hiyo biashara itakayomkutanisha na wanawake tu ni ipi?
Wateja, saplayaz, mikopo?
Kama ana kipato kizuri cha kutosha, siachi kazi mpaka aniingizie Mil. 100 kwenye account yangu, ili nifanye ishu nyingine, kama business, but kama hataki, atajiju!
Jamani huyo mdada aache ujinga kabisa, afunge mkanda afanye kazi, mumewe kama hataki aachane naye aone kama life haijawa mzuri kwake. hayo mambo yalishapitwa na wakati ndio maana wenzake tunafanya kazi, kutongozwa mwanamke ni jambo la kawaida, upende mwenyewe useme Yes asipotongozwa utaenda kwenye maombi kujihisi una kasoro.
kumwachisha mtu kazi unaita ni mapenzi ya dhati? angekuwa na mapenzi ya dhati asingethubutu kumwachisha kazi, maana angewazia future ya huyo mke. huo ni wivu tu usio na mpango wowote, na kutaka kumkandamiza mwenzake bila sababu. anajua kabisa akishakuwa mama wa nyumbani hana say maana si anategemea kila kitu kwake? hapo sasa hayo mapenzi ya kweli huwa yanaisha na yanabaki manyanyaso.Wala usimshangae hio ni hali ya kawaida tu kwa wapendanao kwa dhati.kama ya mbele huyajui mbona unamtangliza mume kufa? je akianza mwanamke? kama hatuyajui ya mbeleni ni bora kunyamaza.
nakuambia! utaona rangi zote ambazo nyingine hata hukujua kama zina-exist. chezea u-goli kipa wa kujitakia@Fixed Point...halafu akishaamua ukae nyumbani anaanza kukunyanyasa pale ambapo unamwambia unahitaji pesa za matumizi yako mbali mbali zikiwemo za vipodozi...hakawii kuangalia wake wa wenzie na kuwasifia mke wa fulani anapendeza sana wakati wa kwake hata sento moja ya kujipendezesha hampi na huku alimshinikiza aache kazi ili apunguze uwezekano wa kutongozwa na njembas nyingine
nakuambia! utaona rangi zote ambazo nyingine hata hukujua kama zina-exist. chezea u-goli kipa wa kujitakia
si ndo hapo! huo sio wivu, ni kutaka tu kumkandamiza dada wa watu. anajuaje akishaacha kazi na kukaa nyumbani ndo hatachukuliwa? tena ndo atakuwa na muda mwingi free, afadhali hata kazini muda mwingi anakuwa busy na kazi. kama huyo binti ni tabia yake kuchukuliwa, basi jamaa ahesabu maumivu
Binti kahenyeka miaka chungu nzima kutafuta elimu yake na kutumia mapesa chungu nzima halafu inatokea njemba kwa sababu ya wivu wa kufa mtu alionao anataka akae nyumbani tu kama golikipa!!! Kazi kweli kweli!!!! Halafu anadai ana mapenzi ya kweli!!!
Mbona unanshauri nipite coment yako kama vile sijaiona?? mie nadhani hapa tunaandika ili watu wasome! vinginevyo specify watu wa kuchangia yale uyaandikayo! Kubali tu kuwa ulikosea kumwita huyo mwanamke eti kiazi!Hata wewe acha hizo.
We ulitaka nicomment wewe unavyofikiri?
Na wewe ungeipita comment yangu kama vile hujaiona, au wee unataka kukipangia kichwa changu mambo ya kuandika?
Anza wewe kuacha hizo na mie ntafuata.
Kun.ya an.ye kuku akin.ya bata kaharisha, inahu?
Kwa hio mtazamo wako mapenz ya dhat ni yapi?? je huoni kwamba huyo mwanamke ana mapenzi ya kweli?? Jua kua unapoamua kumpenda mtu kwa dhati lazima uonyeshe kwa matendo na si maneno tu!!! huyo mama ni mfano wa kuigwa!! kwa taarifa yako suala la upendo wa dhati linagharama kubwa sana! waweza kuwa kitu flani mwenzio hapendi ila ww unakipenda,kama unaupendo wa kweli itabidi ujitolee kukiacha ili usimkwaze mwenzio! na hilo ndo tendo kuu linalodhihirisha upendo kama alivyofanya huyo mama!!! Nadhani umeelewa!!kumwachisha mtu kazi unaita ni mapenzi ya dhati? angekuwa na mapenzi ya dhati asingethubutu kumwachisha kazi, maana angewazia future ya huyo mke. huo ni wivu tu usio na mpango wowote, na kutaka kumkandamiza mwenzake bila sababu. anajua kabisa akishakuwa mama wa nyumbani hana say maana si anategemea kila kitu kwake? hapo sasa hayo mapenzi ya kweli huwa yanaisha na yanabaki manyanyaso.
akitangulia mwanamke kufa, poa tu, si atakuwa kafa? hahitaji tena hela za matumizi, unless uniambie kuwa mtu akifa anaenda kuendelea na career yake huko aendako.
ama kweli hii ni so, kazi ilivyongumu ya kutafuta yeye anaacha kizembe hivo, mie mwanzoni nilipoanza kazi nilimaliza kama mwaka mmoja nikaambiwa niache kazi, na mie nikajikakamua kuwa kama nikuacha kazi bora tuachane, akanyamaza kimya, mpaka leo naendelea na kazi yangu.
Mbona unanshauri nipite coment yako kama vile sijaiona?? mie nadhani hapa tunaandika ili watu wasome! vinginevyo specify watu wa kuchangia yale uyaandikayo! Kubali tu kuwa ulikosea kumwita huyo mwanamke eti kiazi!
Nijuavyo mie hili ni jukwaa la great thinkers!
Kwa mtazamo wangu huenda hata humu humu kuna wengine washakumbwa na hali kama ya huyo mama! Ni vizuri tutoe ushauri elevu na wa kujenga jamii!
2012,dunia yako chaguo ni lako vilevile ila jua kuwa hauwez ishi angani! umezungukwa na jamii ambayo kwa kiasi flani yaweza kukutegemea ktk kuiendeleza!Naona unalazimisha mrumi aongee kispanish
2012, dunia yako, chaguo lako
Chagua kukutana na maoni tofauti au chagua ku-edit comment za wachangiaji.
Unachotakiwa ujue, hakuna universal marking scheme katika sosho life, afu ni 'mchanga' mno.