Godbless Lema ni mwanasiasa anayejiamini mno

cha moto watakiona lema ni shujaa na mungu ameleta watu kama hawa kwa makusudi ili taifa likombolewe pambana na tuko nyuma yenu nguvu ya uma wala msiwe na wasiwasi hata kipindi cha uchaguzi tulikuwa tayari kwa lolote kuingia mtaani kudai haki yetu ya uraisi sema dk slaa alitumia busara nakuona aina haja ya kumwaga damu ya watanzania masikini kama mungu amepanga kuwa ataiongoza hii nchi basi iko siku tutakutana pale uwanja wa taifa na kumwapisha dk slaa kuwa raisi wetu alafu mafisadi watakiona cha moto
 
kaka, hawawezi kumtoa kafara,,, arachuggah hapatakalika... Hata wafanyeje, kwanza nangoja kwa hamu izo 21 dayz ziishe,, mi nakuhakikishia, machalii wataleta kwere mbaya.. Ccm wajiandae tu kumtoa meya,,,,
lema anakubalika sana nyumbani na hata nje, they cant dare touch him

Jomba hebu niambie katika hizo masiku 21 walizotoa chama tawala arachuga zimebaki ngapi ili turudi faster
 
Wanajamvini nilikuwa naangalia taarifa ya habari Channel 10 kuhusu sakata la dodoma nillkichokiona kwa Lema ni kuwa huyu ni mtu jasiri. Mkuu wa mkoa anasema "kuanzia sasa wanasiasa hawaruhusiwi kwenda vyuoni na kufanya shughuli za kiasiasa kwa kuwa wanasababisha vurugu na ndio maana wanafunzi wa UDOM wamejaa pale na kuletya vurugu". Lema akahojiwa akasema na "yeye hatasimama kwenda kwenye vyuo kwa kuwa si dhambi ataenda vyuo vingi tu hakuna sheria yoyote anayovunja kuongea na wanafunzi na mazingira anayoongea ni yale aliyokuwepo mkuu huyo wa mkoa ingawa watu wa TV hawakuonyesha mkuu huyo wa mkoa alikuwa wapi. anasema alikwenda UDOM kuwaambia wanafunzi waje kutoa mawazo yao kwa kuwa mswada umeandikwa kwa kiingereza na wale ni wasomi wanajua wanachangia nini. Nikasema hivi huyu jamaa akipewa uongozi wa aina yoyote sehemu anayoisimamia itakuwaje, Namkubali sana huyu jamaa ktk kuwakilisha hisia zake.Mungu amlinde

huyo dokta wa kuangalizia msekele amechoka ukuu wa mkoa anataka kuwa waziri. that is why anatoa povu la maji ya magadi.
 
Tatizo la CCM walifikiri Watanzania wote hawana akili ndio sababu ya kuwalaghai kwa kumtumia RA kuendesha utapeli wao, lakini kila chenye mwanzo kina mwisho. Angalia mtoto anapozaliwa wazazi husheherekea na kumlea hadi akue, lakini hawezi kuishi zaidi ya miaka mia anakuwa amekufa na katika hiyo miaka mia 50% ni kufukuza upepo tu hakuna lolote la maana. Sasa itakuwa hii CCM chama ambacho kimeanzishwa tu na kuwekewa mazingara ya kuongoza wakati miiko yake imevunjwa?
 
kwanza rc alishindwa kwenye kura za maoni hivyo hawezi jilinganisha na gl! tunakuzimia gl ! mungu akulinde cku zote!
 
Ukiweza kushindana na Lowassa na ukamshinda, Basi hamna mtu mwengine yeyote TZ atakuweza.
 
Mimi sintamsahau kwakauli yake moja namnukuu! Wao wanapesa sisi tuna Mungu! mwisho wa kumnukuu bwana Lema!
 
Ukimwaga mboga namwaga ugali! bravo Lema, ujasiri ndo utatutoa kwenye mikufu ya haya, majizi na maporaji ya haki za binadamu
 
Lema ulipigika Arusha kutokana na wew kuonekana kinara wa zile vurugu...ukawekwa rumande bado haikutosha.......

Juzi mlikua Iringa baada ya mkutano....ukagoma panda gari eti wataka tembea kwa mguu ukiuza sura mpaka Lodge mlofikia......matokeo yake vija wahuni wakaanza maandamano nyuma yako...ikawa fujo na mshike shike iringa nzima hadi serikali ikaagiza mapolisi....kana kwamba ulianzisha maandamano......

Kama hayo yote hayatoshi umeenda alika wanachuo UDOM...eti waje fuatilia kwa kina ukumbi wa Pius Msekwa mjadala wa muswada.....kilichotokea ni Fujo....

TAFADHALI LEMA USITUFIKISHE MAHALA AMBAPO TAIFA HILI LENYE WASTAARABU HALIKO TAYARI KUFIKA (UMWAGAJI DAMU)

Wana JF..... LEMA ANAPENDA FUUUUJOOOOO....TUMKANYE.. AHSANTENI.
 
Umetumwa vibaya wewe! Shame on you na hao wapuuzi walokutuma. Mtasema yote mwaka huu, mbna bdo mchana hv? Fisadi mkubwa wewe!

Wewe ndiwe mwenye fujo. Na Serikali yako pia ina Fujo. Na Rais wako pia ana Fujo. Na Jeshi unalotumikia pia lina Fujo. Na Spika wa Bunge la Nchi yako ana Fujo. Na Watu wa Chama chako wote wana Fujo ktk kuiba mali za wananchi masikini, in a broad daylight, eyes wide open, shamelessly. Natamani kukuona nikufunze maana ya Fujo. Fait Accompli!!

Uko sahihi.
Huyu dogo anasumbuliwa na uelewa mdogo na kupenda ushabiki wa kijinga.
Hajui ubunge ni wadhifa wenye heshma.
Bado ana mawazo yale yale aliyokuwa nayo alipokuwa CHALII.

Ni aibu kwa Bunge letu kuwa na mwakilishi kama yeye asiyependa kufuata sheria alizotunga.
 
Lema ulipigika Arusha kutokana na wew kuonekana kinara wa zile vurugu...ukawekwa rumande bado haikutosha.......

Juzi mlikua Iringa baada ya mkutano....ukagoma panda gari eti wataka tembea kwa mguu ukiuza sura mpaka Lodge mlofikia......matokeo yake vija wahuni wakaanza maandamano nyuma yako...ikawa fujo na mshike shike iringa nzima hadi serikali ikaagiza mapolisi....kana kwamba ulianzisha maandamano......

Kama hayo yote hayatoshi umeenda alika wanachuo UDOM...eti waje fuatilia kwa kina ukumbi wa Pius Msekwa mjadala wa muswada.....kilichotokea ni Fujo....

TAFADHALI LEMA USITUFIKISHE MAHALA AMBAPO TAIFA HILI LENYE WASTAARABU HALIKO TAYARI KUFIKA (UMWAGAJI DAMU)

Wana JF..... LEMA ANAPENDA FUUUUJOOOOO....TUMKANYE.. AHSANTENI.

Nyinyi ndio watanzania tusiowataka nchi hii huyo Tanzania ndie mwanasiasa anayetakiwa kwa sasa kwa uopuuzi wa viongozi wako ndio maana watu wanashawishiwa kirahisi, we damu kumwagika ndio utabiri wako kwa taarifa yako damu haitamwagika Tanzania kama viongozi wako wakibadilika wasipobadilika basi acha damu imwagike vizazi vijavyo vije kujua kwamba tulipambania haki zao kwenye ardhi yetu hufai na mitazamo yako hiyo acha woga
 
Back
Top Bottom