Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,014
- 95,368
Wapendwa Marafiki, Wajukuu na wote wenye mapenzi mema, salaam
Ilikuwa weekend mbaya sana kwa ODM, Baada ya kushtushwa na msiba wa watanzania wenzetu kwenye ajali ya meli haukupita muda nikapigiwa simu.Nikaambiwa Mjukuu wangu mwema wa hapa JF, binti mpole na mcheshi aliyekuwa msikivu na mwelewa, gwiji hapa JF hususani jukwaa pendwa MMU amefariki dunia. Inauma sana! Inauma sana ndugu zangu.....
Imagine siku moja kabla ya kifo chake (jumatano jioni), niliona missed call yake kwenye simu yangu (Nahisi alikuwa ananiaga, labda)..... Baadaye nikampigia hakupokea...... Kesho yake nikampigia simu yake ikawa haipatikani!!!! Kumbe maskini alikuwa ameshatangulia mbele ya haki!!!!
Niliumia sana, nikaingia JF kufuatilia threads na posts zake.........
Hii alibisha hodi......
https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/101596-hodi-jamvini.html?highlight=
Hapa akatutakia weekend njema;
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/121026-weekend-njema-wana-mmu.html?highlight=
Alivyokuwa na upendo, hapa alikuwa anawaomba watu wajitolee damu kuwasaidia wahanga wa mabomu Gongo la Mboto.
https://www.jamiiforums.com/habari-...-mahitaji-ya-damu-kwa-wahanga.html?highlight=
Hapa akawa anatafuta ushauri kwa ajili ya mpendwa
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/122420-msaada-kwa-mkaka.html?highlight=
Yaliyomkera pia aliyasema.....
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/125696-abbreviations.html?highlight=
Ni mengi mno.........kwa manaomkumbuka mtakuwa shahidi yangu, kuwa JF imempoteza mtu muhimu sana. Mipango ya Mungu haina makosa...... Nilitaka kujua sababu ya kifo chake. Mfanyakazi mwenzie wakiwa wanalitumikia shirika la msalaba mwekundu huko Kigoma akaniandikia hivi:
Kadi kwa hisani ya Afrodenzi..........
Marehemu Ameacha mtoto mmoja wa kiume....Picha kwa hisani ya kiritimba.
Kadi kwa hisani ya Afrodenzi......

- She had Pregnancy compllications.....especialy what so called Pregnancy induced Hypretension....which Lead to what so called Eclampsia.....therefore on an attempt to Help her things went Worse...and she called off arround 4:00 Earlier thursday Morning...!!
- Ndo hivyo mkuu...!!hata cc 2mechanganyikiwa kabisa...!!ni mtumishi mwenzetu...!!especialy me..tulikuwa tukifanya report naye ya kufunga nusu mwaka na 2kapata wote Lunch...just a Day b4 her tragedy....!!hivi naongea jana Wamemsafirisha kwenda Dar kwa parents wake probably wameshaingia leo taratibu zaid bado cjazipata..!!
Anyway; She was laid to rest Jumamosi, Mbezi Beach.
Please join me to pray for her soul to rest in peace. Amen