Majamba Jr
Member
- Apr 3, 2012
- 41
- 12
I preffer "Option One". Asubiri uchaguzi mdogo.
Hakuna haja ya rufaa, rufaa itachukua muda mrefu kama ilivyochukua hii kesi. Turudi kwenye kura, jaji mkuu (Umma wa Arusha) atamua bila kuogopa chama tawala.
Mmmmh mgeni wetu bhana.
Only fools like you can not see the justice of this judgement.
Bloody fool!Pambaf kabisa.
mkuu mi siiungi mkono hoja hio kwani huu ni mpango umeandaliwa kabisa ili akate rufaa na hio itapigwa danadan mpaka hio miaka iliyobaki itaisha haina maana kukata rufaa twende kwenye uchaguzi mdogo tatizo liko wapi!?hata umlete jaji gani si walewale tuu hawa hawaamui kwa kufuata sheria wanapewa maagizo na kundi la mafisa wenyewe ni kusoma tuu ila sio waamuzi mahakama ineingiliwa na mafisadi kwa sasa tanzania hakuna haki tena!! na hii ni hatari sana kwa nchi maskini kama hii. ilaaaaaaaaaaaaaaa MUNGU ndie mwamuzi wa mwisho ccmchoo itaadhibiwa na MUNGU na itadhalilika vibaya na itakufa kifo cha aibu sana.pole sana kwa udharirishaji mkubwa wa mahakama uliyotokea hii ni classic example ya judicial abuse.Naomba ukate rufaa kwa sababu jaji alichokifanya amekifanya kwa sababu ya pesa kama ambavyo ilionekana toka mwanzoni kwa kitendo chake cha kungangania Batilda aje ku testify wakati mwenyewe hataki ilikuwa ni kwa ajili tuya justify hukumu yake ya kupika. ombi langu kwako ni kwamba jaji yeyote atakayesikiliza kesi bila kuongwa lazimaataibatilisha kwa sababu it has no leg to stand on na yeye jaji huyu analijua hilo amefanya alichokifanya ili awalie pesa zao wahusika ili baadaye itapobatilishwa awaambie nilishafanya kazi yangu lakini amekuja mwingine amebadililakini wakati huo huo ameshatia pesa kibindoni. kuhusu swala la kuchukua muda mrefu kwy rufaa naomba uipe miezi miwili kama haijaisha withdrawal rufaa yako ili uchaguzi uitishwe upya.
Vyema.
Chama chochote makini uchukua precautions kabla ya kutoa maamuzi yoyote. Kama nilivyomwelewa Lema, ni kwamba yeye anasubiria maamuzi ya chama juu ya hili suala. Hivyo naamini CHADEMA watachukua tahadhari zote kabla ya kutoa maamuzi yoyote.
Pamoja mkuu.
pole sana kwa udharirishaji mkubwa wa mahakama uliyotokea hii ni classic example ya judicial abuse.
Naomba ukate rufaa kwa sababu jaji alichokifanya amekifanya kwa sababu ya pesa kama ambavyo ilionekana toka mwanzoni kwa kitendo chake cha kungangania Batilda aje ku testify wakati mwenyewe hataki ilikuwa ni kwa ajili tu
ya justify hukumu yake ya kupika. ombi langu kwako ni kwamba jaji yeyote atakayesikiliza kesi bila kuongwa lazima
ataibatilisha kwa sababu it has no leg to stand on na yeye jaji huyu analijua hilo amefanya alichokifanya ili awalie
pesa zao wahusika ili baadaye itapobatilishwa awaambie nilishafanya kazi yangu lakini amekuja mwingine amebadili
lakini wakati huo huo ameshatia pesa kibindoni. kuhusu swala la kuchukua muda mrefu kwy rufaa naomba uipe miezi
miwili kama haijaisha withdrawal rufaa yako ili uchaguzi uitishwe upya.