Gharama mpya za Umeme: BBC Wamkaanga Kikwete

MArafiki, tusiseme jk anawakati mgummu, yeye yuko Ikulu anakula bata kwa kodi zetu, Mimi na wewe na wana wetu ndio tunashida.
 
Nilishachoka kumuongelea JK na serikali yake; in short nchi iko kwenye AUTO PILOT.
Tunasubiri kufika mwisho wa safari tu.

Mkuu, tutafikaje tukiwa AUTO PILOT!?!? Mimi nadhani action must be taken ili kuokoa japo majuruhi ndege itakapo anguka!!Kila abiria(MTZ) ajiandae kuwa mwokozi wa mwenzake kabla hatujaanguka maana upepo ni mkali sana na Ruban +wasaidiz wake hawana mbinu tena za ukombozi!! Japo wanasema"kelele za chura....TEMBO kunywa maji" Kelele zikiwa nyingi wataogopa tu na kuanza kurudi nyuma!!
 
Naona aibu kusema nchi ina viongozi. Ni aibu tupu mbele ya mataifa mengine.
 
Nyie mmeshasahau kuwa mtukufu rais wetu ni kiziwi na kipofu yaani hasikii wala kuona!
 
Ahadi ni deni....kipi kimeshaanza kutekelezwa kati ya hivi?

1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
2. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
36. Kulinda haki za walemavu- Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido
45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
44. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
45. Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
46. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
47. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
48. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
49. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
50. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
51. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
52. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
53. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
54. Kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
55. Kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
56. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
57. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
58. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
59. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
60. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
61. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
62. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
63. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
64. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
65. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
66. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
67. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha
 
Ahh huyu mzee anachosha kweli na usanii wake wa uzeeni!Hana faida yoyote kwa waTanzania!He should step down!
 
mimi nilisha ishiwa maneno ya kusema kuhusu serikali na rais wetu, ndio maana mnaona siku hizi nimeamua kujikalia kimya niendeleze harakati zangu za kusaka tonge, hao wanasema ahadi ya umeme, mbona wakati wa kampeni za mwaka 2000 kule mwanza alisema nataka kufanya mwanza iwe kama mji fulani wa Marekani sijui alisema miami sikumbuki, lakini nakumbuka vizuri sana kwamba, alitoa ahadi hiyo hebu nikumbusheni, ni mji gani kule Marekani unafanana na mwanza kwa mandhali basi ndio huohuo, hapa hakuna kitu ni usanii tu, lakini jambo zuri ni kwamba watanzania sasa hivi wameamka.

Asanteni kwa kunisikiliza.

sijakusikiliza nimekusoma. kikwete na system yake ful upuz.
 
MArafiki, tusiseme jk anawakati mgummu, yeye yuko Ikulu anakula bata kwa kodi zetu, Mimi na wewe na wana wetu ndio tunashida.

Hillo nalo neno!! Cheki Kina RIZ 1 wanavyokula raha then ji chek wewe na familia yako!! Thus why action must be taken......!!!!!!
 
Hivi lini ulijua hatuna Rais mkuu. Mbona baada ya kujiuzulu akina mzee wa Monduli hadi leo TZ imeendelea kuwa anarchy?
Wewe umeona wapi nchi yenye rais viongozi waandamizi zaidi ya 10 wanatoa matamko tofauti kwa jambo hilohilo kama Chatanda, Makamba, Chagonja, Mwema, Shamsi, Membe, Wassira, sitta, Msekwa, Sofia Simba n.k.

Rais anaenda kupunga upepo tu na Mabalozi na wafadhili kwa sababu ndio kula yake.

Hivi nikiuliza sasa hivi mtaniambia Tanzania inaongozwa na nani? The president is not in control. Dhambi ya wizi wa kura inamaliza kwa sababu hana ujasiri wa ku control watu ambao hawajamchagua. Nahisi anaweza kujitundika huyu watu wamlinde kwani tunamdai huyu asije akapoteza ushahidi.

Can CCM borrow from ANC of South Africa and do something to reverse the situation?
 
Sasa jamani tunafanyeje? kwani miaka mitano ni mingi sana watanzania ujinga wetu na upeo mdogo wa kuelewa mambo umetuponza hili zigo la misumari kweli tuzaliweza? kwanini mungu asimchukue mapema?
 
Ahh habari za huyu mzee zinachosha kweli!Ahadi zake na maendeleo vinapingana..wananchi hawana imani nae..walioamka hawamtaki..he should step down for Tanzania's sake as well as his own!!
 
Sasa jamani tunafanyeje? kwani miaka mitano ni mingi sana watanzania ujinga wetu na upeo mdogo wa kuelewa mambo umetuponza hili zigo la misumari kweli tuzaliweza? kwanini mungu asimchukue mapema?

Wenye uwezo wa kufanya kitu ni CCM wenyewe. Wafanyeje, wawaulize wenzao wa ANC kule Bondeni.
 
