch:
 
haya ni ya kawaida kabisa huko Baghdad na Kabul. wananchi rudini nyumbani msipoteze wakati kuzungumzia tukio hili anzeni kurekebisha nyumba zenu. Wengi wa watu hawakuumia kwa milipuko bali ajali za njiani, kuanguka kwenye giza na kukanyagana. Jambo la maana litokeapo tukio kama hili ni kutochomoka kwa pupa

Hayajakukuta ndiyo maana unasema hivyo, wameumia wakiwa wanakimbia kwa sababu ya milipuko...,unafikiri hao unaosema wamechomoka kwa pupa ni wajinga sana na wewe ni mwerevu..
 
Inauma sana. Cha kushangaza JK kaenda kambini anachekacheka tu badala ya kuwajibisha watu. Eti anasema tusisikilize radio mbao
 
Mkazi huyu wa Gongolamboto akimuonesha askari wa
jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kuta iliyopenyuliwa
na Bomu kutoka Ghala la Ukonga.​

1 Maoni Links to this post

Kwa masikitiko makubwa wakazi hawa wa Gongolamboto
wakitazama uharibifu mkubwa uliofanywa na bomu lililogonga
jengo hili na kusababisha hasara ambayo mpaka sasa haijajulikana.

0 Maoni Links to this post

Habari Katika Picha-Mabomu Gongolamboto

Wakazi wa Gongolamboto wakitazama kwa hofu​
kipande cha Bomu kilicholipuka.​

<table class="tr-caption-container" style="margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: center;"> </td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;">Nyumba ya mkazi mmoja wa Gongolamboto ikiwa imeharibiwa na Mabomu yaliyolipuka kutoka kambi ya JWTZ Gongolamboto.</td></tr> </tbody></table> 0 Maoni Links to this post

<table class="tr-caption-container" style="margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody> <tr><td style="text-align: center;"> </td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;">Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama Tanzania JWTZ, Bw.Davis Mwamunyange, akijadili kitu katika eneo la tukio.</td></tr> </tbody></table>
3 Maoni Links to this post

<table class="tr-caption-container" style="margin-left: auto; margin-right: auto; text-align: center;" align="center" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody> <tr><td style="text-align: center;"> </td></tr> <tr><td class="tr-caption" style="text-align: center;">Wakazi wa Gongolamboto Wakitambua ndugu zao, uwanja wa Uhuru.</td></tr> </tbody></table>
2 Maoni Links to this post
 
C_o siri inauzunisha jana ulilala na hali shwari unaamka na hali tete,mungu azilaze roho za marehem wote mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom