Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

Wanaume tumetofautiana sana, kuna watu sijui huwa wanawaza kwa kutumia nini, kama mke wako anabanjuriwa kwa idhaa yake hata ukimuachisha kazi akiwa home akati wewe uko kazini atachakachuliwa tu.
 
mmh ofcoz wake za watu ofisn wanapata challange mnoo, lkn ilo la kumuachisha kazi ni too much unless bs amfungulie coy ya maana awe ana mback up kiivyo, sio kumuacha tu nyumban io sio!
 
wala hii haihitaji harakati za haki za binadamu, huyo mwanamke kiazi. Anatakiwa afanya harakati za haki ya mhasibu.
Kongosho huwa nakuaminia majibu yako ya kihamnazo lakini yanafikisha ujumbe kwa asilimia mia. Huyo mwanamke anahitaji kofi moja tu la kumzindua japo wanaharakati za haki za binadamu mtanishambulia kwa pendekezo langu hilo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna upotoshaji gani niliosema?

Wee kama katekista tumia lugha ya kikatekista
Mwache kuli atumie lugha yake ebo!

2012,dunia yako chaguo ni lako vilevile ila jua kuwa hauwez ishi angani! umezungukwa na jamii ambayo kwa kiasi flani yaweza kukutegemea ktk kuiendeleza!
jukwaa kama hili lipo kusaidia jamii na si kupotosha.we mkomavu!
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?

Huyo mwanaume inaelekea yeye ni bingwa wa kutembea na wake za watu, sasa anaona mkewe nae atafanyiwa yale yale ambayo huwatendea wake za wenziwe na ndo mana hataki mkewe afanye kazi. Ndani ya kichwa cha huyo mwanaume ana MABOX!
 
.......wivu unapatikana katika mapenzi. Kwenye Upendo hakuna wivu.
 
daima wanaume ambao ni poor performers kunako sita kwa sita.. huwa na wivu mkali mnooo, Au siyo PMNBuko ?
 
Last edited by a moderator:
Kuna upotoshaji gani niliosema?

Wee kama katekista tumia lugha ya kikatekista
Mwache kuli atumie lugha yake ebo!
Ok utasema mwache kuli atumie lugha yake,mara mpigadebe nae atumie lugha yake,kesho machinga atumie lugha yake etc..Je hili jukwaa litaendelea kuwa na maana nzuri?
 
of course why not............kasoma kupata maarifa bana not kuajiriwa acha alee watoto

Sasa kwani alisoma ili apate maarifa ya kulea watoto au ya uhasibu ili ahajiriwe kama alivyoajiriwa? Duh mtihani huo...
 
Hivi karne hii bado kuna wanawake wajinga kiasi hicho??siamini!

Hivi mfano huyo mwanaume akamfungulia huyo mwanamke miradi labda ya duka,ufugaji wa kuku,ng'ombe n.k nyumbani kisha akamwachisha kazi,je bado huyo mwanamke ni mjinga?
 
Kama Mumewe anakipato kizuri na anaweza kumfungulia biashara sioni tatizo lakini wivu halafu mivuko inatumandu,atokomee zake.

Sio kila mtu ana traits za biashara, wengine ni waajiriwa typical. Bora abaki ofisini tu atongozwe basi yaishe
 
Back
Top Bottom