Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

nafikiri tuwe serious sasa..
nilishasema tuset tarehe, tukutane mnazi mmoja na si kuandamana.. tukufika pale kilamtu anyanyue bendera nyeupe na mabango yetu

When do you think is appropriate time, and do we need to make matangazo? we better meet physically! PM me for further discussions
 
MOHAMED+Juma,+akionyesha+nyumba+yake+ilivyosambaratishwa+na+mabomu,+hayo,+eneo+la+Ukonga+Mzambarauni..JPG

Nyumba iliyopo Ukonga Mzambarauni iliyoharibiwa na milipuko ya mabomu Gongo La Mboto Dsm(picha hisani ya Bashir Nkoromo blog)

go7.jpg

Nyumba eneo la Pugu Kajiungeni ikiwa imetobolewa na bomu likininginia(picha hisani ya fullshangwe blog)Mkazi wa Majohe anayekimbia nyumba akielekezwa njia salama na askari wa JWTZ(picha hisani ya Bashir Nkoromo Blog)
19.jpg

Msafara wa Mh. Rais J.K Kikwete ukitoka maeneo ya milipuko ya mabomu Gongo la Mboto Dsm( picha hisani ya Fullshangwe blog)

Video hisani ya abbymrisho wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Acha kupotosha watu.
Kaandamane mwenyewe, hatuna muda wa kupoteza kwenye mambo ya kipuuzi.
Matatizo hayaondoki kwa kuandamana. Wacha serikali ifanye kazi katika kipindi hiki kigumu.
Siyo kuiongezea mzigo wa maandamano ya kijinga.
Watu weshaanza kuandamana. Kukimbia kutoka majumbani mwao na kujaa mitaani ni kuandamana. Viongozi lazima wawajibike. Serikali imekuwa haifanyi kazi ndio maana mabomu hayo yamelipuka, si mara moja tu, bali mara ya pili sasa. Hayo maandamano unayoyaita ya kijinga yanakuwa ya kijinga kwako tu na sio kwa watu ambao shida zinawakabili kila siku.
 
Kishogo hana akili sawasawa usibishane naye! alikuwa milembe sasa katoroka.
 
jamani tunapoandika threads ni lazima kuzingatia uandishi pia kuwa na uhakika, sio kweli hiyo idadi uliyotaja...
watchout!!!!

Acha ujinga kama siyo kweli wewe una ukweli gani unadhani tunafanya siasa hapa,...lviongozi wako wenyewe hawana hawajui ukweli wewe utaupata wapi!!
 
MOHAMED+Juma,+akionyesha+nyumba+yake+ilivyosambaratishwa+na+mabomu,+hayo,+eneo+la+Ukonga+Mzambarauni..JPG

Nyumba iliyopo Ukonga Mzambarauni iliyoharibiwa na milipuko ya mabomu Gongo La Mboto Dsm(picha hisani ya Bashir Nkoromo blog)

go7.jpg

Nyumba eneo la Pugu Kajiungeni ikiwa imetobolewa na bomu likininginia(picha hisani ya fullshangwe blog)Mkazi wa Majohe anayekimbia nyumba akielekezwa njia salama na askari wa JWTZ(picha hisani ya Bashir Nkoromo Blog)
19.jpg

Msafara wa Mh. Rais J.K Kikwete ukitoka maeneo ya milipuko ya mabomu Gongo la Mboto Dsm( picha hisani ya Fullshangwe blog)

Video hisani ya abbymrisho wa youtube

Huyo mwenye macho ya kurembua ni nani mbona amevaa nguo za Jeshi !!
 
Last edited by a moderator:
MOHAMED+Juma,+akionyesha+nyumba+yake+ilivyosambaratishwa+na+mabomu,+hayo,+eneo+la+Ukonga+Mzambarauni..JPG

Nyumba iliyopo Ukonga Mzambarauni iliyoharibiwa na milipuko ya mabomu Gongo La Mboto Dsm(picha hisani ya Bashir Nkoromo blog)

go7.jpg

Nyumba eneo la Pugu Kajiungeni ikiwa imetobolewa na bomu likininginia(picha hisani ya fullshangwe blog)Mkazi wa Majohe anayekimbia nyumba akielekezwa njia salama na askari wa JWTZ(picha hisani ya Bashir Nkoromo Blog)
19.jpg

Msafara wa Mh. Rais J.K Kikwete ukitoka maeneo ya milipuko ya mabomu Gongo la Mboto Dsm( picha hisani ya Fullshangwe blog)

Video hisani ya abbymrisho wa youtube

Haya mabomu hayajatutendea haki kwanini hayakulipuka hapo?!, alafu Jamaa hataki kupigwa picha sijui anamatatizo gani Mungu wangu?
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom