Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,847
- 5,081
kwani max unaweza kuchukua sh ngapi? maana kuna watu wameiba 30 m juzi na wakashikwa walikuwa wawili halafu si upuuzi hii.m 15 si unapata buzi kabisa hapa bongo
umenikumbusha kijana mmoja mwezi wa 12 mwaka jana aliiba mill.150 kwa tajili wake ikiwa ni pesa ya mauzo...katika akili yake akadhani akitoka bukoba mahali pa kujificha ni dar...ile amefika dar akakubwa na mawazo sana mpaka akapata ugonjwa wa moyo ..amelazwa amana na huko hospitali ndo akawaamba ndugu zake kuwa siri nzima.....ndugu zake wakarudisha report na kijana akaonyesha pesa zote alikuwa nazo, kwa kuwa taarifa zilikuwa polis, ikawa rahisi kumkamata..sasa hivi bado yuko hosp amelazwa....
kufanya jambo kama hili unahitaji kuwa na kifua kipana...lakini ukiwa na moyo kama wa simbilisi au kware hufiki mbali lazima wakudake........