Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Lema mwongo kashindwa kupeleka watu mia moja kwa Babu Loliondo ataweza kusomesha wanafunzi 400.Lema yuko busy anamalizia kibanda chake Njirooooooooooo.Tunasubiri ahadi ya machinga complex na hospital tatu.

Kupeleka watu loliondo kwa babu haikuwa kwenye manifesto yake.

Kusomesha watoto kutoka familia zisizo na uwezo ilikuwa kwenye manifesto yake, kwahiyo si jambo la ajabu kutopeleka watu loliondo lakini akaweza kusomesha watoto!!

Kwani akijenga kibanda njiro ni nongwa?? ama ulitaka mshahara wake na malipo mengine afanyie nini, akakae kiti kirefu?

ArDF ndiyo inafanya kazi ya kukusanya fedha na kusomesha hao watoto, sasa usichoelewa hapo ni nini?
 
Ungekuwa wewe ni mgeni sana hapa jamvini labda ningekuwekea mabandiko yake mengi alivyo na chuki binafsi na Lema, lakini kwa sababu wewe upo humu kila siku lakini umeamuwa kujitia upofu kwamba hujui hidden agenda ya huyo mpuuzi basi pole sana.
Ok swali linarudi ukaribu wa JK na Mattaka ni nani wa kutupa hayo maelezo? naona wote mnaskip.

Mkuu yaani unakosea sana kusema naona nyote mnaskip...., mimi ni mtu ambae agenda personal za mtu huwa hazinisumbui (maybe ndio sababu hata mabandiko hayo ya zamani unayosema mimi sikuyaona) na kuwa karibu na mwizi haimaanishi kwamba wewe ni mwizi..., watu wanawazazi wao majambazi wakati wenyewe ni watakatifu .., hata Hitler angeweza kumzaa Mother Theresa

Hapa mimi ninachopigania ni "Where we Dare to Speak Openly...."
"Uwazi na Transparency"

Who cares kama alikuwa Jambazi zamani na sasa ameacha?, what matters i now..... LAKINI Hata kama jamaa ana chuki binafsi sio bora kuonyesha huo uongo anaotoa na mwisho wa siku atajulikana kama ni muongo na ana chuki binafsi.....?

Au mtu mwenye chuki binafsi hawezi siku akasema ukweli?
 
Kupeleka watu loliondo kwa babu haikuwa kwenye manifesto yake.

Kusomesha watoto kutoka familia zisizo na uwezo ilikuwa kwenye manifesto yake, kwahiyo si jambo la ajabu kutopeleka watu loliondo lakini akaweza kusomesha watoto!!

Kwani akijenga kibanda njiro ni nongwa?? ama ulitaka mshahara wake na malipo mengine afanyie nini, akakae kiti kirefu?

ArDF ndiyo inafanya kazi ya kukusanya fedha na kusomesha hao watoto, sasa usichoelewa hapo ni nini?
Maranya taratibu usiwe na haraka na hawa watu, wameshahama kwamba Lema ni Jambazi sasa wanasema Lema ni mwongo, wewe endelea kuwaangalia watakimbia wote hawa sasa hivi. wote hawa ni wachumia tumbo tu na mtaji wao ni karamu na keyboard tu basi.
 
So far sijaona ushahidi wowote wa kumhusisha Lema na ujambazi iwe kwa tukio la dhahiri au linalofanana. Mwenye ushahidi aje nao wa siku, mwaka na saa tafadhali ili tuanzie hapo. Hizi porojo hazina maana!
 
Mkuu yaani unakosea sana kusema naona nyote mnaskip...., mimi ni mtu ambae agenda personal za mtu huwa hazinisumbui (maybe ndio sababu hata mabandiko hayo ya zamani unayosema mimi sikuyaona) na kuwa karibu na mwizi haimaanishi kwamba wewe ni mwizi..., watu wanawazazi wao majambazi wakati wenyewe ni watakatifu .., hata Hitler angeweza kumzaa Mother Theresa

Hapa mimi ninachopigania ni "Where we Dare to Speak Openly...."
"Uwazi na Transparency"

Who cares kama alikuwa Jambazi zamani na sasa ameacha?, what matters i now..... LAKINI Hata kama jamaa ana chuki binafsi sio bora kuonyesha huo uongo anaotoa na mwisho wa siku atajulikana kama ni muongo na ana chuki binafsi.....?

Au mtu mwenye chuki binafsi hawezi siku akasema ukweli?
kwani wewe unapata shida gani kutufafanulia ukaribu wa JK na Mattaka ambae ana shutuma nyingi hapa mjini?
 
Maranya taratibu usiwe na haraka na hawa watu, wameshahama kwamba Lema ni Jambazi sasa wanasema Lema ni mwongo, wewe endelea kuwaangalia watakimbia wote hawa sasa hivi. wote hawa ni wachumia tumbo tu na mtaji wao ni karamu na keyboard tu basi.
Wamehamia pia ni kibaraka wa JN.. Aisee ngoja tuwape nafasi manake wanaonekana wana data nyingi sana!... Yan mpaka raha!
 
By default

Mkuu wangu akina Chonjo wameshahi kufungwa records zipo fuatilia.Umesahau Falme Chonjo alikuwemo kwenye lile sakata la ujambazi Njiro[Sunami] na raia wa Kenya.

Ngongo ningependa kufahamu kama Lema alishawahi kufunguliwa mashitaka yoyote ya wizi ama ujambazi kama unavyotujulisha kwa kuwa it seems unamfahamu vizuri sana.

