Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,723
- 218,285
Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani
Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .
Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .
Mungu awazidishie , Amina .
==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi