Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,169
- 10,786
Kuna tangazo hapa Channel ten, wazaz waliopoteza watoto waende vituo vifuatavyo vya police; buguruni, ukonga, msimbazi, tazara , uwanja wa taifa na saba saba.
I am praying for them!
Kuna tangazo hapa Channel ten, wazaz waliopoteza watoto waende vituo vifuatavyo vya police; buguruni, ukonga, msimbazi, tazara , uwanja wa taifa na saba saba.
Hivi na leo tena hakuna atakayewajibika au kuwajibishwa, kwa wanaokumbuka mwaka 2002 milipuko ile hakuna hatua zilichukuliwa, ikaja tena mwaka juzi, hakuna lolote, leo tena!!!
IS it!They have said the situation currently is under their control!it is amazingly!!
It wont step down by us writting here! If Those Egyptians were complaining only in Forums, Mubarak would not have gone. We need to act. if anything I will be in the front line. Sijui mnataka tuanzeje? Mwenye wazo jamani!
Hatuwezi kukaa na uongozi umeshindwa kutatua suala la umeme
Hatuwezi kukaa na viongozi mafisadi
Hatuwezi kukaa na viongozi wasio jali uhai wetu (mabomu mbagala na gomz)
Hatuwezi kukaa na viongozi wanaosababisha uchumi kudorora
hatuwezi kukaa na viongozi wanao.....
Kuna habari za kiintelijesia kuwa haya mabomu yamechochewa na Chadema... Uchunguzi zaidi unaendelea, eti wanataka nchi isitawalike ndio maana wamechochea mabomu ya lipuke.
I thought they should have learnt from Mbagala , someone must take responsibility to resign.
So sad! I am confused and speechless, I can sense what is happening there!
I hate those who are talking and forcing some leaders to resign because they wont do so, I will love and support those who will demonstrate for that leaders must resign! guys lets fight for our real freedom, kubinya binya keyboard wont help anything, I know someone will say 'anza wewe' the question here is how many are thinking the same and are ready for this peaceful demo??
Acha kupotosha watu.
Kaandamane mwenyewe, hatuna muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi.
Matatizo hayaondoki kwa kuandamana. Wacha serikali ifanye kazi katika kipindi hiki kigumu.
Siyo kuiongezea mzigo wa maandamano ya kijinga.
ccmkhaaa kuna watanzania kweli kabisa wanaamini matatizo, umaskini , shida, vifo vya kizembe ni haki yao
Acha kupotosha watu.
Kaandamane mwenyewe, hatuna muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi.
Matatizo hayaondoki kwa kuandamana. Wacha serikali ifanye kazi katika kipindi hiki kigumu.
Siyo kuiongezea mzigo wa maandamano ya kijinga.
Hata mimi nategemea sana kusikia hiloNini tena bongo? Utashangaa badala ya kudeal na chanzo halisi serikali ya ccm itasema cdm ndo wamesababisha!
Acha kupotosha watu.
Kaandamane mwenyewe, hatuna muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi.
Matatizo hayaondoki kwa kuandamana. Wacha serikali ifanye kazi katika kipindi hiki kigumu.
Siyo kuiongezea mzigo wa maandamano ya kijinga.
UNICEF, Red Cross and Ustawi wa jamii are at the National stadium helping victims of the Bomb blast. They need food, clothes,etc Please go and help call Julius Kejo 0784 571888 who is on the ground coordinating. Also some of the critically injured victims at Muhimbili need blood, please play your part and give what you can! Thanks you.
Jamani tuache masiala, Damu inahitajika, Mavazi na chakula. Wahanga ni wengi sana, Plz Tanzanians people wenzetu wanahitaji msaada mkubwa sana.
/QUOTE]
Jamani jamani tuwe serious!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kuna watu wengine nilipowaambia zinahitajika fedha waliniona mpuuzi mpaka umoja wa mataifa waseme sijui anyway safi mkuu tuko pamoja katika hilo