Godbless Lema avuliwa ubunge

Status
Not open for further replies.
Mkuu PakaJimmy,

Nilijua Lema atapigwa chini ushahidi wa wanaCCM ulikuwa mzito sana sijui kama ataruhusiwa kugombea walioko mahakamani tafadhali mtujuze kinachoendelea.
 
Hiyo kesi ya Lema naona kama ni kupe inaning'ang'ania katikati ya miguu kama ng'ombe. INANIUDHI !! wee ngoja tu.
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali

Alihongwa? Tatizo la kutokuwa na source of informations. Usibuni!!!
 
Nipo hapa viwanja vya mahakama kuu kanda ya Arusha, Lema kapigwa chini. Semeni sasa nyie magamba. Chezea CCM nyie.
 
Mkuu PakaJimmy,

Nilijua Lema atapigwa chini ushahidi wa wanaCCM ulikuwa mzito sana sijui kama ataruhusiwa kugombea walioko mahakamani tafadhali mtujuze kinachoendelea.
Mkuu,
Wanajitesa tu hawa wanaccm...hawataenda mbali!
 
Wanapoteza muda na ilo zao tu,hapo hata akisimamishwa nani na cdm lazima ashinde!je Lema anaruhusiwa kugombea tena?hakuna haja ya kukata rufaha turudini kwenye uchaguzi!
 
Lema amepigwa chini. Reasoning ya jaji inaonyesha alihongwa. The way forward ni kwenda Court of Appeal. Hata hivyo ccm wahangaika bure maana hata uchaguzi ukirudiwa leo watapigaragazwa kwa mbali
source please!!
 
Lema anao uwezo wa kupigania Watu wa Arusha bila hata kuwa mbunge. Hukumu inasemaje?kafungiwa kugombea?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Sasa hivi wanachadema wanapita hapa Clock Tower kwa jazba kubwa mno kwa bwana Lema kuvuliwa ubunge!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom