Godbless Lema na Alex Massawe: Uhusiano kibashara

Status
Not open for further replies.
Asemalo Zombe lina ukweli ndani yake,kwani alishakuwa RCO Arusha,kwa maana nyingine afisa mkubwa kabisa wa upelelezi Arusha,LAZIMA anajua anga za Lema au walishawahi kukutana kikazi somewhere asipuuzwe kabisa.Kwa mawazo yangu madogo nafikiri Lema kwa sababu ni mbunge anataka kumpandishia pua au kumuonesha Zombe naye anaweza kulipiza kisasi kisa cha kudai CDM ikiingia madarakani Zombe hawezi kupona ni nini,hawa wanajuana na Zombe anamjua Lema vilivyo yawezekana kweli ni MWIZI hata matendo yake mbona tunayatilia shaka?.

Usijali! Nakukaribisha na wewe ila uje na coke yako. Si umeona mi najinunulia mwenyewe?..
Usijali Matola is my Man, nitamtafuta jioni kwenye Ibada zetu za jioni tena kipindi hiki hakina fujo, kuna watu wamebadirisha masaa ya kula basi ni raha tupu huwaoni kwenye yale mahekalu yetu ya jioni.

Sasa wewe hapo ndio umechangia nini? hauoni kama kuna swali hapo linakimbiwa? watu nao wanahoji kama ukiwa na ukaribu na mtu mwenye rekodi mbaya je nawewe unahusika na matendo hayo?
kama jibu ni ndio, hapo ndipo linapokuja swali la uhusiano wa JK na Mattaka wadau nao wangependa wajulishwe uhusiano wao, kumbuka hawa ni maswahiba kabla ya JK hajawa Rais.
Mkuu simuongelei Jey Key aliyeleta mada..., namuongelea Mkuu Ngongo ambae amejitahidi kuongelea lile analolifahamu au ambalo amelisikia., sasa watu wameamua kumshambulia yeye badala ya data alizozitoa... Hakuna mtu hapa aliesema Lema ni Jambazi sababu kwa sheria zetu Hajawahi kushikwa (innocent till proven guilty)...,

Mbunge Lema kutumia mil. 60/- kila mwaka kusomesha wasiojiweza.

By Dullonet Tanzania– March 2, 2011

Na Halfani Lihundi, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, anatarajia kutumia jumla ya shilingi milioni 60 kila mwaka kwa ajili ya kusomesha watoto wanaotoka katika famili zisizojiweza.
Watoto hao ni wale wanaosoma kwenye shule za sekondari za kata kutoka kwenye kata 19 za manispaa ya Arusha.
Pesa hizo ambazo zinatoka kwenye taasisi ya maendeleo jimbo la Arusha ambayo iko chini ya ofisi ya mbunge huyo zitatumika kwa malipo ya ada na michango mbalimbali kwa jumla ya wanafunzi 400.

Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Elifuraha Mtowa, alisema wanafunzi hao ambao wazazi wao au walezi hawana uwezo wa kuwalipia ada watasomeshwa na mfuko huo hadi kufikia Chuo Kikuu.

ndo alikuwa ameingia bungeni hata miezi mitano haijafika alikuwa na mabilion ya hela

Kayatoa wapi??

Hivi unajua ngongo ameshaleta mara ngapi habari za mtaani kumuhusu lema? Ukubali ukatae ngongo ana chuki binafsi na lema na hilo liko wazi kabisa ndugu yangu.
Kama ni hivyo na anamlimbikizia uongo basi anakuwa anakosea.., lakini nadhani itakuwa bora kwa wanaojua ukweli wauweke wazi na penye ukweli uongo hujienga....

Haya mchana huu nakupa offer ya Burrito kutoka Chipotle mexican Grill. coca utajinunulia mwenyewe.

View attachment 34764

Mbunge Lema kutumia mil. 60/- kila mwaka kusomesha wasiojiweza.

By Dullonet Tanzania– March 2, 2011

Na Halfani Lihundi, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, anatarajia kutumia jumla ya shilingi milioni 60 kila mwaka kwa ajili ya kusomesha watoto wanaotoka katika famili zisizojiweza.
Watoto hao ni wale wanaosoma kwenye shule za sekondari za kata kutoka kwenye kata 19 za manispaa ya Arusha.
Pesa hizo ambazo zinatoka kwenye taasisi ya maendeleo jimbo la Arusha ambayo iko chini ya ofisi ya mbunge huyo zitatumika kwa malipo ya ada na michango mbalimbali kwa jumla ya wanafunzi 400.

Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Elifuraha Mtowa, alisema wanafunzi hao ambao wazazi wao au walezi hawana uwezo wa kuwalipia ada watasomeshwa na mfuko huo hadi kufikia Chuo Kikuu.

Matola naomba unijibu huyu mbunge hela kapata wapi kwa muda mfupi??

Mkuu simuongelei Jey Key aliyeleta mada..., namuongelea Mkuu Ngongo ambae amejitahidi kuongelea lile analolifahamu au ambalo amelisikia., sasa watu wameamua kumshambulia yeye badala ya data alizozitoa... Hakuna mtu hapa aliesema Lema ni Jambazi sababu kwa sheria zetu Hajawahi kushikwa (innocent till proven guilty)...,
Ungekuwa wewe ni mgeni sana hapa jamvini labda ningekuwekea mabandiko yake mengi alivyo na chuki binafsi na Lema, lakini kwa sababu wewe upo humu kila siku lakini umeamuwa kujitia upofu kwamba hujui hidden agenda ya huyo mpuuzi basi pole sana.
Ok swali linarudi ukaribu wa JK na Mattaka ni nani wa kutupa hayo maelezo? naona wote mnaskip.

JeyKey.

Mkuu wangu Lema na Massawe ni ligi mbili tofauti kabisa.Massawe anacheza ligi daraja la kwanza kamwe hawezi cheza na Lema[siku hizi Massawe anacheza na maharamia ya kisomali].Kama kuna mwanajamvi aliyetoa data za Godbless Lema hakuna wa kunifikia hata kidogo wengi waliniambia namchukia/namwonea wivu na nk.Lema ni nyoka mdogo[tafuta tafsiri Mererani] usiwe mvivu jitahidi kidogo kupitia mabandiko ya Lema utajifunza mengi.Tuhuma za Zombe si zakupuuzwa ingawa kazitoa muda ushapita sana mlizoea kupuza niliyosema leo maumivu yanaanza taratibu na bado mtasikia mengi.Lema alikuwa akicheza ligi ya akina marehemu Babu [Mtoto wa mwenyekiti wa CCM wilaya ya Arusha Mzee Kileo],marehemu Joseph [Macho man],Marehemu Ayub Masumai [Pank boy] na Chonjo family [wezi maarufu wa magari siku hizi wamestaafu gari lolote likiibiwa wa kwanza kukamatwa ni Chonjo family] na Imamu Sharifu huyu si mchezo aliwahi kuiba gari la mkuu wa mkoa kaachiwa katoka gerezani majuzi nusu ya ujana wake kautumia jela.Wote niliwataja hawako ligi ya Carlos aka Massawe mzee wa deal za kufa mtu muda mwingine nitarejea nikupatie visa vya Carlos.

asante ngongo kwakutujuza unayoyajua,pia poleni watu wa arusha kwa kuchagua mbunge mwenye tuhuma nzito za ujambazi sugu.tutajua mengi mwaka huu.

Mbunge Lema kutumia mil. 60/- kila mwaka kusomesha wasiojiweza.

By Dullonet Tanzania– March 2, 2011

Na Halfani Lihundi, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arusha, Godbless Lema, anatarajia kutumia jumla ya shilingi milioni 60 kila mwaka kwa ajili ya kusomesha watoto wanaotoka katika famili zisizojiweza.
Watoto hao ni wale wanaosoma kwenye shule za sekondari za kata kutoka kwenye kata 19 za manispaa ya Arusha.
Pesa hizo ambazo zinatoka kwenye taasisi ya maendeleo jimbo la Arusha ambayo iko chini ya ofisi ya mbunge huyo zitatumika kwa malipo ya ada na michango mbalimbali kwa jumla ya wanafunzi 400.

Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Elifuraha Mtowa, alisema wanafunzi hao ambao wazazi wao au walezi hawana uwezo wa kuwalipia ada watasomeshwa na mfuko huo hadi kufikia Chuo Kikuu.

Lema mwongo kashindwa kupeleka watu mia moja kwa Babu Loliondo ataweza kusomesha wanafunzi 400.Lema yuko busy anamalizia kibanda chake Njirooooooooooo.Tunasubiri ahadi ya machinga complex na hospital tatu.

Ungekuwa wewe ni mgeni sana hapa jamvini labda ningekuwekea mabandiko yako mengi alivyo na chuki binafsi na Lema, lakini kwa sababu wewe upo humu kila siku lakini umeamuwa kujitia upofu kwamba hujui hidden agenda ya huyo mpuuzi basi pole sana.
Ok swali linarudi ukaribu wa JK na Mattaka ni nani wa kutupa hayo maelezo? naona wote mnaskip.

David mattaka former CEO ATCL

Jk President of Tanzania

Though it's not Illegal unless you got caught!ila Lema ameshawahi kufanya unyama hadi kwa wauza madini wa hapa silk,nashangaa mnatetea tu bila vielelezo,soon atachukua dada zenu bila posa

Usijali Matola is my Man, nitamtafuta jioni kwenye Ibada zetu za jioni tena kipindi hiki hakina fujo, kuna watu wamebadirisha masaa ya kula basi ni raha tupu huwaoni kwenye yale mahekalu yetu ya jioni.
Lol... Msiniache tafadhali..

Kwani lema hana histolia ya uongozi?

Inakuwaje anaibuka vuuuuuuh ubunge?

Je akina massawa ndo wanampa nguvu??

Akisemwa Magamba hakuna chuki akisemwa magwanda kuna chuki eheeee kijiba cha roho.

Ungekuwa wewe ni mgeni sana hapa jamvini labda ningekuwekea mabandiko yako mengi alivyo na chuki binafsi na Lema, lakini kwa sababu wewe upo humu kila siku lakini umeamuwa kujitia upofu kwamba hujui hidden agenda ya huyo mpuuzi basi pole sana.
Ok swali linarudi ukaribu wa JK na Mattaka ni nani wa kutupa hayo maelezo? naona wote mnaskip.

Though it's not Illegal unless you got caught!ila Lema ameshawahi kufanya unyama hadi kwa wauza madini wa hapa silk,nashangaa mnatetea tu bila vielelezo,soon atachukua dada zenu bila posa
Haya wewe mwenye vielelezo wasubiri nini kuviweka?? Atawachukua dada zako wewe. Acha chuki binafsi.

Matola naomba unijibu huyu mbunge hela kapata wapi kwa muda mfupi??
Tuna tume ya maadili ya viongozi wa Umma, ukitaka kujuwa hayo nenda pale kwenye ofisi yao unalipia na unapewa stakabadhi ya serikali na utapata maelezo yote haya unayoyataka. una lingine?

Aliwahi kuwakamatisha wazungu chupa kama tanzanite.Lema ni kibaka wa Justine Nyari.

Back
Top Bottom