Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,570
Binafsi yangu napenda sana WANAFUNZI na WANACHUO waandamane sana.. kwa sababu maandamano yana FAIDA kubwa kwao kuliko MASOMO yao... KWA HAKIKA WANAFUNZI WAENDELEE KUANDAMANA kwa sababu MAANDAMANO yao YATAWASAIDIA sana KUJIKOMBOA na kuzijua HAKI ZAO!!!
KWA HAKIKA WAHIMIZENI KOTE MNAKOPITA SI GL PEKE YAKE AFANYE KAZI HIYO... JITAHIDINI WOTE MUIFANYE KAZI HIYO KWA SABABU ITAJENGA TAIFA!!! NA MIAKA SITA IJAYO TUTAONA MATUNDA YAKE!!!
WAO WATAKUWA WANAKULA KUKU, WALIOANDAMANA WATAKUWA WANAFANYA TATHMINI!
Kuna mambo ya msingi.... nashangaa sana! Kazi za WATAALAMU zinafanywa na WAJINGA!
Wanaopelekwa ili wakafute UJINGA ndio wanabobea katika UJINGA! Inasikitisha lakini ni heri kupoteza WAJINGA huku tukipata WATAALAMU WACHACHE.... miaka ijayo bila kuwa na Master hutopata uwaziri wala UBUNGE! sasa sijui hawa waandamanaji wata-KIHIYO vyeti ili kukidhi matakwa ya wakati huo? au watarudia tena kusoma uzeeni?
Maskini Tanzania!
Samahani hapa nitatoa mfano:
Zamani nilipata kuambiwa, UKIONA MBWA ANABWEKA SANA, BASI JUA MBWA HUYO ANATAKA WAJUE KWAMBA YUPO!! Lakini mambo yakibadilika MBWA HUYO HUKAA KIMYA KAMA HAYUPO!
Namaanisha kwamba ni suala la muda tu kujua, kweli yu makini au kuna jingine....
Itatuchukua muda nchi hii kufika kule tunakotaka, vinginevyo hatutafika! Wacheni TUSIFIANE, na kuvikana VILEMBA VYA UKOKA.