Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Nipo hapa viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha, Kilaza LEMA kapigwa chini. Semeni sasa nyie magwanda. Chezea CCM nyie!!!!! Niliwaambia jana mkaleta mboyoyo zenu
 
Makamanda tuyakubali matokeo ilikuwa imepangwa iwe hivyo, ushari wangu kwa CDM wasikate rufaa najua kesi itazungushwa hadi 2015, tujipange upya kulirudisha jimbo, najua jimbo ni letu, nilisema CCM wanataka kujifariji kwa muda mfupi kwa kushindwa kwao Arumeru na kweli imekuwa hivyo. Kama hakuzuiwa kugombea naomba chama kimuteue tena Lema kugombea. Kata mti panda mti.
 
watasababisha vurugu zisizo na mpango mbona Magamba wanazingua sana hawa!?
 
Kweli CCM haijaumbwa na haya, wanataka nini ihali uchaguzi hata ukirudiwaa sasa CCM itaumbuka!
Ni matumizi mabaya ya rasilimali ambayo kwa kina yanatakiwa kupigwa kwa namna yoyote ile!
 
Mkuu PakaJimmy,

Nilijua Lema atapigwa chini ushahidi wa wanaCCM ulikuwa mzito sana sijui kama ataruhusiwa kugombea walioko mahakamani tafadhali mtujuze kinachoendelea.

Mkuu Ngongo,
Ni kweli ushahidi ulikuwa wazi sana.
 
Credit nzuri kwa Chadema. Uchaguz ukirudiwa Lema atapta tena na ndo kitakuwa kifo cha CCM
issue sio kurudiwa tena, tatizo mda na rasilimali tunazopoteza, embu ona hadi leo madiwani hawajachagua arusha, tatizo nini? possible kesi hiyo ikaendelea hadi karibia na uchaguzi mkuu huku jimbo la arusha likikosa muwakilishi, hii nchi sasa imeoza yote pamoja na watu wake. yaani kweli demokrasia inabakwa hivi hivi halafu mitanzania tunaangaliana kama mikondoo?????
 
Tunaendelea kufanya chaguzi nyingine ndogo....duh hizi bilioni za tume zinaniuma sana wadau
 
So bad
Mbona hukumu watu walikuwa nayo muda mrefu tuu
Maana mitaa ya arusha kila mtu alikuwa anazumngumzia hilo
Ni sawa kuwa leo judge kaenda kuthibitisha tetesi tuu zilizokuwepo na hakuna jipya
 
Mod unganisha hizi,

Kilaza au yule aliyekuwa anawanyima usingizi ccm nje na ndani ya bunge?
 
Imeniuzunisha sana Kama itakua ni kweli nimewachuki CCM sana tena sana wa Tanzania tunakazi kweli
 
haijalishi, arusha haitakaa itawaliwe na ccm tena, lema atarud bungen tu hata asipopiga kampeni, we want him back. chezea chadema weye
 
Tume weka ngoma chini sasa, Ile ya Arumeru ilikuwa cha mtoto, magazeti yauzika sana mpaka 2015. M4C moto chini.
 
Kifungu cha hukumu kinasemaje? I hope mliopo mahakamani mmesikia. Je ataruhusiwa kugombea tena?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom