General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

Viongozi jifunzeni na mambo yanayotokea nje mnaenda kila siku, Michael Jackson na Whiteny walikufa Obama hakutoa hata salamu za rambirambi, ila Obama alishuhudiwa akiwa ameenda katika msiba wa Private aliyeuawa Afghanistan, jifunzeni mazuri basi mnapoenda huko kila kukicha.
 
Inaumiza sana, watoto wetu wanajifunza nini wanapoona msanii anapewa heshima kubwa kiasi kile huku retired General anadhalilishwa? Tunajenga taifa la wasanii. Mbaya sana hii
 
Usiwe unakurupuka kuandika thread mkuu, JK akwenda kumzika Kanumba lakini anakwenda Tarime kumzika General Kiaro..sijui utasemaje sasa.

Mama yenu si alienda au? Jk hana vipaumbele hata siku moja bize yuko majiani utadhani muuza karanga..bora amalize muda wake tumemchoka na hatutakuja kuchagua tena rais toka kabila lenu
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.
With due respect there is no way you can compare any civilian with Four Star General. Even in America with their advanced movie industry they respect their Generals that is why there are buried in special cementery and battleships are named on their honour.
Or do you think those statues with man riding horse are city decorations?
 
Kwani sisi tunaomwita nanga ni kwa sababu tuko naye serikalini?...ntashangaa kama kuna mtz (tofauti na familia yake) asiyemwona kuwa jamaaa ni nanga!
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

Ni kujisumbua kutarajia jambo la akili kwenye serikali hii. Hii si mara ya kwanza kwangu kusikia au kuona serikali ikifanya mambo ya ajabu ajabu as if tunaongozwa na watu wasiojua ni nini tunahitaji. Kama hili linakushangaza, hebu nifuatilie hapa nikuoneshe baadhi tu ya mambo ya kushangaza:

1. Waziri mkuu alishindwa kumsimamisha kazi Jairo kwa kisingizio kuwa si yeye mwenye mamlaka hayo: Lkn aliweza kumsimamisha Blandina Nyoni

2. Nchi ilikuwa gizani na Rais akaendelea na shughuli zake za kumpiku Vasco da Gama: Lkn juzi kafa (Msanii mwenzao) kaahirisha kwenda kujipendekeza uarabuni.

3. Kafariki Mr. Ebbo ambaye kwa maoni yangu aliiwakilisha vizuri Tanzania na kuutangaza utamaduni wa Tanzania (Masai) hakukuwa na ubani wa serikali wala shamrashamra za waziri wa michezo: juzi kafa mtu anayetumia umaskini wa watoto wa watu kuwaomba fadhila ya kiunoni zimetolewa 10ml za serikali ilhali timu ya Taifa ya Netiboli inakaa kambini kwa kuungaunga wizara haina fedha.

4. Tuzo za Heshima za miaka 50 ya Uhuni wa CCM kapewa bi kiroboto anayedai posho za wabunge ziongezwe; kuna yule babu aliyepigana vita kuu ya dunia mpk leo anadai sh 9000 zake kwa mkuu wa wilaya.

5. Tatizo linaikumba nchi, badala ya Rais kuwaaddress wasomi na kupata mawazo yao, pathetically anakusanya wacheza bao wa mwembe yanga (the so called wazee wa DSM) na kuwahutubia ili wampigie makofi afarijike ilhali tatizo bado liko pale pale.

Kwa kifupi ni kwamba hii ndio adhabu ya kuchagua kwaya masta kuongoza jeshi. Hii ni aibu kwa nchi. Generali wa Jeshi anazikwa na Mkuu wa Mkoa lkn misiba ya watu wanaoiharibu jamii kwa kufundisha tabia mbaya inafanywa ya kitaifa. Nyie tuendeleeni tu....
 
jamani jana alikuwa akiagwa hapa Mwanza kabla ya kusafirisha mwili kwenda Tarime kwa mazishi JK atahudhuria mazishi haya huko kijijini labda pia atatoa sh M 10
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

Siamini habari hii kama ni kweli.

Nafikiri Waziri wa Ulinzi lazima atakuwepo kwenye maziko na hapo kwa mujibu wa Protocal RC hataweza kumwakilisha Rais.

Fuatilia habari hiyo vizuri kabla kutoa taarifa.

Kyaro had had already his lion's share. He lived his life to the fullest until his departure. Come to Kanumba, he was a rising star deprived his existance all over sudden and his dreams disappeared to the thin air. That triggered majority of Tanzanians to express their INNER condolences to the late Kanumba The Great

This is very shallow thinking. Hivi akifa mathalan Gen Collin Powell na say Vin Diesel basi Obama aende kuhani kwa Vin Diesel na asiende kuhani kwa Powell? Just kwa kuwa Vin ni kijana?
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.

Excrement of the clan!

What should our generation learn from Kanumba? Raping U18! What is your perspective young fool?!

We really need that National Service back. Haya mawazo ya kijinga yanatokana na watoto kumaliza shule za kata wakiwa inspired na magazeti ya udaku, hawasomi vitabu, hawaitembei nchi na watoto wa kiume kuwa influenced na dressing tables za mama zao. Shame!

That General is a symbol of manhood. But look! This pathetic well spoiled child of illusions get more inspired by earrings and curled hairs on man's heads. To you shameless gay, fashions and styles are more needed than security and economic betterment of this country.

Kama ilimlazimu General Kyaro kuweka wave na kuvaa hereni kama Ramsey Nouh wa Nigeria ndio awe appreciated na wewe, au kama ilimlazimu awe anazurura na watoto U18 na kuwanyima uhuru wa kuwasiliana na watoto wenzao kwa simu wanapojisikia, basi tuachie Jenerali wetu sisi wa Jenerali na wewe na Rais wako wa Bongo Muvies.

With this comments of yours, you are also successful in your world of illusions; to hell with everyone of your type
 
I still think Kanumba influenced many more than Mr General. Not to underestimate his dedication but honestly given our times, if I am to compare btn the two in terms of success I will definetelly pick kanumba for rising against all ods.Rest in peace Mr General and thank you for making our country a better place to live but we are in a different era, the generation of 20s,30s of today have a lot more to learn from Kanumba than from Mr General.

Atuhumiwe JK as a Presidential crown post kwa kutoweka priorities za kujenga msiba wa marehemu Mwita Kiaro kwenye vyombo vya habari,na hata kama angeweka bado kwa generation hii ya dotcom hakika Kanumba angemzidi Cheneral kwa kuwa kizazi hiki sio kizazi cha wapigania uhuru au washriki wa vita vya uganda.

Na kuwa historia ya wazee wetu hao wapiganaji [MwitaKiaro,Msuguri,Mayunga,Sarakikya na Mboma] bado eti siri,basi acha Kanumba awe juu kwa kuwa ndicho kitu pekee kilicho wazi kwa watanzania wa kizazi cha leo.Hivi kweli vikaandikwa vitabu vizuri na vyenye picha za matukio ya wazee hawa kama Msuguri au Mayunga jinsi walivyokuwa wakipanga mikakati na kutekeleza kwenye vita vya uganda vikaandikwa kwa ustadi wa kuwatia moyo vijaa wa leo kuvutika kuwaiga na kufuata nyayo zao kwa mujibu wa simulizi za vitabu hivyo."

Nilisoma kitabu cha msolopagazi hakika kitabu kilikuwa kinatia moyo na kukufanya ujisikie moyo nawe kuwa shujaa na kujivuna kweli kuwa shujaa.Leo hii hakuna vitabu vinavyochapishwa na serikali na kwa nia ya kubuni kitu ambacho kina historia ya kweli ya wapiganaji wetu ambacho kinatoa na kuhamasisha vijana kuwa wanajeshi na kutenda kwa nyayo za viongozi walio tangaulia.

Upuuzi jaribu kuandika kitabu wafuate viongozi waliopo madarakani na ofisi za serikali waambie naomba kuandika kitabi cha mageneral wasitaafu nipeni taarifa zao muhimu nizitumie kuandika kitabu hicho.Kitakachofuata kwa nia njema yako hiyo utajikuta kolokoloni,wakikuonea huruma watakawambia nenda nyuma yako mtu anakufuata kukufuatilia umetumwa na nani!!!My God maisha ya style hii ya kutokuamini dhamila za wananchi na kkunga mkono mawazo ya kujenga nchi mpaka myu awe ndani ya Serikali ndie mwenye uwezo pekee wa kujenga.

Hivyo lawama kwa Kikwete ziende kwa mfumo mzima,wakiwemo hao wanajeshi wenyewe kama hawaweki mazingira ya kujenga picha watu wapende jeshi basi acha udaku na cinema zijiwekee mazingira ya kuthaminika na kuwaliwaza watanzania na maisha magumu waliyo nayo wasio jua watachomoka kwenye shida hizo lini!!

Nakubali kuwa ukiaachi Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere,kwa umati wa watu walioshirki kumzika na kumlilia Mwalimu anaefuta ni Steven Kanumba!!

Wanasiasa kwa somo hili watambue kuna wale ambao watazikwa na watu wachache sana,na kuwa si lazima kuwa mwanasiasa ili uwe unaheshimika kwa umma.