Kama ushahidi upo wa chonjo family kufungwa basi itakuwa vizuri ukatuletea ushahidi wa Lema kushitakiwa kwakuwa hujawahi kukiri mahali popote tangu uanze kumrushia mawe kwamba alikuwa akishiriki vitendo vya ujambazi.

Kama kweli Lema alikuwa ni jambazi kiasi cha kufikia hadi unawafahamu washirika wake na walishakufa basi ni wazi kwamba ushahidi utakuwepo kwa walioibiwa ama kudhurika na uharamia huo wa Lema. Sasa unisaidie kitu kimoja tu kama nilivyosema hapo awali, naomba ushahidi kwamba alishawahi kuripotiwa kituo chochote cha polisi ama kushitakiwa mahakamani hata kama mahakama ilimuachia huru.
 
Katoa ahidi mwenyewe watu wasio na uwezo wajiandikishe atawapeleka Loliondo walipojitokeza akaingia mitini.

Kwa taarifa yako huo mfuko gogoro imeshaingia fedha zinachangwa wanaosomeshwa watoto wa watu wenye uwezo.Mahesabu hayakaguliwi mkuu wa mfuko yeye mweka hazina mke wake.Mfuko wenyewe umeshajifilia mbali.

Nawashagaa watu wa Arusha kawadanganya atawajengea hospital tatu na machinga complex ukimuuliza viwanja viko wapi olahhh.yuko busy na nyumba yake Arusha mmeliwa.

Kupeleka watu loliondo kwa babu haikuwa kwenye manifesto yake.

Kusomesha watoto kutoka familia zisizo na uwezo ilikuwa kwenye manifesto yake, kwahiyo si jambo la ajabu kutopeleka watu loliondo lakini akaweza kusomesha watoto!!

Kwani akijenga kibanda njiro ni nongwa?? ama ulitaka mshahara wake na malipo mengine afanyie nini, akakae kiti kirefu?

ArDF ndiyo inafanya kazi ya kukusanya fedha na kusomesha hao watoto, sasa usichoelewa hapo ni nini?
 
Katoa ahidi mwenyewe watu wasio na uwezo wajiandikishe atawapeleka Loliondo walipojitokeza akaingia mitini.

Kwa taarifa yako huo mfuko gogoro imeshaingia fedha zinachangwa wanaosomeshwa watoto wa watu wenye uwezo.Mahesabu hayakaguliwi mkuu wa mfuko yeye mweka hazina mke wake.Mfuko wenyewe umeshajifilia mbali.

Nawashagaa watu wa Arusha kawadanganya atawajengea hospital tatu na machinga complex ukimuuliza viwanja viko wapi olahhh.yuko busy na nyumba yake Arusha mmeliwa.
Jk pia alitudanganya watu wa arusha wakati wa kampeni zake, mbona yeye humsemi?
 
Ngongo ningependa kufahamu kama Lema alishawahi kufunguliwa mashitaka yoyote ya wizi ama ujambazi kama unavyotujulisha kwa kuwa it seems unamfahamu vizuri sana.

Kama ushahidi upo wa chonjo family kufungwa basi itakuwa vizuri ukatuletea ushahidi wa Lema kushitakiwa kwakuwa hujawahi kukiri mahali popote tangu uanze kumrushia mawe kwamba alikuwa akishiriki vitendo vya ujambazi.

Kama kweli Lema alikuwa ni jambazi kiasi cha kufikia hadi unawafahamu washirika wake na walishakufa basi ni wazi kwamba ushahidi utakuwepo kwa walioibiwa ama kudhurika na uharamia huo wa Lema. Sasa unisaidie kitu kimoja tu kama nilivyosema hapo awali, naomba ushahidi kwamba alishawahi kuripotiwa kituo chochote cha polisi ama kushitakiwa mahakamani hata kama mahakama ilimuachia huru.
Unapoteza muda wako bure kumuuliza maswali magumu mtu ambae ni hater, kazi yake ni kuhate.
 
Asemalo Zombe lina ukweli ndani yake,kwani alishakuwa RCO Arusha,kwa maana nyingine afisa mkubwa kabisa wa upelelezi Arusha,LAZIMA anajua anga za Lema au walishawahi kukutana kikazi somewhere asipuuzwe kabisa.Kwa mawazo yangu madogo nafikiri Lema kwa sababu ni mbunge anataka kumpandishia pua au kumuonesha Zombe naye anaweza kulipiza kisasi kisa cha kudai CDM ikiingia madarakani Zombe hawezi kupona ni nini,hawa wanajuana na Zombe anamjua Lema vilivyo yawezekana kweli ni MWIZI hata matendo yake mbona tunayatilia shaka?.
<br />
<br />
hatudanganyikiiiiiiiiiïiii
 
Maranya taratibu usiwe na haraka na hawa watu, wameshahama kwamba Lema ni Jambazi sasa wanasema Lema ni mwongo, wewe endelea kuwaangalia watakimbia wote hawa sasa hivi. wote hawa ni wachumia tumbo tu na mtaji wao ni karamu na keyboard tu basi.

Kweli mkuu, wameshikwa pabaya, pamoja na kujitahidi kubadilisha agenda lakini wameshindwa kuthibitisha madai yao.

Bila shaka muda si mrefu watapotea kwenye hii thread, na kuibukia kwingine. Kusema kweli Lema anawapeleka mchakamchaka hadi wanaona aibu.
 
Inawezekana unamjua masawe vilivyo kuliko lema sasa jiulize kwa nini. Masawe ni jambazi wakati lema ni mbunge wa arusha mjini na anaeikosesha usingizi magamba muda wote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom