Gharama mpya za Umeme: BBC Wamkaanga Kikwete

Mess

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
661
181
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.

My take: Hatuna rais
 
Kwa kweli nimesikitika sana leo asubuhi watu mbalimbali walivyokuwa wakilalalmika ila BBC wamechelewa kwani walichangia kwa kiasi kikubwa JK kurudi madarakani.
 
Kaka ila watu wamemchoka JK, Hata huyu babu ambaye kikwete kampa zawadi kwenye birthday yake amesema anashangaa kwa nini Dowans ilipwe. jamaa ana hali ngumu.
 
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.

My take: Hatuna rais

mimi nilisha ishiwa maneno ya kusema kuhusu serikali na rais wetu, ndio maana mnaona siku hizi nimeamua kujikalia kimya niendeleze harakati zangu za kusaka tonge, hao wanasema ahadi ya umeme, mbona wakati wa kampeni za mwaka 2000 kule mwanza alisema nataka kufanya mwanza iwe kama mji fulani wa Marekani sijui alisema miami sikumbuki, lakini nakumbuka vizuri sana kwamba, alitoa ahadi hiyo hebu nikumbusheni, ni mji gani kule Marekani unafanana na mwanza kwa mandhali basi ndio huohuo, hapa hakuna kitu ni usanii tu, lakini jambo zuri ni kwamba watanzania sasa hivi wameamka.

Asanteni kwa kunisikiliza.
 
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.

My take: Hatuna rais

Hivi lini ulijua hatuna Rais mkuu. Mbona baada ya kujiuzulu akina mzee wa Monduli hadi leo TZ imeendelea kuwa anarchy?
Wewe umeona wapi nchi yenye rais viongozi waandamizi zaidi ya 10 wanatoa matamko tofauti kwa jambo hilohilo kama Chatanda, Makamba, Chagonja, Mwema, Shamsi, Membe, Wassira, sitta, Msekwa, Sofia Simba n.k.

Rais anaenda kupunga upepo tu na Mabalozi na wafadhili kwa sababu ndio kula yake.

Hivi nikiuliza sasa hivi mtaniambia Tanzania inaongozwa na nani? The president is not in control. Dhambi ya wizi wa kura inamaliza kwa sababu hana ujasiri wa ku control watu ambao hawajamchagua. Nahisi anaweza kujitundika huyu watu wamlinde kwani tunamdai huyu asije akapoteza ushahidi.
 
Hao BBC nao wasitake tuweaone wajinga... Hivi waliamini kwa asilimia 100 kuwa alikuwa anamaanisha anachokisema wakati alipokuwa anatoa ahadi hizo?
 
na ameziba maskio huko ikulu kama vile hasikii kitu, inabidi wa TZ wafanye liwezekanalo ili huyu jamaa atoke b4 miaka mitani haijaisha, 2005 watu wengi walimwamini na kumpa uongozi cha ajabu kawageuka walio wengi na kuwa kitu kimoja na mafisadi, shame on him!!

Uzee wake utakuwa ni wa manung'uniko akitoka madarakani coz hao anaowalinda hawatakuwa marafiki zake tena. KIKWETE MUST RESIGN.
Naunga mkono hoja.
 
hiyo ni trailer tu,je wataalamu wa kumbukumbu wakimuuliza zile ahadi kemkem za wakati wa campaign si watamuumbua? sijui hata kama yeye binafsi anazikumbuka zote ama kama kuna mtu maalum anayefuatilia utekelezaji wake usiowezekana..aarghh!!
 
Kwa kweli nimesikitika sana leo asubuhi watu mbalimbali walivyokuwa wakilalalmika ila BBC wamechelewa kwani walichangia kwa kiasi kikubwa JK kurudi madarakani.

Yaani kuna watu walikuwa na jazba na hasira maana maisha kwa kweli yamekuwa magumu kweli
 
Hivi lini ulijua hatuna Rais mkuu. Mbona baada ya kujiuzulu akina mzee wa Monduli hadi leo TZ imeendelea kuwa anarchy?
Wewe umeona wapi nchi yenye rais viongozi waandamizi zaidi ya 10 wanatoa matamko tofauti kwa jambo hilohilo kama Chatanda, Makamba, Chagonja, Mwema, Shamsi, Membe, Wassira, sitta, Msekwa, Sofia Simba n.k.

Rais anaenda kupunga upepo tu na Mabalozi na wafadhili kwa sababu ndio kula yake.

Hivi nikiuliza sasa hivi mtaniambia Tanzania inaongozwa na nani? The president is not in control. Dhambi ya wizi wa kura inamaliza kwa sababu hana ujasiri wa ku control watu ambao hawajamchagua. Nahisi anaweza kujitundika huyu watu wamlinde kwani tunamdai huyu asije akapoteza ushahidi.

Nilishachoka kumuongelea JK na serikali yake; in short nchi iko kwenye AUTO PILOT.
Tunasubiri kufika mwisho wa safari tu.
 
na ameziba maskio huko ikulu kama vile hasikii kitu, inabidi wa TZ wafanye liwezekanalo ili huyu jamaa atoke b4 miaka mitani haijaisha, 2005 watu wengi walimwamini na kumpa uongozi cha ajabu kawageuka walio wengi na kuwa kitu kimoja na mafisadi, shame on him!!

Uzee wake utakuwa ni wa manung'uniko akitoka madarakani coz hao anaowalinda hawatakuwa marafiki zake tena. KIKWETE MUST RESIGN.
Naunga mkono hoja.

Nadhani ana wakati mgumu sana sasa more than any other time
 
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.

My take: Hatuna rais[/QUOTE]

Awamu hii ya nne kwani tulishakuwa na Raisi?
 
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku huduma ikiwa mbovu kupita alivyoikuta wakati anaingia madarakani.

My take: Hatuna rais

Inaonesha jinsi gani asivyokuwa makini wakati wa kudanganya!kuna msemo kuwa jitaidi unaposema uongo uukumbuke ili usijekukuumbua mbeleni!Sasa Mh.kaumbuka mbele ya watu wake!!Nataman mdahalo wa kutathimin ahadi zake uandaliwe na watu makin na yeye awe main speaker! Hivi katiba inamzuia Rais kujiuzuru?????
 
Abdalla Majura kambeba kwa mbeleko ya chuma kwa kipindi chote kumdanganyia BBC ili ulimwengu usijue kinachoendelea nchi, naona hadi mgongo utakua umeota sugu kama si mbeleko kukatika.

Mtu mwenyewe hata akibebwa habebeki na wala hamshiki uzuri mbebaji wake.

Hamna kitu pale, uwongo kwa kila kitu na usanii hadi uzeeni!!!
 
Abdalla Majura kambeba kwa mbeleko ya chuma...
Alitegemea kuupata U-Tido Muhando nini?
 
Back
Top Bottom