Mkuu, nimependa sana uchambuzi wako. Ingawaje hapa umeongelea wastaafu maafisa, makamanda na wapiganaji...pengine baada hizi dots tungewaweka na watumishi wote wa umma kwani ni stahiki yao. Angalia wazee wetu wa Jumuiya ya A. Mashariki iliyokufa. Wengi wameshakufa na wote wanaweza kufa kabla kupewa haki zao.Ninavyoongea sasa kuna msururu wa makamanda wastaafu ...wanaunga foleni za matibabu pale lugalo ...hawana uhakika.....hata kidogo.....Rais yupo busy ...na kina kanumba..hatutaki aje kutuona au kuwaletea pesa ...,kwani that is not sustainable..tunataka mfumo imara na wazi wa wastaafu maafisa,makamanda na wapiganaji...
Inajulikana wazi wapiganaji wengi wanakaa makambi ya maporini na hawapati fursa sawa za kujiandaa kustaafu....inashindikana nini...,kuazisha shirika la makazi la majeshi ..kama askari wa rwanda...au india?..mfano tu..
Kitengo kimoja wapo JKT ie suma kinakabidhiwa kazi ya kudumu ya kujenga makazi ...ambayo kila askari anapokaribia muda wa kustaafu atachagua ramani anayoitaka kadiri ya akiba yake [ie 50% akiba yake na 50% serikali] ....,na pia atachagua nyumba iwe wapi .....ie mwanza ,dar,arusha etc.......huko kote kutakuwa na maeneo yaliyopimwa na makazi yatakuwa yanajengwa .......ili pale askari ,afisa au kamanda anapostaafu awe na uhakika wa makazi.....
Hiii itakuwa na faida serikali kuanzisha miji kama hii...kama urahisi wa kuendelea kuwatumia askari na pia kuweza kuwahudumia kwa urahisi.....hata kama sio moja kwa moja...ie kuwa na maduka duty free maeneo husika,hospitali etc
You need to learn to read between the lines ppl sio mnapayuka payuka hovyo!
Mimi sijasema mzee afande hastahili maziko ya kitaifa, lakini nenda kwa 20's , 30's ukawaulize nani wanamkubali. Si ajabu hata hiyo Vita ya Kagera hawajui ni madudu gani, sasa utamlaumu akikwambia role model wake ni Kayumba ambaye anatokea kwenye Luninga kila siku na picha yake ipo kwenye kila kona ya mtaa? Vijana wangapi leo wanapenda kuwa wanajeshi? vijana wangapi wanapenda kuuza sura kwenye TV? do your math...
Ukweli unauma lakini hali ndio hiyo. After all huwezi kulinganisha vitu viwili vyenye "SI UNIT" tofauti ...
Kyaro had had already his lion's share. He lived his life to the fullest until his departure. Come to Kanumba, he was a rising star deprived his existance all over sudden and his dreams disappeared to the thin air. That triggered majority of Tanzanians to express their INNER condolences to the late Kanumba The Great
Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.
Eh jamani kweli? Amakweli msanii huzika wasanii wenzie
Umeumbuka na taarifa yako ya Uongo.Mbona amehudhuria? Haya ni maji taka kabisa usipost jambo usilokuwa na uhakika nalo mkuu.Ona sasa umeumbuka waziwazi!!Anagalia magamba priority zao ni cheap politics Uswahili, Mkuu wa mkoa hastaili kuongozi kuaga mwili wa General Kiaro hata maja. Cheneral kama alivyojulikana hapa kijijini aliifanyia nchi hii mambo makubwa na ya heshima miongoni mwa mataifa. He was honest and strong man, he coordinated logistics to defeat Amini while current Fisadis runing scared like headless chicken. He deserve the best and respect TZ has to offer to our hero.