Mzee Kiaro alistahiki kuzikwa kwa umati sawa na Kayumba lakini nani anajua habari hiyo,hivi ikiwekwa wazi kwenye vitabu na hata kutengenezewa Cinema kuonyesha wapiganaji walivyopambana kwa mbinu zenye mapokeo ya kizazi cha sasa lakin zikiwa ni historia na kupromotiwa kwenye mashule ungeona umati ambao ungejua kuwa tumeondokewa na mtu muhimu.

Kuna wazee mageneral fulani mmoja alipata kuwa mkuu wa majeshi,naambiwa kwenye vita vya Kagera kuna wakati wali risk maisha yao kuchukua ndege kwenda kuvunja ngome za maadui zao,na kufanikiwa kuvunja ngome hzio na kuludi kikosini.Ebu pata picha vijana wa nchi hii wayasome hayo na mbinu zake alizotumia na kujitoa huko muhanga walikokufanya na mmoja wao kwa bahati mbaya aliumizwa na kujeruhiwa lakini kwa kudra za Mungu alipona.

Yote hayo yamebaki kwenye makarabrasha na watu wachache wenye ufahamu na kujua issues,the rest ni kufungiwa kwenye lockers za jeshi,leo watu wanataka kumlinganisha mtu aliyetangazwa kwenye ulimwengu mzima na mtu aliyefanya mambo mazuri kwa Taifa habari zake zikafichwa kwenye makarabrasha eti SIRI.Leo kwenye kuzikwa mazishi yake yawe sawa na Kanumba, Ohh God haiwezekani kamwe!!!
 
Ni kujisumbua kutarajia jambo la akili kwenye serikali hii. Hii si mara ya kwanza kwangu kusikia au kuona serikali ikifanya mambo ya ajabu ajabu as if tunaongozwa na watu wasiojua ni nini tunahitaji. Kama hili linakushangaza, hebu nifuatilie hapa nikuoneshe baadhi tu ya mambo ya kushangaza:

1. Waziri mkuu alishindwa kumsimamisha kazi Jairo kwa kisingizio kuwa si yeye mwenye mamlaka hayo: Lkn aliweza kumsimamisha Blandina Nyoni

2. Nchi ilikuwa gizani na Rais akaendelea na shughuli zake za kumpiku Vasco da Gama: Lkn juzi kafa (Msanii mwenzao) kaahirisha kwenda kujipendekeza uarabuni.

3. Kafariki Mr. Ebbo ambaye kwa maoni yangu aliiwakilisha vizuri Tanzania na kuutangaza utamaduni wa Tanzania (Masai) hakukuwa na ubani wa serikali wala shamrashamra za waziri wa michezo: juzi kafa mtu anayetumia umaskini wa watoto wa watu kuwaomba fadhila ya kiunoni zimetolewa 10ml za serikali ilhali timu ya Taifa ya Netiboli inakaa kambini kwa kuungaunga wizara haina fedha.

4. Tuzo za Heshima za miaka 50 ya Uhuni wa CCM kapewa bi kiroboto anayedai posho za wabunge ziongezwe; kuna yule babu aliyepigana vita kuu ya dunia mpk leo anadai sh 9000 zake kwa mkuu wa wilaya.

5. Tatizo linaikumba nchi, badala ya Rais kuwaaddress wasomi na kupata mawazo yao, pathetically anakusanya wacheza bao wa mwembe yanga (the so called wazee wa DSM) na kuwahutubia ili wampigie makofi afarijike ilhali tatizo bado liko pale pale.

Kwa kifupi ni kwamba hii ndio adhabu ya kuchagua kwaya masta kuongoza jeshi. Hii ni aibu kwa nchi. Generali wa Jeshi anazikwa na Mkuu wa Mkoa lkn misiba ya watu wanaoiharibu jamii kwa kufundisha tabia mbaya inafanywa ya kitaifa. Nyie tuendeleeni tu....

Mkuu umemaliza kila kitu !
 
Mkuu umemaliza kila kitu !

