Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

Hilo liko wazi mkuu,tuna mafisadi wadogo wadogo wengi sana,na wanaligharimu taifa vibaya sana!


kaka ufisadi nchi hii hauwezi kuisha...kuna kiongozi mmoja tena mkubwa sana ni jrani yangu...huwa anapinga ufisadi sana tena hawapendi kabisa yaani yeye anaamini kuwa mafisadi ni wale waliokwapua epa, richmond nk....pale kwake halipii bili ya maji maana amehatibu mita ki-ujanja ujanja...na umeme pia luku imechakachuliwa..siku zote inasoma unit zile zile 45.6.....

Kazi tunayo. Baadhi ya watu wanadai Tanesco inaweza kujiendesha yeneywe kama sio uchakachuaji toka kwa customers. Halafu wakipandisha bei ya umeme, wachakachuaji ndio wanakuwa wa kwanza kulalamika.
 
Kosa la kwanza ni kutangaza nia kwa watu usiowajua ambao wanaweza pewa dau kubwa zaidi kwa kutoa taarifa ya mpango wako na kupokea dau kubwa zaidi kutoka kwa kampuni unayofanyia kazi....kama una mwanasheria mzuri atahitaji details za kampuni....na akizipata anything can happen....ukitaka kuwa mafia,uwe mtunza siri mzuri na mtu mwenye akili inayofanya kazi haraka sana bila kutegemea watu wengine....!Mawakili wanne?? wote unawapa details...hufai kuwa mwizi....!!

sorry!nikikuona najiskiaga aibu
hapo nimepiga penalt kulia na kipa ataanguka kushoto.Siwezi toa cream ya navyosuka huu mpango.yaan hii sredi haina uhusiano na mabo yatakavyotokea.Nipo makini ile mbaya
 
Hilo liko wazi mkuu,tuna mafisadi wadogo wadogo wengi sana,na wanaligharimu taifa vibaya sana!

huu wangu hautakuwa ufisadi bali ni kuwavuna wanaokwepa kodi.
haiwezekani kampuni ikwepe kodi na mimi nisiipige vimilioni
 
Kweli, eilmu yako ya kuunga
Huwezi panga mashambulizi haya halafu ukayaleta kwenye sosho netwek

Unless unatania
Si loya keshakushauri?? hapa kimekuleta nini???
Unajuaje, boso zako hawapo hapa?
 
Kweli, eilmu yako ya kuunga
Huwezi panga mashambulizi haya halafu ukayaleta kwenye sosho netwek

Unless unatania
Si loya keshakushauri?? hapa kimekuleta nini???
Unajuaje, bosi zako hawapo hapa?
 
sorry!nikikuona najiskiaga aibu
hapo nimepiga penalt kulia na kipa ataanguka kushoto.Siwezi toa cream ya navyosuka huu mpango.yaan hii sredi haina uhusiano na mabo yatakavyotokea.Nipo makini ile mbaya

Thats my girl...sasa naona mdada wa Arusha mwenye akili iliyosimama....lol

Hizo aibu si tulishazungumzia Marytina, kwani nimekuzodoa leo? Basi nitakuwa si-comment kwako...!
 
Kazi tunayo. Baadhi ya watu wanadai Tanesco inaweza kujiendesha yeneywe kama sio uchakachuaji toka kwa customers. Halafu wakipandisha bei ya umeme, wachakachuaji ndio wanakuwa wa kwanza kulalamika.

Kuna makosa kwa mzalishaji,msambazaji,mtawala+siasa+sheria na mtumiaji....ishu ya TANESCO is complicated
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Thats my girl...sasa naona mdada wa Arusha mwenye akili iliyosimama....lol

Hizo aibu si tulishazungumzia Marytina, kwani nimekuzodoa leo? Basi nitakuwa si-comment kwako...!
ile avatar ya mwanzoni nilishaizoea hii mpya najishtukia
 
Marytina please be my gal, achana na huyo Jamaa ako yupo ubelgij anaamini iko siku atatoka, na utaona atakavyokuja kuhustle akirudi bongo maana anadhani kwa vile yupo mbele ndo atakuja kupata kazi ya kumpa izo hela, there is no good life to employees in poor economy unless you misbehave,
Piga hela coz hizo transaction zao ni malicious na we unachofanya ni kuziongezea u'malicious, they have no power ya kukupoteza kama ukipita na dollar kama 200,000 zinatosha kukuweka enwhere good apa tz bila wasiwasi, kama inawezekana we nihusishe kwenye huo mpango au nipate iyo nafac atleast kwa mwezi tu uone namna navyouaga umaskini na hao watu wako hawana cha kunifanya, labda wanipige risasi mamayo zao.
Maryyyyyyyyyyyy pleeeeeeeeesssssseeee nihusishe ndugu yangu,
 
dada yangu alikuwa na wazo kama lako...akawasiliana na mimi kwa skype juu ya mpango huu.....nikakataa...yeye madai yake ni kwamba: hapo alipo ana uwezo wa kuiba zaidi ya billion moja...na kama akifanikisha ataziweka mbali kabisa na hata akija kukamatwa ataweka mawakili anaweza kutumia million 250 kuendeshea kesi...hata akishindwa akafungwa miaka 5 atatumikia kifungo hicho na akitoka ataweza kuishi vizuri.....leo tena naona thread kama hii hapa na wewe unataka kufanya kama dada yangu....kwa dada yangu nilikataa ...nikamfundisha njia zingine za wizi kuiba hizo pesa taratibu bila kustukiwa na hii na sasa anazitafuna sawasawa japo mpango wake wa kukwapua kwa mpigo nahisi bado upo maana kila nikiongea nae anasisitiza hilo.......

nahisi na wewe kwa sasa unahitaji namna ya kuzikwapua hizo pesa taratibu....lakini kwa mpigo unaweza usifike mbali wakakudaka.......

So that is why you are Naturally Evasive!! you and your sister are THIEVES!!!
 
mwizi huyu kama chameleon,one minute anazungumzia theft ya pesa nzuri the next minute anazungumzia avatar imekaa naturally african-me i suggest usiibe hiyo hela,you have no balls-just continue talking about avatars at least there is no risk of jail
 
Liyumba amekwiba Mabilioni adhabu jela miaka 2 na yuko uraiani anakula mabilioni yake kwa raha zake, nyinyi mtabaki kuilaumu CCM tu shauri yako.
Woga ni rafiki wa umaskini.
Na wengine wanaozea jela. . .
 
Back
Top Bottom