General Kiaro anaagwa na mkuu wa mkoa; Kanumba, Rais!

Tatizo lako unafikiria magambo ndo wanamonoply ya hekima, fikiria tena, the point was to highlight how the current administration are focusing on mikey mouse projects on expense of national programs and projects. Kama unataka kazi ye kuedit karibu but for us is "message seeeeeeeeeeeeeeeeeeeent" by Chacha Wangwe

kwenda zako huna lolote. unadhani mimi sijui kupembua mambo. wewe umemlalamikia rais kuwa hajayapa kipaumbele mazishi ya Kiaro. Ulitaka rais aende akaage mwanza, na mazishini aende tena. After all mkuu wa mkoa ndo bosi katika mkoa. Ingekuwa dar, ungeona mawaziri na hata kikwete wangekwenda kuwafariji wafiwa. sasa mwanza afunge safari kwenda kuaga na baadaye aende tarime, ili iweje? Hata hufanani na fikra za chacha wangwe
 
kila mtu sasa ametambua tunaongozwa na kiongozi wa namna gani,kule hakuna kuuzasura thus y hakuona haja ya kwenda lakini kwenye harusi ya mtoto wa kapuya kaka meza kuu

kuna marais wangapi tanzania hii?yule tuliyemuona kupitia channel ten akiwa mazishini katika taarifa ya habari ni mzimu?acheni ushabiki usio na maana!!
 
kwenda zako huna lolote. unadhani mimi sijui kupembua mambo. wewe umemlalamikia rais kuwa hajayapa kipaumbele mazishi ya Kiaro. Ulitaka rais aende akaage mwanza, na mazishini aende tena. After all mkuu wa mkoa ndo bosi katika mkoa. Ingekuwa dar, ungeona mawaziri na hata kikwete wangekwenda kuwafariji wafiwa. sasa mwanza afunge safari kwenda kuaga na baadaye aende tarime, ili iweje? Hata hufanani na fikra za chacha wangwe
Inaonesha hujui protocal
 
04_12_6a7kvc.jpg
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Ernest Mwita Kiaro wakati wa maziko yake yaliyofanyika nyumbani kwake Tarime, mkoani Mara. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).

Acheni uongo katika FORUM:
 
The corrupted corruptions has corrupted and intimidated "Mr President" hence incompetence in politics...Who was ,Who is Kanumba? Was he the great more than His (President) loyal General Kiaro?..that's Why I dont understand "My President"

Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.
 
This is Special To "My President":behindsofa:who is coward of "hard decision"when it comes to such a matter, matters of IMPORTANCE.
 
Back
Top Bottom