Kutokuandikwa historia ya watu waliopigania uhuru na ustawi wa nchi kwa moyo wa uzalendo na utu uliotukuka, viongozi wetu hawawezi kukwepa lawama. Mambo ya msingi kwa Taifa hayaywezi kufanywa na kila mtu wakati huna mahali pa kusimamia. Wasasiasa kwa kiasi kikubwa katika nchi hii ndio wamekaa katika nafasi za uwakilishi. Wanatakiwa kuonyesha njia. Lakini wao kwa bahati mbaya wakisikia wasifu wa kiongozi aliyetangulia na hasa inaposemekana kuwa alichukia rushwa, ubinafsi, wizi na ubadhirifu wa mali ya umma wanateswa vibaya maana wanaona wanahukumiwa . hivyo wamekuwa hawaki kusikia kitu kinaitwa, mkweli, mzalendo, mwaminifu na sifa kama hizo. waNdio maana wasifu wa kina Nyerere na Sokoine umefishwa. Watawala wa sasa hivi nasikia hawataki kumwita Mwalimu Nyerere-Baba wa Taifeea. Sasa ukianza kuwa na watawala wa aina hii unategemea nini? Tutaishia kuwaimba na kuwasifu wasanii badala ya viongozi na wanazuoni waliotukuka na kudumaza sio uwezo wa kujifunza bali kufikiri na kutoa maamuzi. Haiingii akilini mtu ana copy na paste kazi za wasaunii wengine na kuziweka kwa kiswahili na kuongeza manjonjo ya ngono na ujambazi halafu tunamwona wa maana. Much of our artists works are copy and paste and more fanciful than informative and educating.

Tukubali tumepotea na kuwa kizazi cha voda faster. Watawala wetu wanajitahidi kupeleka watoto wao nje. Na watoto wakifika kule wakajiona wako tofauti na maskini walioachwa hapa wanajiona wana akili sana. Lakini sio kwamba wana akili sana au uwezo wa kujenga hoja ni kwamba wamepewa fursa ya kukaa nje. Basi wakija wanachukua nafasi nyeti. Badala ya Watanzania kuliona hili tunabaki kudanganywa na siasa za jukwaani wakati wa uchaguzi.

Tunahitaji mabadiliko ya kifikra na kimfumo kama tunataka kujenga kizazi cha watu wenye akili na kuweza kushindana na majirani zetu wa karibu na wa mbali. Dunia imekuwa kama kijiji na hatuwezi kujidanganya kuwa na kizazi cha kuwasifia wazinzi na mafisadi na kuwaacha wazalendo. Hatuwezi kuendelea kuwa na kizazi cha kuambiwa uchumi unapaa wakati shule za kata hazina walimu, vitabu, mahabara na libraries, hospitalini hakuna madawa wala vifaa vya tiba, daktari halipwi kwa wakati na hana motisha au kusikia kiongozi anatoa majibu mepesi ya sijui kwanini Tanzania ni maskini kana kwamba hajui ni kwanini amepigana kwa nguvu kuutaka uongozi
Ndi
 
wanajeshi /polisi wapate akili sasa.Kipindi wananchi wanataka mabadiliko wenyewe wanawapiga virungu na risasi ...
 
ani mlitaka aende nani? wakienda watu mnaowataka waende kumzika ndo itakuwa nini? hadhi yake sisi inatusaidia kuepuka matatizo ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni tuliyo nayo?

kwani angeennda rais ndo asingeoza?
 
Seriously, serikali kweli inaheshimu 'wapiganaji' wetu? Jeshi nyota kibao tunapigana naye vikumbo kwenye daladala. Mbaya zaidi kutoa nauli mgogoro.
 
Mimi natofautiana nanyi wadau, hawa wanajeshi si ndio waliwapiga wananchi Mby?, Polisi, Magereza, JKT na majeshi yote wanapenda kuwa vibaraka wa CCM, wanatesa na kuua wananchi kwa ajili ya CCM, sasa wito wangu kwa askari wote mlio hai, hayo ndio malipo yenu stahiki kwa unafiki wenu kumtumikia mtu asiye wajali. Hata msiba wa Mahundi si ilikuwa hivyo hivyo japo "msanii" alikwenda lakini hakuupa uzito wowote!, akili yake ilikuwa kwa "muigizaji mwenzie" ambae alikuwa ndo kwanza amefariki. Binafsi naomba hata msiba wa IGP, mkuu wa magereza, Majaji wote wapuuzi, mkuu wa majeshi nk wazikwe na wakuu wa wilaya zao. Hawa viongozi wakiwa madarakani hawajali wananchi wanachojua ni kuua ili CCM iendee kutawala. " malipo duniani ahera ni hesabu tu"
 
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.

Ndivyo tulivyo, kama Kiaro angeagwa DSM wangapi wangeenda kumuaga? Ongea na Watanzania wote waliofika mahali pale, Leaders, Kinondoni makaburini, au chukua vichwa vyao uwachunguze, kisha uwaulize, na hapo utapata picha kamili. Kwani walio werevu wameenda wapi??, Hatunao tena Tanzania, hawayoni haya?
 
Back
Top Bottom