Gone Too Soon: RIP JF Member.....Chetuntu!!!

...Chetuntu ametutangulia, nasi twafuatia..mwenyezi mungu amsamehe alipoteleza, namuombea aiweke roho yake pahala pema peponi, AMEEN.
 
Pumzika kwa amani mpendwa tulikupenda sana ila Mwenyezi Mungu alikupenda zaidi....Kazi yake haina makosa
 
Death is when your loved ones must depart

Death is a sharp pain to the heart

Death is a feeling of permanent sadness & pain

RIP Sister!
 
haiwezekani wajameni....!

we kidonge huyu mwanamama ni kama nimeshawahi kuongea nae kwa simu mwezi mmoja umepita tukiwa wapi sijui....sio huyu kweli?

NO NO NO NO!...THIS ONE CAN'T BE
 
Ha! ime ni shock sana!! wiki mbili zilizopita nilikuwa MMU nasoma nikajiuliza chetuntu wapi!! nikikumbuka avatar yake!!!!

RIP Chetuntu.
 
haiwezekani wajameni....!

we kidonge huyu mwanamama ni kama nimeshawahi kuongea nae kwa simu mwezi mmoja umepita tukiwa wapi sijui....sio huyu kweli?

NO NO NO NO!...THIS ONE CAN'T BE
Yeah....ndiye yeye mkuu. Ni koleji meti wa homeboy wangu Kimey!

So Sad!.......RIP Chetuntu!
 
Siamini toka jtano nimesikia kuhusu kifo chake nakusikitika sana lakini miaka yote hii sijui huyu dada ni member wa jf hadi leo. RIP dada yangu mpendwa. Inauma sana
 
Siamini toka jtano nimesikia kuhusu kifo chake nakusikitika sana lakini miaka yote hii sijui huyu dada ni member wa jf hadi leo. RIP dada yangu mpendwa. Inauma sana
Pole sana Maty, ndo hivyo tena. Unaweza tukanana na mtu huku kumbe mama yako........Inauma sana jamani!
 
Jamani RIP Chentuntu

Kind of overheard hii habari ya huu msiba Jana sehem sehem, ila sikujua kama ni huyu (mambo ya ID)

Kusoma hapa am so saddened jamani,,,,kweli gone too soon

May the Lord God grant you eternal peace, AMEN!

Dah
 
Jf 2limpenda sana ila mungu kampenda zaidi.let ha R.I.P Amen.
 
Aksante kwa taarifa Babu Marehemu apumzike kwa amani Amen.....Inna Lillahi Wainna Lilah rajuun
 
Jamani RIP Chentuntu

Kind of overheard hii habari ya huu msiba Jana sehem sehem, ila sikujua kama ni huyu (mambo ya ID)

Kusoma hapa am so saddened jamani,,,,kweli gone too soon

May the Lord God grant you eternal peace, AMEN!

Dah
Inauma sana hommie!
 
Back
Top Bottom