Gharama ya Wivu wa Mapenzi hii hapa

Kwa hili mwanaharakati mkubwa ni mwanamke mwenyewe! Kwani iwapo anatimiziwa kila kitu ana haja kweli ya kufanya kazi ya kuajiriwa?
Sasa kama tunajua wanaume mnatimiza kila kitu,basi asingesoma ili aolewe tu.Think twice.
 
Looh, jamani shule ilivokuwa ngumu na mikikimikiki kibao mara supplementary, mara umenusurika ku disco..Leo hii uniambie niache kazi ntakuelewa? Huyo mwanaume ana wivu wa kijinga..

Huyu kijana anatakiwa kuelimishwa kwa kweli,wivu wakijinga tu.Wake za marais wanafanya kazi,sembuse mtu wa kawaida tu.
 
Hapo sasa. . .
Kidogo kidogo ataona hata kuwa mama wa nyumbani haitoshi, itabidi aache kwenda sokoni, then dukani na mwisho asotoke kabisa bila mume maana hata akikaa barazani tu anaweza akatamaniwa na kutongozwa.

Nasikia mwanaume ndiye anayekwenda dukani. Mwanamke anashinda ndani ya geti, hakuna kutoka nje. Saloon haendi, anakwenda saloon za kiume na mumewe kunyoa na siyo kusuka wala kuset. She has lived such a life muda mrefu, amesha zoea kabisa, na aliona kawaida kuacha kazi. Alihitimu masomo ya uhasibu - Diploma mwaka 2010, akapata kazi mara 2 mumewe kamkatalia, mwaka huu March kapata ajira, juzi kaitema kisa mumewe hataki aendelee na kazi. Hawana duka wala kibanda, mumewe ni Mwalimu wa sekondari
 
kwa wivu nilio no hata mimi naona hii halali kabisaaa... kuwa na mke mzuri ni kazi wandugu so inabidi uchukue taadhari mapema kulinda chako
 
huo usomi na experience ya uhasibu alitaka kwa ajili ya kuhesabia hela za kununulia nyanya sokoni? maana ukiwa mama wa nyumbani cha zaidi hela utakazokuwa unahesabu mara kwa mara ni zile za kununulia matembele

Acha hasira bana......every organization including the family needs an accountant and there she is
 
kwa wivu nilio no hata mimi naona hii halali kabisaaa... kuwa na mke mzuri ni kazi wandugu so inabidi uchukue taadhari mapema kulinda chako

Nani amekuambia binadamu anachungwa?
 
huyo mke kama kaacha kazi, nitamshangaa sana........... ulisomeshwa na huyo mume? ya mbele huyajui, huyo mume kesho aki-dead?
huyo kaka anafikiri nyumbani hakuna wanaume wa kuweza kumtongoza huyo mkewe, watongozaji wapo ofisini tu?

Unazungumzia kifo? Bora kifo, je akijichukulia kabinti kabichi na kumtelekeza na watoto?
Suala la kazi ni nyeti sana, ndoa zenyewe za siku hizi? Ukikabiliwa na multiple choice kati ya kazi na ndoa, tick kwenye KAZI. Kazi iko likely kudumu zaidi kuliko ndoa, bwana. Ukose pensheni, malipo ya uzeeni, kisa ndoa? Yaani sipati picha!!
 
Mnaolalapika hapa na kutoa maneno ya kumkejeli huyo mwanaume "you are juc talkn bt you cant walk th talk" if u kn0w wat i mean,.Huyo mwanamke kakubaliana na wivu wa mumewe ndo maana yupo mpaka sasa kwenye ndoa,mnajua kipi kizuri zaid mumewe anampa kikamfanya asiskie wala kufanya harakati kama mnazohubiri??If i agree s0methn with my wife no mattr how "oppresive" it may lo0k like to you hata ukiandamana haitakusaidia kwan hayakuhusu...Mh walimwengu bhana!!!.Lol
 
Hapo sasa. . .
Kidogo kidogo ataona hata kuwa mama wa nyumbani haitoshi, itabidi aache kwenda sokoni, then dukani na mwisho asotoke kabisa bila mume maana hata akikaa barazani tu anaweza akatamaniwa na kutongozwa.

Alichotwambia huyu ni kazi ofisini pengine kwengineko kuna afadhali. Na haiwezekani akurupuke sasa isipokuwa ameshaona visingizio vya overtime na kurejesha na staff kuchamchosha.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja (Mhasibu) amejikuta akilazimishwa na mume wake kuacha kazi kwa kisa cha wivu mkubwa wa mwanaume anayehofia kuwa mkewe anaweza kutongozwa na wanaume. Je, hii ni halali? Wanaharakati wa haki za binadamu na wanawake mnasemaje?

sasa wewe ndo umamsemea huyo mwanamke?. kwani yeye kakwambia kwake kazi ni muhimu kama mume?, au ameacha kazi anaomba pesa kwako?. jaribu kushughulikia haki zako kwanza
 
Sasa kama tunajua wanaume mnatimiza kila kitu,basi asingesoma ili aolewe tu.Think twice.

Waliosoma wangapi na walio na kazi za uhasibu wangapi kati ya hao wanawake? Unafikiri kazi ndio ndowa? Ndowa ni zaidi ya kazi na kusoma ni mpangilio wa maisha ambao unamuhitaji kila mtu afikirie nini cha faida kwake.
 
Unazungumzia kifo? Bora kifo, je akijichukulia kabinti kabichi na kumtelekeza na watoto?
Suala la kazi ni nyeti sana, ndoa zenyewe za siku hizi? Ukikabiliwa na multiple choice kati ya kazi na ndoa, tick kwenye KAZI. Kazi iko likely kudumu zaidi kuliko ndoa, bwana. Ukose pensheni, malipo ya uzeeni, kisa ndoa? Yaani sipati picha!!
nasemea kifo sababu unakuwa huna la kufanya, akichukuliwa na kabinti si unaenda tu wapi sijui wanakopeleka madai atunze watoto wake, na wewe unaponea hapo hapo
 
Back
Top Bottom