Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

kwani max unaweza kuchukua sh ngapi? maana kuna watu wameiba 30 m juzi na wakashikwa walikuwa wawili halafu si upuuzi hii.m 15 si unapata buzi kabisa hapa bongo


umenikumbusha kijana mmoja mwezi wa 12 mwaka jana aliiba mill.150 kwa tajili wake ikiwa ni pesa ya mauzo...katika akili yake akadhani akitoka bukoba mahali pa kujificha ni dar...ile amefika dar akakubwa na mawazo sana mpaka akapata ugonjwa wa moyo ..amelazwa amana na huko hospitali ndo akawaamba ndugu zake kuwa siri nzima.....ndugu zake wakarudisha report na kijana akaonyesha pesa zote alikuwa nazo, kwa kuwa taarifa zilikuwa polis, ikawa rahisi kumkamata..sasa hivi bado yuko hosp amelazwa....

kufanya jambo kama hili unahitaji kuwa na kifua kipana...lakini ukiwa na moyo kama wa simbilisi au kware hufiki mbali lazima wakudake........
 
Mkuu, huyo jamaa ana nyodo na dharau ile mbaya nakumbuka kipindi kile ofisi zake zipo PPF Tower kwenye lift akiwa anashuka haruhusu raia mwingine apande nae lift moja, Bonge la facist, na kwa watu kama mimi tusio na title hatuwezi hata kushika kitasa cha mlango wa ofisi yake
Hizo ndio tabia anazopaswa kuwa nazo kujiweka mbali na waswahili, ukichekacheka na waswahili hawachelewi kujifanya walikuwa wanakujuwa tangu unauza karanga na wataanza kupanga foleni kuja kukupiga mizinga na njaa zao.
Huyu Nimrod Mkono yeye mwenyewe alikwapuwa mihela ya Benki kuu na wakaichoma BOT moto na akakimbilia Uingereza. upo hapo?
 
kazi yan the higher the risk the higher the return, goooo gal.
kila la kheri mwaya , ila muombe mungu wasikukamate.

Mungu anaweza kweli kubariki Ujambazi au atakuwa anamsingizia,,,,Obsd wewe....
 
dada yangu alikuwa na wazo kama lako...akawasiliana na mimi kwa skype juu ya mpango huu.....nikakataa...yeye madai yake ni kwamba: hapo alipo ana uwezo wa kuiba zaidi ya billion moja...na kama akifanikisha ataziweka mbali kabisa na hata akija kukamatwa ataweka mawakili anaweza kutumia million 250 kuendeshea kesi...hata akishindwa akafungwa miaka 5 atatumikia kifungo hicho na akitoka ataweza kuishi vizuri.....leo tena naona thread kama hii hapa na wewe unataka kufanya kama dada yangu....kwa dada yangu nilikataa ...nikamfundisha njia zingine za wizi kuiba hizo pesa taratibu bila kustukiwa na hii na sasa anazitafuna sawasawa japo mpango wake wa kukwapua kwa mpigo nahisi bado upo maana kila nikiongea nae anasisitiza hilo.......

nahisi na wewe kwa sasa unahitaji namna ya kuzikwapua hizo pesa taratibu....lakini kwa mpigo unaweza usifike mbali wakakudaka.......
nisaidie but a rate which is not below 3m per month
 
LOL. Kwa hiyo hata kije chama kingine ufisadi utakuwa pale pale.


kaka ufisadi nchi hii hauwezi kuisha...kuna kiongozi mmoja tena mkubwa sana ni jrani yangu...huwa anapinga ufisadi sana tena hawapendi kabisa yaani yeye anaamini kuwa mafisadi ni wale waliokwapua epa, richmond nk....pale kwake halipii bili ya maji maana amehatibu mita ki-ujanja ujanja...na umeme pia luku imechakachuliwa..siku zote inasoma unit zile zile 45.6.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
kama unataka wanaume wa 'kazi', kaweke tangazo pale Majengo,

Kama unataka wanaume wa kukupa 'kazi' utawapata hapa sinza kijiweni....hawana kazi, hawana majukumu, hawafikiri chochote..........wakiingia kwenye kiuno, kazi ni moja tu!! hakuna kuwahi nyumbani, hakuna habari ya watoto watakula nini, hakuna habari ya kodi ya nyumba au site panaendeleaje........wao ni kazi moja tu!!!

hahahaha uwanja wangu wa nyumbani huu..
 
kazi isiyokuwa na pesa sio kazi
Umeoneee!!!
kazi shutri upate mihela.........halafu baada ya kupata mihela, ndio unatafuta kupata starehe......(sasa starehe ikigeuka kazi tena, inakuwa haina maana)
 
@edson, kumbe we mwiziii!
sio kwamba edson mwizi
ila mtu unawekewa mamilioni kweupe unashawishika kuyachukua
sisi huwa tunarekodi maingizo kiduchu sana ili kukwepa kodi sasa hapo mahakamani watasema hizo hela zimetoka wapi????
 
kaka ufisadi nchi hii hauwezi kuisha...kuna kiongozi mmoja tena mkubwa sana ni jrani yangu...huwa anapinga ufisadi sana tena hawapendi kabisa yaani yeye anaamini kuwa mafisadi ni wale waliokwapua epa, richmond nk....pale kwake halipii bili ya maji maana amehatibu mita ki-ujanja ujanja...na umeme pia luku imechakachuliwa..siku zote inasoma unit zile zile 45.6.....
Yaani nyumbani kwa mtu wewe ndio ukajuwe mita ya luku inasoma 45.6 kila siku!!? huu kama sio umbea + ushakunaku unapenda tuiiteje?
 
sio kwamba edson mwizi
ila mtu unawekewa mamilioni kweupe unashawishika kuyachukua
sisi huwa tunarekodi maingizo kiduchu sana ili kukwepa kodi sasa hapo mahakamani watasema hizo hela zimetoka wapi????

waambie wakupandishie mshahara.
 
huu mpango siwashirikishi wajomba zangu watanizunguka nibaki na njaa

Maryantonia, oppps; Marytina, ni bora uripoti hilo suala la ukwepaji kodi TRA ili upate zawadi halali ya milioni kadhaa kuliko uibe na uende jela. Ukitoka jela huyo BF wako hutamkuta, kazi huna na binti ulivyo mzuri utaishia kuwa changu mitaani kwetu.
 
Back
Top Bottom