Get Marytina rich or spend some days in selo.....kwa elimu yangu ya kuungaunga watoto watajateseka

@arusha,mama mchagga,baba mngoni.
heri ya mwaka mpya wana JF

Ikumbukwe nina elimu ya kuungaunga, kwa hiyo haitatokea niwe bosi

...sina hulka ya wizi/ujambazi.Hapa ofisini nina take home ya 520000/= , hii kampuni huwa na NOT BELOW dola U$400,000 kama makusayo in a single day, ni wakwepa kodi sana kwa hiyo tuna namna yetu ya kurekodi figure za chini sana..

bosi mkuu katokea kuniamini, Naweza kuziiba kwa KUONDOKA NAZO KWENYE MKOBA WANGU na wakashtuka baada ya siku mbili kuwa kuna upungufu.

Nimeongea na mawakili wanne kutoka Law firm tofauti kuhusu adhabu ya kihasibu nayoweza kupata kutokana na upotevu huo, ni miaka isiyozidi miwili.Boyfriend wangu yupo ubelgiji masomoni nimemweleza MPANGO WANGU KANIKATALIA

Wana JF!!
1.hivi Marytina ntavumilia kuona wadogo zangu wakipokea virungu kisa wanaandamana kudai fedha BODO YA MIKOPO MPAKA LINI??

2.Sihitaji official ruhusa kutoka kwa BF I AM JUST LETTING HIM TO KNOW JUU YA MPANGO WANGU pasipo yeye kuweka neno

3.Kwa mshahara wangu lini ntapata hiyo hela???mimi sitaki watoto wangu waje kukulia kwenye umaskini iwe hata kwa kukaa jela kwa muda

takata mama!
Biblia inadai kuwa makosa yote ni sawa, yet, hujaathiri maisha binafsi ya masikini (kumbuka kumdhulumu huyu ni ishu katika Quran) kama hawa mafisadi.
Piga noti ndefu hiyo...
 
Duh Marytina nilikumiss kweli we mdada! Huishi vituko kwa kweli, yaani nilipoona tu thread yako mhhh nimecheka sana. Kila la heri.....kwi kwi kwi
 
Haijarishi kumuona ni dollar, ngapi cha msingi lazima ujuwe huyu ndio yuko nyuma ya mafanikio ya kina Rostam Aziz, kabla ya wizi wowote huyu utoa ushauri wa kisheria jinsi ya kuiba na kutumia pesa bila mkono wa sheria kukugusa.
Nafikiri umefikia wakati sasa wa kutumia akili kuingiza pesa na sio kutumia maguvu na kubebeshwa mabox tu. kumbuka huu sio wizi, hapa mjini hizi tunaziita Filmeee!!

Dah!
Natamani ningekua mhasibu.
 
I once had a girlfriend naye alikuwa katika situation hiyo..
Yeye alikuwa anaziona Euros.. Loh.. Kama miaka 6 iliyopita. Alikuwa na uwezo wa kuchukua hela tani yake,lakini aliamua kuwa anakuja na euro 100 kila siku.. Tamaa zilimshika siku aliyotaka aibe hela zote,kumbe na mfanyakazi mwenzake waa kike siku hiyo alipanga kuiba.. Wakajuana kuwa kila mmoja anajua hazina iliko..Ikashindikana.. Ila nilishukuru..
 
marytina nikwambie kitu?we nouoooooomaaaa!!!!! Kama mcharuko we ndo basi,du!
 
ww usiibe ziangalie, ila hivi karibuni zitakuja kuibiwa na ww unaweza kwenda jela pia!
 
marytina nikwambie kitu?we nouoooooomaaaa!!!!! Kama mcharuko we ndo basi,du!
mcharuko kivipi??? hapa nawaonea huruma wadogo na watoto ntakaowazaa kuja kuishi kwenye umaskini..
ni bora waishi kwenye umaskini nikiwa jela ila sio nikiwa nafungia hii U$ 400,000 kwa siku makabatini
 
Back
Top Bottom