Ahadi ni deni....kipi kimeshaanza kutekelezwa kati ya hivi?

1. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini
2. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU)- Shinyanga
5. Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini- Dodoma
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono-Dodoma mjini
7. Kuwapatia trekta wakulima -Kata ya Mrijo, Dodoma
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi-Kagera
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi-Kagera
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba-Bukoba Mjini
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda- Kagera
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme- Kagera
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu-Kagera
15. Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino- Mbeya
16. Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba-Kagera
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika-Mwanza
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu-Mwanza
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani- Geita
21. Kulinda muungano kwa nguvu zote-Pemba
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa-Morogoro
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa-Mbeya mjini
24. Kujenga bandari Kasanga –Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira -Mbeya
27. Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama- Tanga
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini- Iringa
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani –Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi -Dar es salaam- Same mkoani Kilimanjaro
30. Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same-Same Mjini
31. Kuboresha barabara za Igunga -Tabora
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu- Kisesa Magu
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya- Mbeya Mjini
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN)-Hydom Manyara
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa- Musoma
36. Kulinda haki za walemavu- Makete
37. Kujenga baabara ya Njombe- Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109- Iringa mjini
38. Kujenga barabara Musoma–Mto wa Mbu Arusha-Arusha
39. Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma– Kaliua,Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha Moshi-Arusha Mjini
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa,mpaka Singida-Dodoma
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009- Longido
45.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria-Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga
44. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha –Arusha mjini
45. Kukopesha wavuvi zana za kilimo-Busekera, Wilaya ya Musoma, .
46. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido- Longido
47. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro
48. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri- Mbulu mkoani Manyara
49. Kusambaza maji nchi nzima-Babati vijijini
50. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015-Babati vijijini Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha.-Iringa
51. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika- Iringa
52. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania-Iringa
53. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi-Ifunda
54. Kutokomeza malaria 2015-Bunda,mkoa wa Mara
55. Kuwapa wanawake nafasi zaidi-Kilolo ,Iringa
56. Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii-Kibandamaiti Mjini Zanzibar
57. Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa-Kabandamaiti mjini Zanzibar
58. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada-Kibandamaiti
59. Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay-Ruvuma
60. Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400-Mbambabay Ruvuma
61. kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga(MBICU) –Ruvuma
62. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania –Ruvuma
63. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi-Dar es Salaam
64. Mtwara kuwa mji wa Viwanda –Mtwara
65. Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu-Kibaha
66. Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa-Kibaha
67. Halmashauri ya manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda -Kibaha

This president must be a fool.
 
nilishachoka kumuongelea jk na serikali yake; in short nchi iko kwenye auto pilot.
Tunasubiri kufika mwisho wa safari tu.

nimekusoma mkuu tena ameweka kwenye auto pilot (ap) bila ya kufanya settings patamu hapo sijui tutatuaje mungu wangu weee!
 
Hujuma na njama zinazofanywa ndani ya Tanesco kwa makusudi kabisa tumeshzistukia.

Tunakuja na mkakati mpyaaa kabisa. Tanesco tumeistukia.
 
Kikwete ni celebrity, mwacheni.

Kila mtu afanye lile analoweza kuokoa hali huko Tz.

Kila nikiangalia na kulinganisha uwajibikaji wa viongozi Tz (na Africa kwa ujumla) huwa napatwa sana na simanzi. Huwaoni wakishungulika au kuonyesha utashi au kuunga mkono wananchi wao isipokuwa kwa mambo machache walioyachagua (mara nyingi kwa maslahi yao/familia zao/rafiki zao).

Ukiangalia nchi za wenzetu ni tofauti sana, mfano hapa New Zealand, Waziri Mkuu wa Jimbo anafika na kukaa na famila/jamii katika majanga au matatizo. Wakati wa shida ni rahisi kuwapata viongozi, uko mfumo na utaratibu rahisi wa kuwasilisha kero au maoni yenu wa viongozi. Ni ngumu sana huko Tz, watawala tabaka na mipaka wao huko na watawaliwa kule. Tena hakuna nia wala daraja katika kusikia na kutatua kero....ingawa vyombo vichache vya habari (vya binafsi) vimejitolea kuwa daraja kwa gharama zao wenyewe.

Tuige mema. Tukatae mabaya. Kikwete enda US mara kibao hajifunzi mema....mbona Obama kashiriki na familia za wahanga Arizona? Hana shughuli nyingi yeye? Mbona sisikii wala sisomi hata PM Pinda kuzitembelea familia za wafiwa katika majanga mfano Arusha, Mbozi nk. Nasikia alichukua miezi kadhaa "kuwasanii" wale wa Kilosa na mabomu ya Mbagala ambao nasikia hadi leo bado wako ktk makazi ya muda (mahema).

Ni nini maana yake?
 
Back
Top Bottom