Kongosho huwa nakuaminia majibu yako ya kihamnazo lakini yanafikisha ujumbe kwa asilimia mia. Huyo mwanamke anahitaji kofi moja tu la kumzindua japo wanaharakati za haki za binadamu mtanishambulia kwa pendekezo langu hilo.wala hii haihitaji harakati za haki za binadamu, huyo mwanamke kiazi. Anatakiwa afanya harakati za haki ya mhasibu.
2012,dunia yako chaguo ni lako vilevile ila jua kuwa hauwez ishi angani! umezungukwa na jamii ambayo kwa kiasi flani yaweza kukutegemea ktk kuiendeleza!
jukwaa kama hili lipo kusaidia jamii na si kupotosha.we mkomavu!
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?
Kwa hiyo bora house boy afaidi?Hakuna lakini sio sawa na Bank kama anaona hapo kuna watu wenye pesa zao anaonananao kila siku.
Ok utasema mwache kuli atumie lugha yake,mara mpigadebe nae atumie lugha yake,kesho machinga atumie lugha yake etc..Je hili jukwaa litaendelea kuwa na maana nzuri?Kuna upotoshaji gani niliosema?
Wee kama katekista tumia lugha ya kikatekista
Mwache kuli atumie lugha yake ebo!
ni ujinga
Nyie Mabwe.ge mnajadili issues za mtu na mke wake !?
Kwani aliwaolea nynyi ?!
of course why not............kasoma kupata maarifa bana not kuajiriwa acha alee watoto
Hivi karne hii bado kuna wanawake wajinga kiasi hicho??siamini!
Kama Mumewe anakipato kizuri na anaweza kumfungulia biashara sioni tatizo lakini wivu halafu mivuko inatumandu,atokomee zake.